Wakuu kwema,
Umepita muda wa mwezi mmoja tangu nijiandikishe nida ili kupata kitambulisho cha Taifa, sijatumiwa sms na NIN na kawaida wanasema inachukua wiki 1 tu kutoa namba
Mwenye kujua jinsi ya kuangalia kama namba imetoka au kujua maombi yapo hatua gani anielekeze.
ASANTENI.