nguvu

  1. JamiiForums Tanzania Usichukue Nguvu zako kumpa nguvu Mwanamke (empowering woman). Bali tumia nguvu alizonazo kumuwezesha

    Hamjambo wote! Usije isahau hii! Kamwe usitumie nguvu zako kumuongezea mwanamke ili kumwezesha. Hilo ni kosa. Na wengi wao wamelijutia na wanaendelea kulijutia. Usipokuwa tumia nguvu alizonazo mwenyewe huyo mwanamke ajiwezeshe mwenyewe. Hiyo ni Kanuni ambayo ni universal Law. Na sio tuu...
  2. JamiiForums Tanzania Kama una shida ya nguvu za kiume fanya hivi

    Sasa hivi ni msimu wa mapera. Kula mapera manne angalau kila siku. Halafu njoo hapa utoe ushuhuda. Facts: 1. Vitamin C – Husaidia kuongeza uzalishaji wa shahawa na kuzuia uharibifu wa seli kwa sababu ya oksideni nyingi (oxidative stress). Pera lina vitamins C mara nne zaidi ya chungwa. 2...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mke / Girlfriend wako akikwambia ukweli humridhishi kwasababu ya matatizo uliyonayo, Je akiku cheat bado una nguvu ya kumwambia "WHY ?"

    Mke / girlfriend wako kakwambia huwezi kumridhisha sababu ya matatizo uliyonayo kiafya aidha, jogoo hapandi mtungi, kisukari, kuwahi kumaliza, kutoweza kurudia tendo, uume ulioingia ndani, n.k. Siku ukigundua kachepuka, una nguvu za kumwambia "WHY ?"
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia Ackson atunukiwa Tuzo ya Heshima ya Malkia wa Nguvu

    Kwa niaba ya Dkt. Tulia, tuzo hiyo imepokelewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Zainab Katimba. Alizaliwa Novemba 23, 1976 kijijini Mabonde Tukuyu Mkoani Mbeya na kupata elimu ya msingi katika Shule ya Mabonde na baadaye kupata elimu ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kuonyesha Kutokuwa na uhitaji " Never wanting anything " ndio siri ya kuwa na nguvu kwenye maisha ya hapa duniani.

    Mimi sio Mkristu ila najua kwamba His Excellence King David, the King of the United Kingdoms of Israel and Judah aliposema " Bwana ndie mchungaji wangu, sintopungukiwa na kitu" ( The Lord is my shepherd I shall never want a thing),alikuwa anazungumzia hiki ninacho kiandika hapa. " Kuonyedha...
  6. JamiiForums Tanzania Nimekutana na video ya huyu binti, imenikumbusha kuwa asilimia kubwa ya mabinti wa kileo hawako resistant na ushawishi wa jamaa mwenye pesa na jina

    Masikini unakuta hata bwana yake huko alikuwa ndio anajichanga aende kujitambulisha ghafla akaona hii clip😂 Ukiwa una pesa alafu ukikutana na demu mwenye bwana, ukimuulizia kuhusu bwana yake ataakuambia "aah yule tunasumbuana"
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi walikwama kuitambua hii nguvu ni ya nani waakamua kuibatiza nguvu ya mvutano (gravitational) lakini si kweli

    Kwa elimu yangu ya darasa la saba nathibitisha kwamba uwezo wa kisayansi wa kuichunguza ile nguvu ya dunia ulifika mwisho. Pengine mawazo yao yalipingana kwa kitambo; Utafti wao unaibua maswali mengi kuhusu nguvu ya mvutano (gravitational) Utafti wangu unaniambia popote ukiona msomi kaweka...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mnaodharau single mothers wakati mama yenu ni Single mother mnaemsifu ni shujaa wenu, mna uzima kichwani ?

    Ulizaliwa na mama yako akiwa hajaolewa na pengine akaja kuolewa na mwanaume mwengine tofauti na baba yako, mwanamke huyu unamsifu. Lakini hapo hapo unawadharau single mothers kwamba hawafai. Hii tunaiitaje ? Pia kwa upande mwengine kuna single mothers wanatamani kuolewa lakini wao hawataki...
  9. JamiiForums Tanzania Aibu kuu kwa nchi, CCM inalipia matangazo mengi ya mitandaoni kuwachafua upinzani, nchi zingine nguvu kubwa imeelekezwa katika kuzitangaza nchi husika

    Huu upuuzi unapatikana Tanzania tu, ukiingia mitandaoni hasa Twitter, Instagram, Threads utakutana na "Ads" nyingi za CCM kuichafua CHADEMA kuliko "Ads" zinazoitangaza nchi kwa mambo mbalimbali. "Ads" za nchi zingine kama Kenya, Rwanda na South Africa zimejikita kwenye kutangaza vivutio vya...
  10. JamiiForums Tanzania Chief GodLove ulikuwa huwajui Wakenya naona sasa utawajua kwa Nguvu yao ya Kimtandao. Pole kwa Kufungiwa TikTok Account yako

    Kuna siku nilikuja na Uzi hapa JamiiForums wa kuulizia huyu Chief GodLove ni nani ukafutwa haraka sana na sijui kwanini.
  11. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kinachosababisha naonekana kuwa nina upungufu wa nguvu za kiume

    Iko hivi! Wanawake wengi niliojamiana nao wananiona mimi ni mtu nisiyekuwa na nguvu nyingi za kiume kutokana na sababu kadhaa. Jambo la kwanza ni kunuka kwa mdomo; kuna baadhi ya wanawake niliokutana nao kimwili ambao wananunuka mdomo kiasi cha kusema kwa shida wakati wa tendo la ndoa jambo...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa wale wana CCM mnaoutaka Urais 2030, Je mtaiweza nguvu ya Ridhwani Kikwete?

    Kijana Riz1 ni the next president in the making. Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi. Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Vijana wa Siku Hizi na Nguvu ya Mtandao: Tunajenga au Tunabomoa?

    Siku hizi, mtu akisema hana social media tunamshangaa kama kiumbe cha ajabu. Kila kitu kipo mtandaoni—kuanzia meme, trending stories, biashara, hadi mahusiano. Ila swali linabaki: Vijana tunatumia nguvu hii kujenga maisha yetu au tunajiharibia? 🤔 Nguvu ya Mtandao: Fursa au Burudani Tu? Kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Nguvu inayotumiwa na vijana Kwenye mijadala ya Timu mbili za Kariakoo meshauriwa kuhamishiwa:

    Vituo karibu vyote vya redio pamoja na vya madhehebu ya dini vimehamia kwenye mpita. Vituo hivyo, mbaya zaidi, kuanzia asubhi mpaka usiku wanajadili timu mbili za Kariakoo. Inasemekana vijana wanaojadili mpira mpaka kusahau wake zao na kuchapiwa na wasio washabiki wa mpira ni wengi na wangeweza...
  15. JamiiForums Tanzania Israeli - Imekuwa Taifa lenye nguvu kubwa sawasawa na jinsi Mungu alivyoahidi

    Watu wameduwaa! Watu wamebaki midomo wazi kwa jinsi wanavyoona Taifa la Israeli likiinuliwa na kuwa na nguvu kubwa. Nawaonea huruma wanaoamini uongo wa Ibilisi eti Biblia ni maneno ya watu. Biblia ingekuwa ni maneno tu ya watu, basi ahadi alizozitoa Mungu kwa Israeli zisingetimia kwa usahihi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mapenzi yamenishinda acha nguvu nihamishe kwenye kilimo na ufugaji

    Nimefika miaka 29, nilitaka nioe maana naona age inaenda kidogo, then Nina mipango ya biashara ambayo naamini Mwanamke Mwenye akili ndio atasimamia kwa sababu mimi ni muajiriwa, then Niko busy na mashamba, nataka nifungue biashara kwahiyo kumuweka mtu bora nimuweke wife nitakayempata, nina...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuachilia nguvu za kiroho ndani mwako wakati unapitia magumu.

    Mwanadamu ana nguvu mbili ya ndani na ya nje . Mwanadamu ameumbwa akiwa kamili au kwa mfano wa Mungu, uungu u ndani mwake,hivyo haitaji nguvu toka nje ili aweze kujiendesha labda tu kwa asiyeelewa jinsi ya uuungu ndani mwake unafanyaje kazi,kila kitu kimo ndani mwako uhitaji mganga,nabii wala...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA na chama chochote cha upinzani wekeni nguvu kubwa Vijijini kabla na baada ya Uchaguzi, mijini hakuna shida mna karata

    Wasalaam Vyama vya upinzani msiwe kama manabii wa utapeli waliojazana mijini Mtaji wa CCM ni ujinga wa watu wengi walio vijijini...huku mjini mnakubalika sana...ushahidi ni kabla ya Mhe. Mwendazake...mtaji wa CCM ni vijijini Wao huwatishia kuwa amani ndio jambo la msingi na endapo chama...
  19. JamiiForums Tanzania Kimya chenye nguvu na akili iliyojaa tafakuri

    Akiwa na umri wa miaka 95, mwanafalsafa na mwanaisimu wa Marekani Noam Chomsky alipoteza uwezo wake wa kuzungumza na kuandika, ..LAKINI aliacha kiti cha enzi cha maneno—chombo ambacho kupitia kwake alifichua ukweli kuhusu mifumo ya kimataifa 🧠📖. Katika maisha yake yote, aliacha nyuma tafakari...
  20. JamiiForums Tanzania Siri ya Uumbaji: Nguvu ya Maneno na Dhamira—Kutoka Mizimu(spirit) hadi Kuantum (Quantum

    1. Tamaduni na Dini: Spellcasting kama Uunganisho wa Roho na Nguvu Tamaduni za Kiafrika (Ifa, Voodoo, Uganga): Matumizi ya mitishamba, maneno ya nguvu, na mizimu yanaonesha imani kwamba ulimwengu wa kimwili na wa kiroho vinaunganishwa. Siri hapa ni ushirikiano wa nishati—maneno na matendo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…