nguvu mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Blasio Kachuchu

    Anthony Mavunde Apongeza Ushirikiano wa CRDB Bank na Tume ya Madini, Wachimbaji Wadogo Kupata Nguvu Mpya

    Dar es Salaam, 23 Februari 2026 — Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amepongeza kwa ushirikiano wa kimkakati kati ya Benki ya CRDB na Tume ya Madini, akieleza kuwa mpango maalum wa kifedha uliozinduliwa leo kwa ajili ya wachimbaji wadogo ni hatua ya kihistoria itakayobadili kabisa mfumo wa...
  2. secretarybird

    Zikiwa zimebaki siku tatu (3) JF kufunguliwa machawa maarufu wa CCM hapa JF wanapiga jeramba ili warudi na nguvu mpya

    Naona machawa wa serikali dhalimu wakijipanga ili waje na porojo zao humu hiyo tarehe 6 mwezi huu kwa lengo kututuoa kwenye reli kuelekea 9D. Cc chiembe choice variable Tlaatlaah johnthebaptist Lucas Mwashambwa
  3. Crocodiletooth

    Mziki mzuri toka nyikani unakuja tujiweke mguu sawa, unakuja kwa wema ulio wema, ukarimu Umoja na nguvu mpya!, yenye kasi mpya!

    Inshaallah tabarak!, dhamira ni kushika dola na nafasi za uongozi na si uana harakati! °Hata slogan yake inavutia kwa kweli, "CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA"
  4. L

    Mkutano wa BRICS waonyesha nguvu mpya katika mabadiliko ya mfumo wa kimataifa

    Mkutano wa kwanza tangu kuongezwa kwa nchi wanachama wa BRICS ulifanyika wiki iliyopita, ambapo rais wa China, Xi Jinping, alitoa hotuba na kusisitiza kuwa, ni muhimu kwa nchi wanachama kukutana kwa wakati huo na kupaza sauti kwa ajili ya haki na amani kuhusu suala la Israel na Palestina...
  5. L

    Mkutano wa BRICS waonyesha nguvu mpya katika mabadiliko ya mfumo wa kimataifa

    Mkutano wa kwanza tangu kuongezwa kwa nchi wanachama wa BRICS ulifanyika wiki iliyopita, ambapo rais wa China, Xi Jinping, alitoa hotuba na kusisitiza kuwa, ni muhimu kwa nchi wanachama kukutana kwa wakati huo na kupaza sauti kwa ajili ya haki na amani kuhusu suala la Israel na Palestina...
  6. mimi mtakatifu

    Jobless mwenzangu, unafanyaje kupata nguvu mpya baada ya akili na mwili kuchoka na mapambano ya utafutaji maisha?

    Umeshatuma maombi ya kazi miezi mpaka unahesabu miaka lakini hupati kazi. Unatafuta vibarua vya kujishikiza navyo inakuwa ni mtihani. Unafanya kila kitu kujaribu kujinasua na mkwamo wa maisha ikiwemo mambo ya kiimani ila bado hupati matokeo. Uvumilivu, kupambana, ubunifu, experience, knowledge...
  7. ThisisDenis

    KATIBAMPYA

    Hivi kuna haja yakutumia katiba mpyakweli, Mbona Maguculi hakutumia katiba mpya na mambo yalienda ? Aundio kujiendekeza ?? Tunahitaji viongozi wa kujitoa na wala sio katiba. Watatupiga hela tu kwenye prosess, mtanzania hayuko huru kuundakatibampya tunadanganyana tu.
Back
Top Bottom