Diwani wa Kata ya Oldonyo Sambu, Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha kupitia ACT Wazalendo, Kabaney K. Mojah, ametangaza kujivua udiwani na uanachama wa chama hicho kuanzia leo Jumatano, Aprili 15, 2025, na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mojah ametangaza uamuzi huo jijini Arusha alipokuwa...