ngazi

Ngazi Sport de Mirontsi is a football club from the Comoros based in Mirontsi.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa maelezo haya RPC angeachia ngazi kulinda heshima yake

  2. T

    Msaada wakuu, Chuo kizuri kozi za afya ngazi ya diploma

    Habari Wakuu, Naombeni mnisaidie ni chuo gani kizuri cha private ngazi ya diploma kwa fani ya nursing na clinical medicine ambacho kina hostel za bei rahisi au hostel za bure? Chuo kisiwe kanda ya ziwa wala kusini mwa Tanzania. Naombeni msaada pls!
  3. Kwanini mbowe yuko madarakani muda mrefu? Aachie ngazi nashauri

    Ili chadema ionekane ni chama cha demokrasia nashauri mbowe aachie ngazi. Asigombee tena uenyekiti
  4. Mliopata mkopo ngazi ya diploma mwaka Jana nahitaji muongozo

    Habari wanaJF mim ni mwanafunzi nahitaji kujiunga na diploma mwaka huu, Ili nifanikishe ndoto zangu nahitaj mkopo wa diploma ili niendele na masomo yangu kwa ufanisi, maana nasikia mwaka Jana walipata mikopo ngazi ya diploma. Nahitaji kwa wale mlioomba na mkapata mkopo mwaka Jana ,mnipe...
  5. Mliopata mkopo ngazi ya diploma mwaka Jana nahitaj muongozo

    Habari wanaJF mim ni mwanafunzi nahitaji kujiunga na diploma mwaka huu, Ili nifanikishe ndoto zangu nahitaj mkopo wa diploma ili niendele na masomo yangu kwa ufanisi, maana nasikia mwaka Jana walipata mikopo ngazi ya diploma. Nahitaji kwa wale mlioomba na mkapata mkopo mwaka Jana ,mnipe...
  6. C

    Ni chuo gani Bora Cha private ngazi ya diploma kwa course ya radiology na dental?

    Kichwa Cha habari chajieleza naomba msaada Wana JF maana nimeomba vya serikali nimekosea hovyo naulizia vyuo vizuri vya private maana Nina mpango wa kujiendeleza na degree
  7. K

    SoC04 Ukitaka kufagia ngazi, anza ngazi ya juu

    U
  8. Msaada: Vyuo vya afya ngazi ya Diploma vinavyopatikana mkoani Morogoro

    Naombeni kufahamishwa vyuo vya afya ngazi ya diploma (kwa mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne) vinavyopatikana mkoani Morogoro, ni muhimu sana
  9. Kazi za afya ngazi ya jamii

    Wakuu naomba aliye na ABC za muundo wa mafunzo ya miezi mitatu kwa waliobahatika kupata nafasi ha kwenda kwenye mafunzo ya afya ngazi ya jamii. Hivi kunakuwa na posho wakati wote wa mafunzo. ( Posho kwa siku au kwa mwezi?). Naomba kulifahamu hili mapema kwa anayejua.
  10. Vyeti vya Elimu ngazi ya chuo Vitofautishwe Sababu za Kurudia Mwaka na Kuahirisha Masomo, Itasaidia kujua yupi ni kilaza au alipitia ugumu wa kimaisha

    Habari wana jamiiforums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hili bandiko sijagusa Maisha ya mtu/watu. Lakini Kwa njia hii, vyeti vya wanachuo vitoe picha kamili na sahihi kuhusu sababu za muda mrefu wa masomo yao, hii itasaidia kuepusha mkanganyiko kuhusu uwezo wao wa kitaaluma na changamoto...
  11. A

    Naomba kujua hivi mtu aliyesoma diploma ya dental therapy/ Dental Technology anaruhusiwa kufungua clinic yake mwenyewe

    Habari wakuu, Naomba kujua hivi mtu aliyesoma diploma ya dental therapy/ Dental Technology anaruhusiwa kufungua clinic yake mwenyewe kwa kutumia cheti chake? Naomba pia kujua changamoto kubwa au vikwazo ambavyo unaweza kukutana navyo katka kufungua dental clinic. Shukrani.
  12. Kozi ya Architecture kwa ngazi ya Diploma au Certificate

    Habari wana JF. Naomba kujua vyuo vinavyofundisha kozi ya usanifu wa majengo (Architecture) kwa ngazi ya Diploma au Certificate. Natanguliza shukrani.
  13. L

    Je Marekani itabadili mtazamo wake baada ya mazungumzo ya ngazi ya juu kuhusu akili bandia kati ya Marekani na China

    Matumizi ya Akili Bandia (AI) yanatarajiwa kuwa sehemu muhimu ya nguvu za kiuchumi na kijeshi duniani katika siku za usoni. Ushindani wa matumizi haya ya teknolojia umeifanya Marekani ianze kudhibiti mauzo ya nje kwenye chip za hali ya juu, na kuiondolea uwezo China wa kupata chip za hali ya juu...
  14. Naomba kujua kiwango cha mshahara wa Wahudumu wa Afya ngazi ya jamii

    Naomba kujua kiwango cha mshahara wa Wahudumu wa Afya ngazi ya jamii
  15. Murtaza Mangungu leo ni Countdown yangu ya Kwanza Kwako kukutaka uachie Ngazi Simba SC na usije kusema Sikukuonya kwani huwa sibahatishi kwa lijalo

    Tafadhali aliye Jirani nae amwambie kuwa aachie Ngazi Simba SC kwani GENTAMYCINE huwa Sibahatishi kwa Taarifa.
  16. Viongozi na kuhangaika kurekebisha mambo wanapotembelewa na viongozi ngazi za Juu

    Ukistaajabu ya Mussa utaona ya viongozi wakiwa na hekaheka za kurekebisha mambo yao wakijua watatembelewa na viongozi ngazi ya juu, utajionea vituko vya mahangaiko yao wakati siku zote walikuwa wamekaa kama hawaoni kuna kasoro au hawahusiki na kurekebisha. Utapigwa butwaa kama ni barabara...
  17. SoC04 Upangaji wa uzazi kuelekea Tanzania tuitakaayo

    Kupanga uzazi ni kitendo cha mtu kuamua kuwa na idadi maalum ya watoto kwa ustawi wa familia yake. Wapo wanaotumia njia hizi wakiwa pia hawajabahatika kua na watoto. Kuna aina kuu mbili za njia mbali mbali za kupanga uzazi ambazo ni njia za asili na zisizo za asili. Njia za asili ni njia...
  18. Courses za ngazi ya cheti (certificate)

    Wakuu habarini za muda huu, poleni na majukumu na ni matumaini yangu kuwa mko vizuri kabisa. Niende Moja kwa moja kwenye jambo langu, Naomba kuuliza ni course Gani ya certificate ambayo kijana akiisoma kiasi Fulani haitamchukua muda sana kupata kazi? Kijana amesoma Art subjects but alisoma pia...
  19. H

    SoC04 Tanzania tuitakayo katika miaka ijayo ni muhimu mifumo ya Tehama katika sekta Afya isomane kuanzia ngazi ya zahanati Hadi hospitali ya taifa

    Sekta ya Afya hapa Tanzania ni miongoni mwa sekta nyeti ambazo serekali imeweka mkazo katika kufanya maboresho ili kuweza kuboresha utoaji huduma Bora za Afya kwa watanzania. Baadhi ya mifumo ya Tehama ambayo hutumika katika sekta ya Afya ni kama vile " District health management information...
  20. T

    Mwenye mitihani ya leseni pharmacy ngazi ya cheti(miaka ya nyuma) naomba anisaidie. Natanguliza shukrani.

    Wana jf naomba msaada wa pastpapers za mitihani ya leseni ya ufamasia ngazi ya cheti.Natumaini ombi langu litafanyiwa kazi.ASANTENI.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…