news

  1. U

    News alert: Klabu ya Simba Yamtema rasmi Morrison

    Tafadhali fungua kiambatanisho chenye taarifa rasmi Kutoka Klabu ya Simba KaziIendelee Ubingwa kwa Wananchi uko palepale
  2. Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

    HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 WAFUKUZWA RASMI CHADEMA Baraza Kuu la #CHADEMA limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge wa Viti Maalumu bila baraka za chama ====== UPDATE: Halima...
  3. Bungeni: Mjadala wa dharura kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Mbunge asema tozo mbili zinaongeza 792 kwenye bei

    Leo May 5, mbunge Kilindi, Omary Kigua ametoa hoja ya kuahirisha shughuli zake za kawaida ili kujadili dharula ya ongezeko la bei ya mafuta. Kigua amesema kuna changamoto ya kupanda kwa haraka sana kwa mafuta ya taa, dizeli na petroli ambapo hivyo vikipanda ni kimepandishwa kila kitu na...
  4. U

    Rais wa Ukraine alaani vikali ziara ya Katibu Mkuu wa UN jijini Moscow

    Russia-Ukraine live news: Zelenskyy slams UN chief’s Russia visit Ukraine’s president says ‘there is no justice and no logic’ to Antonio Guterres’s decision to travel to Moscow before he visits Kyiv. Ukraine's President Zelenskyy attends a news conference at a metro station in Kyiv [Gleb...
  5. Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoisimamia tena Mloganzila, sasa Mloganzila kujiendesha yenyewe kuanzia Julai 2022

    Hospitali ya MLOGANZILA itasimama yenyewe na kutoka chini ya usimamizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kuanzia Julai 2022. Hayo yamesemwa leo 18/3/2022 na Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu alipoitembelea Hospitali hiyo na kusema kuwa serikali imejiridhisha na jinsi hospitali hiyo inavyojiendesha...
  6. N

    China Wapeleka ndege za Jeshi kwenye anga ya Taiwan

  7. Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

    Rais Vladimir Putin akitia saini amri (the Decree) kutambua majimbo ya Donestk na Luhansk kuwa majimbo huru. Picha na Reuters. Rais wa Russia Vladimir Putin usiku huu anatarajiwa kutangaza majimbo ya Donetsk na Luhansk kama majimbo huru. Majimbo haya mawili yaliyo upande wa Mashariki mwa...
  8. Tetesi: Tetemeko la ardhi Kigoma leo alfajiri

    Kuna tetemeko dogo limepiga Leo kigoma wilaya ya buhigwe alfajiri
  9. Malak Phainzzy/Blenderz Entertainment

    Let's look up on this talented artist"Veeboiski " Let's see what's he ghat In joining our record deal He dropped "slowly" in few days back, produced by blenderz
  10. Mahakama yatoa amri Paul Makonda atangazwe gazetini na Kolomije kupata taarifa za kesi

    Mahakama ya Kinondoni leo Jumanne imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini kwao Kolomije kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili apate taarifa za kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea. Kesi itatajwa 2 Machi...
  11. N

    IFFHS: Simba ya 361 Duniani, Ligi ya Tanzania ya 8 kwa ubora Afrika

    Hawa jamaa hawana affiliation na FIFA ni watu wa takwimu za michezo SINCE 1984 jana wametoa takwimu zao za teams 400 bora duniani simba ikiwa nafasi ya 361 na ligi ya Tanzania ikiwa ya 8 barani afrika bila shaka kutokana na libeneke la simba sc kwa melezo zaidi ngia kwenye website yao. Na...
  12. Wajue the Top 10 wa CCM watakaotoa, the top 5, top 3 na the best Spika. Angalizo, si lazima the best ndiye awe Spika, bali the chosen one!

    Wanabodi, Moja ya udhaifu mkubwa wa media yetu nchini Tanzania, ni uwezo duni kufanya analysis, ili kuzisaidia ngazi za uteuzi za CCM kututeulia Spika Bora. Spika Job Ndugai, hakuwahi kuwa Spika Bora, bali alikuwa ni Bora Spika, na kupatikana kwake ni kutokana na kutokuwepo kwa uchambuzi...
  13. Shiboub amekuja tu Kutalii Mapinduzi Cup ila Simba SC hatuna mpango wa Kumsajili..Kasema Boss Try Again

    Ningewashangaa sana Simba SC kama kweli wangemsajili Shiboub kwani ameshaishiwa Uwezo na wapo Wachezaji wa Kumzidi Kikosini kwa sasa. "Hii Michuano ya Mapinduzi Cup ni kama tu Bonanza na kwa Uhusiano wetu mzuri na Shiboub alituomba tu Simba SC aje Kutalii na Kuwasalimia Wachezaji wenzake...
  14. Hong Kong: Uhuru wa Habari waendelea kuzorota. Tovuti ya Citizen News yatangaza kufunga shughuli zake

    Tovuti ya Citizen News imetangaza kufunga shughuli zake kuanzia Januari 04, ikitaja kuzorota kwa mazingira ya Vyombo vya Habari kama sababu. Hatua hiyo imekuja baada ya Polisi kuvamia Kituo cha Stand News wiki iliyopita, ambapo watu kadhaa walikamatwa kwa tuhuma za uchochezi. Sheria mpya...
  15. Aluminium in Vaccines is extremely bad news for our children: It enters the brain and stays there

    UTANGULIZI: Nitangulie kusema kwamba kama unataka kuelewa vizuri hili bandiko na kwa nini wanawekea watoto wetu sumu kwenye chanjo, pitia Kwanza bandiko lifuatalo⬇️...
  16. C

    Huu ni utoto na ushamba. Hizi propaganda za uongo zinamsaidia nini Rais Samia?

    Inasikitisha sana kuna machawa pro max wa kiwango cha dunia, alivyokuwa new york wali edit screens za matangazo za Times Square, cha ajabu nini hadi mu edit? Si hela ilipwe tu tangazo liruke kwenye zile screens Ali Kiba, Diamond, Zuchu matangazo ya albamu zao yasharuka sana Sasa kubwa zaidi...
  17. YouTube Hali ni Mbaya! Viewers kwa Wasanii Zimeshuka Kinoma

    TUNAFAHAMU kwamba katika ukanda wa Afrika, nchi ya Tanzania ndio ilikuwa inaongoza kwa kuwa na bei rahisi za mabando ya simu kuliko nchi yoyote hapa Afrika (Sub Saharan). Jambo hili liligeuka kuwa silaha kwa tasnia yetu ya muziki wa Bongo Fleva katika sura ya Bara la Afrika, ilikuwa rahisi...
  18. Sudan: Viongozi kadhaa akiwemo Waziri Mkuu, Abdallah Hamdok wadaiwa kukamatwa. Jeshi lavunja Utawala wa Kiraia

    Kwa mujibu wa Kituo cha Al-Hadath TV, Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abdallah Hamdok amewekwa katika kifungo cha nyumbani huku Viongozi kadhaa wa Utawala wa Kiraia wakikamatwa Hali Nchini humo imekuwa tete tangu kushindwa kwa jaribio la kufanya Mapinduzi Mwezi Septemba. Kukamatwa kwa watu hao...
  19. C

    Twiga kwenye jezi ya Yanga atakuwa mweusi mlima wa kijani

    Haya hayaa wale wazee wa kupitisha milioni 15 kwa WALEZI have done it again, call them UTOPOLO, UTOPWENGA, UTOPWINYO waharibifu wa logo na brand za wenzao kudadekii majitu ambayo logo yao ni mbaaya kishenzi hadi ina mabondia na wacheza netball hay bwana kikao kimekaa jana na NBC wamekubaliana...
  20. Rais Samia Suluhu kuzindua zoezi la sensa kitaifa Septemba 14, 2021

    TANGAZO MUHIMU KWA WATUMISHI WOTE Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino mnatangaziwa kwamba Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atazindua Zoezi la Sensa kitaifa tarehe 14 Septemba, 2021 katika Uwanja wa Jamhuri ~ Dodoma. Watumishi wote Mnatakiwa kuhudhuria Uwanjani bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…