netanyahu

Benjamin "Bibi" Netanyahu (born 21 October 1949) is an Israeli politician, serving as the prime minister of Israel since 2022, having previously held the office in 1996–1999 and 2009–2021. He is chair of the Likud party. Netanyahu is the longest-serving prime minister in Israel's history, having served a total of over 16 years.
Born to secular Jewish parents, Netanyahu was raised in West Jerusalem and the United States. He returned to Israel in 1967 to join the Israel Defense Forces and served in the Sayeret Matkal special forces as a captain before being honorably discharged. After graduating from the Massachusetts Institute of Technology, Netanyahu worked for the Boston Consulting Group and moved back to Israel in 1978 to found the Yonatan Netanyahu Anti-Terror Institute. Between 1984–1988 Netanyahu was Israel's ambassador to the United Nations. Netanyahu rose to prominence after election as chair of Likud in 1993, becoming leader of the opposition. In the 1996 general election, Netanyahu became the first Israeli prime minister elected directly by popular vote, and its youngest. Netanyahu was defeated in the 1999 election and retired from politics, entering the private sector. He returned and served as minister of foreign affairs and finance, initiating economic reforms, before resigning over the Gaza disengagement plan.
Netanyahu returned to lead Likud in 2005 and was leader of the opposition between 2006–2009. After the 2009 legislative election, Netanyahu formed a coalition with other right-wing parties and became prime minister again. He led Likud to victory in the 2013 and 2015 elections. Netanyahu made his closeness to Donald Trump, a friend since the 1980s, central to his appeal from 2016. During Trump's presidency, the US recognized Jerusalem as capital of Israel, Israeli sovereignty over the Golan Heights, and brokered the Abraham Accords, normalization agreements between Israel and the Arab world. Netanyahu has faced criticism over expanding Israeli settlements in the occupied West Bank, deemed illegal under international law. In 2019, Netanyahu was indicted on charges of breach of trust, bribery and fraud, and relinquished all ministerial posts, except prime minister. The 2018–2022 Israeli political crisis led to a rotation agreement between Netanyahu and Benny Gantz. This collapsed in 2020, leading to a March 2021 election. In June 2021, Netanyahu was removed from the premiership, before returning after the 2022 election.
Netanyahu's coalition pursued judicial reform, which met with protests in early 2023. In October 2023, Israel suffered a large-scale attack by Hamas-led Palestinian groups, triggering the Israel–Hamas war. Due to failure to anticipate the attack, Netanyahu has been criticized for presiding over Israel's biggest intelligence failure in 50 years, and faced protests calling for his removal. Netanyahu's government has been accused of genocide, culminating in the South Africa v. Israel case before the International Court of Justice in December 2023. In May 2024, Karim Khan, the prosecutor of the International Criminal Court, announced his intention to apply for an arrest warrant for Netanyahu, and other members of his cabinet, for war crimes and crimes against humanity, as part of the ICC investigation in Palestine.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nampenda Trump Ila anaboa Sana ni mwoga wa Vita salute kwa Benjamin Netanyahu

    Km Trump asingekuwa mwoga wa Vita utawala wa kigaidi wa Iran ungeshaanguka mpaka Sasa Sasa Trump anapigana Vita vya sitaki nataka Iran ikipokea kipigo kidogo tu ikiomba ceasefire naye anajaa anasimamisha Vita Israeli ukianza kuangusha Moto mtakatfu kwa magaidi,Iran wanampigia simu Steve...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Netanyahu anusurika baada ya shambulio la drone ya magaidi wa Hezbollah wakati wa ziara yake kaskazini ‘ya Israel

    NETANYAHU ANUSURIKA BAADA YA SHAMBULIO LA DRONE YA MAGAIDI WA HEZBOLLAH WAKATI WA ZIARA YAKE KASKAZINI ‘YA ISRAEL. Waziri Mkuu wa 'Israel' Benjamin Netanyahu amenusurika dhidi ya shambulio la ndege isiyo na rubani ya Hezbollah wakati alipotembelea...
  3. JamiiForums Tanzania Trump athibitisha kweli kumfokea Netanyahu kwa upuuzi anaoifanyia dunia.

    Trump confirms calling Netanyahu ‘f***ing crazy’ The US president says he confronted the Israeli prime minister over Israel’s attack on Lebanon US President Donald Trump US President Donald Trump has confirmed reports that he called Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu “f***ing crazy”...
  4. JamiiForums Tanzania Ama kweli cha mtu Mavi, Ona jinsi Trump alivyomfokea na kumdhalilisha Netanyahu!

    Niaje waungwa Kitendo hili kimenikumbusha msemo wa mtegemea cha ndugu hufa masikini 🤣🤣🤣 Netanyahu si anajifanyaga ana file la Trump! Aliweke sasa hadharani tuone 🤣🤣🤣 Trump kamwaga mboga na yeye amwage ugali tuone. Laiti Israel isingekuwa inategemea msaada wa silaha, jeshi na ulinzi kutoka...
  5. JamiiForums Tanzania Kamati ya Roho mbaya yakutanika chini ya Waziri mkuu wa Israel Netanyahu kupanga kipondo kwa Hezbullah

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu katika ufunguzi wa Baraza la Mawaziri la Usalama leo: Tunaimarisha shughuli zetu nchini Lebanon. Jeshi la IDF linafanya kazi na vikosi vikubwa ardhini na kukamata nafasi za uongozi. Wakati huo huo, tunafanya juhudi kubwa ya kitaifa ili kuendeleza...
  6. JamiiForums Tanzania Vita vyetu na Iran havijaisha mpaka Uraniumu iondoshwe-Benjamin Netanyahu

    Netanyahu: Vita na Iran havijaisha, uranium iliyotajirishwa lazima ‘iondolewe’ Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema kwamba vita na Iran havijaisha kwani bado kuna uranium iliyotajirishwa katika milki ya Iran ambayo “lazima iondolewe” nchini, na “kazi pana ya kufanywa” dhidi ya uwezo wake wa...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alikutana na Wanajeshi na Makamanda Wakristo

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alikutana na wanajeshi Wakristo na makamanda kutoka kwa vitengo mbal8mbali vya IDF. Maelezo muhimu kutoka kwa kauli yake: Hili ni kinyume kabisa na kile kinachoenezwa huko nje. Sio tu kwamba Israeli inapigania haki za Wakristo kote Mashariki ya Kati...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu afichua kwamba alikuwa ametibiwa saratani ya tezi dume!!

    Netanyahu afichua kwamba alikuwa ametibiwa saratani ya tezi dume; daktari anasema uvimbe ulipatikana 'miezi michache iliyopita,' Waziri Mkuu alipata tiba ya mionzi miezi 2.5 iliyopita, na ugonjwa huo umetoweka. Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu afichua kwamba alifanyiwa matibabu ya saratani ya...
  9. JamiiForums Tanzania Katika dunia iliojaa viongozi wanafiki, kwanini niwe na aibu kumshabikia Netanyahu, kwanini nione haya kumsifia Trump

    Ofcoz mnawachukia, mnawachukia kwa maana wamedhibiti vikagarosi wenu wanaoiletea dunia tabu na mateso. Mnawachukia kwa maana wanadaka roho za itikadi kali wenzenu. Kwanini nimchukie mtu aliewatwanga itikadi kali waliokuwa wanavamia makanisa na kuwaua watu kama kuku? Kwa nini nichukie mtu...
  10. JamiiForums Tanzania Msala wetu na Iran bado haujaisha-Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu!!

    Jitihada za Marekani na Israeli dhidi ya Iran "hazijaisha bado," anasema Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu katika hotuba yake pamoja na Rais wa Argentina Javier Milei. "Wakati wowote unaweza kutuletea maendeleo mapya," anasema Netanyahu. "Nani anajua kesho au keshokutwa italeta nini." Netanyahu...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu atoa neno kuhusu Iran na Lebanon

    Kauli ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuhusu Lebanon na Iran. "Tuna fursa ya kuunda makubaliano ya kihistoria ya amani na Lebanon. Rais Trump anakusudia kunialika mimi na Rais wa Lebanon ili kujaribu kuendeleza makubaliano haya. Fursa hii ipo kwa sababu, tangu 'Vita vya Ukombozi,'...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Netanyahu anaendelea kutambea mitaani lakini viongozi wa Iran wanajificha sana tofauti na wanavyoongea mbele ya maiki hawaogopi kufa ?

    Hadi sasa kumuona kiongozi wa Iran, Mojtaba Khamenei, Imekuwa ni ngumu sana, yupo mafichoni. Baada ya baba yake kuuawa kwenye mashambulizi ya Marekani na Israel, Amekuwa kama ninja wa gizani, hajaonekana hadharani tangu achukue madaraka, Mahali alipo hata haijulikani wazi Netanyahu anaendelea...
  13. JamiiForums Tanzania Trump kuwaalika Netanyahu na Aoun Jijini Washington kwa Mazungumzo

    Katika chapisho lake la pili kwenye mtandao wa Truth Social baada ya kutangaza makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Lebanon, Rais wa Marekani Donald Trump amesema atawaalika viongozi wa nchi zote mbili jijini Washington kwa ajili ya mazungumzo. "Nitawaalika Waziri Mkuu wa Israel...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Propaganda: Baada ya kushindwa kudanganya kifo cha Netanyahu, Iran wamekuja na nyingine ya Marekani kuwalipa Dola Bilioni 6.

    Taarifa zinazosambaa kwamba Marekani imekubali kuilipa Iran dola bilioni 6 ni propaganda za zinazorejelea tukio la zamani lililotokea Septemba 2023 kipindi Biden akiwa Rais wa Marekani. Dola Bilioni 6 zilikuwa sehemu ya makubaliano ya kubadilishana na wafungwa, ambapo Marekani ilitoa ruhusa...
  15. JamiiForums Tanzania Netanyahu aomba kuhairishwa kwa kesi yake ya ufisadi.

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameomba kuahirisha kutoa ushahidi katika kesi yake ya ufisadi ya muda mrefu ambayo ilipangwa kuendelea wiki ijayo, akitoa sababu ya hali ya usalama inayoendelea katika eneo hilo, wakili wa Netanyahu alisema katika kesi iliyowasilishwa mahakamani Ijumaa. Kesi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Netanyahu asema Israel ipo tayari kwa vita muda wowote dhidi ya Iran

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema makubaliano ya usitishaji vita wa muda na Iran hayaihusu Lebanon na kwamba nchi yake itaendelea kuwashambulia wanamgambo wa Hezbollah hadi watakaposambaratishwa. Akizungumza kwa mara ya kwanza tangu kutolewa tangazo la kusitishwa vita vya Israel...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Kisiki cha mpingo Benjamin Netanyahu atuma salamu za pongezi kwa Trump.

    sacred principle Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu congratulated #US President Donald Trump on the rescue of an American airman from #Iran, while Iran's military said several US aircraft were destroyed, with footage showing wreckage.
  18. JamiiForums Tanzania Picha: Vita imefika pabaya, Netanyahu anadhalilika mchana kweupee!

    Niaje waungwana Naona Netanyahu kawekwa mtu kati 🤣🤣🤣🤣 Akienda mbele nchale ( Iran ) Akirudi nyuma nchale ( Hezbollah ) Akikaa nchale ( Houthis ) Muona mbali, na mjuzi wa mambo ya vita, niliwahi kuandika threads huko nyuma (2022) na (2024) kabla Iran na Israel hazijawahi kushambuliana moja...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran!!

    Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran, Hapa kuna mambo MUHIMU ZAIDI: -"Natumai naweza kukuambia kuhusu miungano muhimu hivi karibuni". -"Utawala wa Iran unatarajiwa kuanguka - mapema au baadaye". -"Tuliunda mabadiliko ya kimkakati - Iran ilitaka kutunyonga, leo...
  20. JamiiForums Tanzania Netanyahu amekiri kuwapa HAMAS ufadhili wa fedha $1+ billion

    Kuna ripoti ya uchunguzi imetolewa (BIBI FILES) wakati vita ikiendelea kati ya Iran na Israel. Ripoti hiyo ni video inayomuonyesha Netanyahu akifanyiwa mahojiano na vyombo vya usalama kuhusu tuhuma za ubadhirifu wa fedha. Katika ripoti hiyo, Netanyahu anakiri kuwa alitoa ufadhili wa kifedha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…