ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wako Wapi Wabunge wa Simanjiro, Longido, Monduli na Kiteto? Hamuwaoni ndugu zenu wanavyo teseka? Wakati wenu waja

    Hawa wabunge huwezi wasikia kwenye swala lolote la kutetea Wasai wenzao wanao taabika na wanao kuwa wakimbizi chini ya utawala wa kikaburu wa CCM, hawa wanangoja vipindi vya kampeni vifike wakawadanganye wamasai wenzao na kuwalisha nyama ili wawapigie kura tena. Hawa wabunge huu ulikuwa ni...
  2. JamiiForums Tanzania Itoshe kusema mke ni rafiki sio ndugu

    Undugu hata ukiukana bado huyo ndugu katika viasilia atabakia kuwa ndugu yako. Upande wa mke au mume, huyu ni rafiki, urafiki huwa unakufa na kuzaliwa upya na kuna kupata marafiki wapya, hivyo si vyema kuumia na rafiki asie mwema. Labda kama kuna mawazo mengine. muwe na siku njema.
  3. JamiiForums Tanzania Mpenzi wako sio ndugu yako

    Mwanaume kumbuka kwamba uyo Lusifa unaemuita mke, mchumba, baby n.k sio ndugu yako uyo, ni stranger tu ambae umekutana nae ukubwani akakubali kujiweka kwako kwa masilahi yake, ana uhuru wa kufanya maamuzi ya kukuacha bila kujali sacrifices zote ulizofanya kwa ajiri yake, na kama cheti cha ndoa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi kauli yako ya kuwaachia viongozi wa CHADEMA imekaa kimaigizo

    Salaam Shalom!! Umesikika ukitoa maelekezo kwa Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni Ukiwa jukwaani kupitia Naibu wake uliyekuwa naye ziarani Geita, kuwa, " Si mambo yote ni ya kuyatatua kisheria, wanasiasa tuachwe tuzumgumze, tafuta namna ya kuwaachia huru viongozi wa upinzani waliokamatwa"...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Yanga timu mnayo kweli lakini kwanini mnaingiza mabasi uwanjani bila wachezaji na mnapitia milango isiyo rasmi, shida ni nini?

    Kwa kweli mmekamilika kweli sio utani, ila yapo mambo yanatufanya tuwe na wasiwasi wazee wa Jangwani. Timu mnayo na mnaonyesha kweli mnataka bao, ile move ya Boka hadi mtu akajifunga sio masihara, yule ni Usain Bolt kabisa. Lakini kwanini Azam jana wajifunge mabao yote matatu huku nyie...
  6. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Lissu ni ndugu yangu yupo mbioni kuja CCM maana CHADEMA wanaendekeza rushwa wakati Lissu hapendi kabisa

    Akihutubia wananchi wa mkoa wa Kagera makala amesema chadema wameshindwa kabisa kujibu kiu ya Lissu ambapo Lissu amelalamikia rushwa na kukosekana demokrasia ndani ya CHADEMA lakini hawana mpango wowote kuyashughulikia. Ndugu Makalla amesema kutokana na ukweli huo alimsikia Lissu akisema...
  7. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu nyumba yangu niliyoijenga Maramba Mawili

    Hi JF. Ndugu zangu naomba mawazo yenu. Ni hivi, kuna nyumba iko hapo Mbezi Maramba mawili naona kama nilipoteza muda na hela zangu bure coz haina faida yeyote kwangu tokea nimeijenga. Ilipokamilika nilimpa uncle wangu na wife wake wakae. Baada ya miaka 3 ndugu akajiongoza akaenda panga 2...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu na udhaifu wa mfumo wa Ajira Portal

    Habari, mfumo wa ajira portal umekua kero kwa watumiaji kwani endapo kuna kosa basi mfumo hauna optiona ya kufuta kosa hilo (hasa kipengele cha accademic qualification) pia ukiwapigia simu hawapokei unapata ujembe the caller is busy ama wanakuwekea vijinyimbo vya hovyo huku ukipoteza salio lako...
  9. JamiiForums Tanzania Ndugu mlipa Kodi shuhudia jinsi Magari ya Serikali yanavyoendeshwa kwa vurugu huko huko Barabarani

    Video hii inaonesha Msafara wa Magari ya Serikali tena ya Kiongozi Mkuu! yakiendeshwa kwa speed kubwa na bila tahadhari ya alama za Barabarani huko Morogoro.
  10. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Simba njooni tukubaliane hili kabla ya mechi

    Mangungu anafaa au hafai? Na msibadili gia baada ya mechi.
  11. JamiiForums Tanzania Umughaka ni mtu wa kawaida tu ndugu zangu,ni deiwaka tu asiyekuwa na lolote

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kuna Vijana baadhi ambao wamekuwa wakinifata pm Kwa kuniomba angalau niwape kazi au Vibarua kama vinapatikana! Ndugu zangu, kwanza nawashukuru Kwa kudhani huenda Mimi UMUGHAKA naweza kuwasaidia, yawezekana ni taswira yangu hapa JF Kwa Vijana wengi ndio...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nimeanza kujifunza kuhesabu kwa lugha ya kiarabu, tujifunze pamoja tuache kung'ang'ania kiingereza

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeanza jifunza kuhesabu kwa kiarabu Nimeona niwe tofauti na Wakristo wenzangu wanaoamini kuwa kiingereza ndiyo lugha sahihi zaidi kwao kuliko lugha nyingine Kiarabu ni mojawapo ya lugha bora Duniani tena iliyotumika kushushia kitabu kitakatifu Asubuhi ya leo...
  13. JamiiForums Tanzania Hatimaye Waislam nao wamefikiwa na wasanii kwenye mahubiri

    Baada ya waislamu kuucheka,kuuponda ukristo hatimae nao wamefikiwa na wahuni Huyu kwetu sisi wakristo ni muhuni kama wahuni wengine tu Hana tofauti na kiboko ya wachawi. Nimemaliza
  14. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu ninaombeni zabuni ya sanaa ya uchoraji picha za ukutani kwa majengo ya kisasa

    Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye kipaji cha uchoraji picha halisi ya kitu au mtu yeyote aina ya MONOKROMU ukubwa kuanzia A0,A1,A2,A3,A4 na A5. Ni ombi langu kupokea kazi kubwa na ndogo za uchoraji kwani ninafanya kazi kwa bei nafuu kwa kumjali mteja. Nikiwa kama kijana ambaye sina ajira...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga anaanda kikosi Cha CAFCL, niwatoe hofu Simba tarehe 8 leteni timu msiogope Wala Yanga hawana tatizo na nyie, sisi ni ndugu

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Nikimnukuu kocha wa Yanga alichosema baada ya kumalizika mchezo huko Kwa Madiba Gamondi "You know Yanga & Simba are friends,so here in South Africa I prepare my team because of CACL,iam not here for Simba,So let I assure the Simba fans, we're brothers...
  16. JamiiForums Tanzania Adui wa ndugu yako ni adui yako ,,,Tumewalipia Simba deni lao la kichapo cha bao 4-0 toka kwa AMAKHOSI!

    Ndo Ivyo wananchi wamewalipia kisasi wale vijana wa Mangungu maana walipigwa chuma 4 kwa mtungi na kaizer chief! Wananchi wanatamba kokote na wanatoa adhabu kokote na kwenye uwanja wowote, siwatishi lakini Yanga wanatisha! Moja ya pre-season Bora kabisa imefanywa na Yanga msimu huu!
  17. 4

    JamiiForums Tanzania Kwako Ndugu Rais , ombi ,DC wa kimataifa awe kwenye baraza la Mawaziri

    Hili ni andiko fupi kwa Ndugu Rais , ila ukuu wenu kama member wa jf umezingatiwa . Ndugu Rais yupo mkuu wa wilaya mmoja hapa tz , ( mkuu wa wilaya wa Kimataifa ) binafsi siko ndani ya Wilaya yake, na hatujuani , ila nalazimika kukuomba katika mikeka yako awepo katika baraza la mawaziri ...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kishujaa ya mke wa Masanja Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe!

    Wadau hamjamboni nyote? Sikia kauli ya kishujaa ya Mama Monica Masanja mkewe mchungaji Masanja "Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe lazima usamehe, lazima uachilie" Je unampa ushauri gani? Njozi njema!
  19. JamiiForums Tanzania Anza kuwanyima watu taarifa zako hasa ndugu ,marafiki

    Tumia kanuni ya kuwanyima watu taarifa zako . Wasijue upo wapi Wasijue unafanya nini Wasijue Kazi yako Wasijue biashara zako wala kazi zako. Wasijue mipango yako Hii -ndo njia bora ya kuwa safe wewe dili na watu ambao mnafanya wote maisha . Hakikisha unakuwa na sura mbili Hakuna kitu...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu ushauri wa bure, ukitaka kwenda morogoro tafadhali panda treni SGR usipande bus. Epuka usumbufu

    Wadau hamjamboni nyote? Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza. Mchana mwema
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…