ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nawaaga kwaheri

    Sitakuwa Tena mtandaoni Hizi video na picha za ndugu zangu ninazoziona uvumilivu umenishinda. Moyo wangu unavuja damu sana. Nitarudi hapa siku Samia atakapokuwa kafa au kaachia madaraka Kwaherini ndugu zangu sitaingia Tena mitandaoni hasa mitandao ya kijamii Watu wameuwawa mpaka waliokuwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa watu wanazuiwa kuchukua maiti ya ndugu zao waliouawa kipindi cha uchaguzi?

    Kuna tetesi kuwa watu wanazuiwa kuchukua miili ya ndugu zao ili kwenda kuizika. Na kuna uvumi kuwa waliouwawa wanazikwa usiku ili kuficha ushahidi. Kama hii ni kweli . Hili jambo sio jema
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 MO29 is the day that marks the beginning of an end

    RIP kwa ndugu zetu waliopoteza Maisha. Lengo la maandamano ilikuwa ni kuzuia Uchaguzi usifanyike. NRNE imefeli. Ila Matokeo ya Uchaguzi yamezidisha hasira. Kama wanaweza wasiwe na Aibu wakaiba kura nying namna ile. Imagine wanafanyaje wakiwa kwenye maprojects yao ya kupeana na kugawana hela...
  4. JamiiForums Tanzania Umelaaniwa Kwa Kuuza nafsi za ndugu yako

    Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na uifunike uchi wa ardhi kwa damu za ndugu zako ,UMELAANIWA,,,,UMELAANIWA ,,,,UMELAANIWA....kwa kafara...
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukiwa Mtanganyika, haijalishi uko ndani au nje ya nchi, unayachukuliaje haya mauaji ya ndugu zetu?

    Nazani kama kichwa cha habari kinavyoonyesha inasikitisha sana kwa yanayoendelea Tanzania,sikuwa kuamini kama Viongozi wa inchi pamoja na jeshi la polisi wanaweza kusimamia mauaji dhidi ya raia zao hata kama wananufaika na rushwa ndani ya hiyo serikali,hata Magufuri alikuwa dikteta lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugu Samia S Hassan alaani Maandamano

    Samia amelaani Maandamano. Amesema yeye na wenzake walioshiriki uchaguzi wamesikitishwa sana na Vitendo hivyo alivyodai si vya kiungwana
  7. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watanzania, tuwe wavumilivu huyu mama akimaliza muda wake ataondoka, tumwache afanye kazi

    kwa kikwete tumeibiwa sana kama nchi awamu ile ila sasa yupo wapi, hivo ndugu zangu nawaombeni sana tuwe wavumilivu muda wake utaisha tu, kabla huja hamasisha uvunjifu wa amani fikiria watoto, wazee, walemavu nk haya ni maisha tu tutakufa tutayaacha yanini kuumizana? natumaini hata watekwaji...
  8. JamiiForums Tanzania Sasa wewe Murilo, Umeshasema Umemkamata Niffer, Lakini mpaka Sasa Ndugu wanazungushwa Kila Kituo, Hizi Degree zenu za Sheria mnazinunuaga?

    Katika jambo ninaliliamini 100% Mapolisi wengi aina ya Muliro, Mafwele na genge lao , Huwa Elimu zao ni za kuunga unga sana, Wakiwaga chuoni Wanaishia Kuhonga na kununua Mitihani . Unaweza jiuliza, Muliro kasema wamemkamata Niffer, lakini bado Mpaka muda huu Ndugu wa Niffer Wanazunguka Kila...
  9. JamiiForums Tanzania Timely Reminder Ndugu Watanzania

    The Quote
  10. JamiiForums Tanzania Naona aibu kuwaambia ndugu zangu kuwa nimepata mchumba kutoka kabila la warangi

    Habari zenu? Nina mchumba tuko nae kwenye mahusiano huu ni mwaka wa nne. Sasa imefikia wakti wa kwenda kumtambulisha kwa wazee home ila naona aibu kumtambulisha kwa ndugu na jamaa zangu sababu ya historia ya hilo kabila kuwa mbaya kwenye mahusiano. Je wakuu nitumie mbinu gani kumtambulisha ili...
  11. JamiiForums Tanzania Familia yawalilia ndugu wawili walioripotiwa kutekwa Mwanza, Polisi watoa neno

    Familia yawalilia ndugu wawili walioripotiwa kutekwa Mwanza, Jeshi la Polisi laeleza kuendelea na uchunguzi.
  12. JamiiForums Tanzania Changamoto gani ulikutana nayo baada ya kumpokea ndugu au rafiki kutoka mkoani

    Hi Wakazi wa dar ni changamoto Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa cheupe na kariakooo Tuje kwa hawa wanaomba kwenda kariakoo wana kuwaga wajuaji sana huyu aliomba...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Abdul Samia na Ridhiwani Kikwete ni ndugu?

    Kichwa cha habari kinajieleza na kujitosheleza. Karibu tutafakari pamoja kujibu swali hapo juu.
  14. JamiiForums Tanzania Tumesikia maombi na vilio vya mama Polepole na ndugu zake, mkewe na watoto vipi?

    Japo sijui Humphrey Polepole alizaliwa tarehe ngapi, wikipedia yake inasema alizaliwa mwaka 1980. Hivyo, ameishafikisha umri wa kuoa na kuwa na watoto. Tangu ajiuzulu ulaji na kujigeuza mpinzani wa wahuni wenzake, sikuwahi kusikia akitajwa wala kuonyeshwa mkewe au watoto. Je alikuwa bado...
  15. JamiiForums Tanzania Kuhusu kutekwa kwa Hamphrey Polepole, kuna maswali yanakosa majibu kwangu

    Wakuu regards kwenu, Wote tonajua jinsi ndugu Polepole alivyo jiweka hatarini kuanzia kujiuzuru mpaka kuibua maovu mengi ya ndani ya serikali. Ni dhairi shairi alijua hatari kubwa iliyomzunguka ukizingatia nyakati tulipo utekaji na mauaji yameongezeka sana sana i.e ni juzi tu mzee Ally Kibao...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania ni yetu sote, mbona ndugu zetu wazanzibari hawapazi sauti kwa yanayoendelea nchini?

    Ukishasikia muungano inamaanisha lako langu na langu ni la kwako pia. Miongoni mwa sababu kuu ya muungano ni suala la ulinzi na kiusalama baina ya nchi mbili yani Tanganyika na Zanzibar ndipo akazaliwa mtoto Tanzania. Ila cha ajabu yanayoendelea hapa Tanganyika hofu kutanda kila mahali...
  17. JamiiForums Tanzania Yani nchi ilikuwa hata wanaCCM wenyewe wakitekwa ndugu au rafiki zao wanaogopa kukemea na watu waalikuwa wanaona sawa tu??

    Hili nililiona kwa yule Chonchori nikashangazwa zaidi mpaka wenyewe wanaogopa hili genge alafu wanataka kutuaminisha hiyo ni amani mko sawa nyie??? Mzee haki yako pia itapiganiwa na sisi raia, kitu ambacho haikutegemea ila ndiyo maisha yalivyo hao uliohisi ni ndugu na watasimama na wewe kila...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Usiombe yakukute , JF nawaangukia ndugu zangu

    Mimi ni kijana wa makamo ME umri 30+ , wanasema mficha maradhi kifo humuumbua . Nakuja mbele yenu na uhitaji wa ajira/kazi/kibarua . Maisha yamenichapa sana ndugu zangu Umaskini ni mbaya sana asikuambie mtu . Mpaka naandika hapa mama watoto amenikimbia kisa sina pesa. Nilikua bonge nyanya ila...
  19. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Narok atoa kauli Kuhusiana na Video iliyosambaa Mtandaoni ya ndugu watatu kumshambulia Dada yao Mjamzito kumkataa mwanaume waliyemchagulia

    Video inayosambaa mitandaoni imeibua hasira kubwa baada ya kuonyesha mwanamke mjamzito akishambuliwa vikali na wanaume watatu wenye fimbo katika Nkareta, Narok Kaskazini. Taarifa zinaonyesha kuwa mwanamke huyo, anayejulikana kama Lepeita, alishambuliwa na ndugu zake wa kiume baada ya kuchagua...
  20. JamiiForums Tanzania Miaka minne ya Sir Richard Gordon Turnbull: Utamkumbuka kwalipi huyu ndugu yetu

    1958 to 1961: British governor December 9, 1961 to December 9, 1962: first and only governor-general Mtanisamehe nimechomekea kizungu hapo juu kidogo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…