ndogo

Ligi Ndogo Soccer Club (pronounced [liɡi ˈndoːɡo] (listen) or [liɡi ˈndɔːɡo] (listen); also known as The Planets or simply Ligi) is a football club and youth academy based in Nairobi, Kenya. The senior team currently competes in the National Super League, the second tier of the Kenyan football league system. The club's name is Swahili for "little league".
The club's youth academy was founded by current chairman Chris Amimo and Karani Nyamu in February 2002, and in 2005, the first senior team was formed and has played at Ligi Ndogo Grounds along Ngong Road since then. The team briefly used the Nairobi City Stadium in 2012 for its home games while their Ngong Road grounds were undergoing renovations.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Pesa ya China kwa Africa $50B kwa miaka 3 ni ndogo sana

    Mradi mmoja tu wa Tanzania wa reli ni zaidi ya $10B sasa China kusema watawekeza $16.6B kwa mwaka kwa miaka 3 kwa Africa nzima ni kichekesho kwa nchi kubwa vile na haita badilisha chochote. China wanaimarisha vitu tu ambavyo vinawasaidia wenyewe kama kusafirisha shabba ya Zambia lakini hawajali...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu tupunguze aibu ndogo ndogo

    Kwenye maisha huwezi kufanya kila kitu, na huwezi kujua kila kitu , japo kuna vitu vidogo vidogo si mbaya kuvijua na kama huvijui jaribu kukaa kimya ili kuepuka na aibu. Mimi napenda sana michezo kama mpira wa miguu na nimeucheza miaka hiyo.lakini pia ni mfuatiliaji mzuri wa mipira na klabu za...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndio tofauti ya masikini na tajiri katika utoaji wa sadaka

    Hii ndio tofauti ya masikini na tajiri katika utoaji wa sadaka Masikini anaamini ukitoa sadaka unabarikiwa unapata pesa Lakini kwa upande wa tajiri katika utoaji wa sadaka na kusaidia wasiojiweza hichi ndio anachokitafuta ushawah kujiuliza kwanini Kuna watu kila wanachoanzisha kinafanikiwa...
  4. JamiiForums Tanzania We do design and constrution

    One of our project at kibada kigamboni We do building design We do constrution at affordable price We do consultation Call /whatsap 0624004650 Office Sinza
  5. JamiiForums Tanzania Nchi yenye IQ kubwa Duniani

    Countries. Rank Country/Region IQ 1 Hong Kong * 106 2 Japan 106 3 Singapore 106 4 Taiwan * 106 5 China 104 6 South Korea 103 7 Netherlands 101 8 Finland 101 9 Canada 100 10 North Korea 100 11 Luxembourg 100 12 Macao * 100 13...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Video ya shambulizi makini: Israel ina target magaidi kwa kujali hata maisha ya wanyama, maafa ya raia wengi ni kutumiwa kama ngao za magaidi.

    Ni mfano wa shambulio la kupunguza casualities, wameyapa thamani maisha ya farasi kisha kuwatungua magaidi watatu kwa mpigo Wiki kadhaa zilizopita kiongozi wa Hamas alitunguliwa, casuality ya ziada ilikuwaa ni ya mlinzi wake labda walikuwa wamelala kitanda kimoja. Rais wa Iran alitunguliwa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wenye akili ndogo mara nyingi hufa mapema?

    Najaribu kufikiria kwa sauti au kwaza kwa sauti. Mara nyingi watu wenye akili kisoda/finyu huwa wanakifa mapema sana. Au kwa kuwa huwa hawatumii akili katika masmuzi yao wanaongozwa na emotions na kumuogopa kila mtu kwa inferiority complexes zao. Angali wafuato. Jpm kafa ghafla na mapema mno...
  8. JamiiForums Tanzania Sasa unaweza kuingiza kipato kwa kufanya tasks ndogo itakayo kugarimu dk 2 pekee kukamilisha approximately 50$-500$

    Tarehe 14 mwez huu ndo ile siku ya kuvuna tulichopanda. Siku zimebaki chache usiache fursa hii ikupite ni rahisi sana huhitaji pesa wala hakuna atakaekuomba pesa Mahitaji Telegram Muda wako Dk 2 tu kufanya task ndogo Then subiri tarehe 14 August tufurahi pamoja. Nitakupa link lakin kabla...
  9. JamiiForums Tanzania Vikundi vya Huduma ndogo za fedha pamoja na Wafanyabiashara wa Mtwara-Mikindani, wapewa mafunzo ya utunzaji fedha

    Na Chedaiwe Msuya, WF, Mtwara Vikundi vya Huduma ndogo za fedha pamoja na Wafanyabiashara mbalimbali kutoka Manispaa ya Mtwara-Mikindani, wameshiriki katika mafunzo ya utunzaji fedha yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Taasisi za Fedha pamoja na Ofisi ya Rais-TAMISEMI...
  10. JamiiForums Tanzania Msigwa kaenda CCM kuwa sehemu ya akili ndogo au kuifanya CCM akili kubwa?

    Alipokuwa bungeni kwa tiketi ya CHADEMA, Mch. Msigwa alishawahi kukituhumu CCM kwa kusema kuwa akili ndogo (CCM) inaiongoza akili kubwa. Kwa yeye kutimkia CCM, ameamua kuwa akili ndogo ili awaongoze akili kubwa au anataka kuifanya CCM akili kubwa? Pia soma:CHADEMA na CCM wameamua kumpuuza Msigwa?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Shida ni akili ndogo za madereva au ni maisha magumu yanachangia hizi ajari

    Leo asubuhi nikiwa njiani nimeona ajali Moja eneo la ilula na nikiwa nimetulia napitia mitandao nimekutana na picha za ajali Ile. Ukiangalia Ile ajali Ile fuso ilikuwa imeharibika , na jamaa wa fuso walikuwa waungwana wameweka alama zote muhimu barabarani kujua huko mbele unaenda kukutana na...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi wenye kutisha watu majukwaani hawamalizagi round kwa sababu wana akili ndogo za kutawala. Simba mwendapole ndiye Mla nyama

    VIONGOZI WENYE KUTISHA WATU MAJUKWAANI HAWAMALIZAGI ROUND KWA SABABU WANA AKILI NDOGO ZA KUTAWALA. SIMBA MWENDAPOLE NDIYE MLA NYAMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Najua ipo siku utajikuta ni mtawala au kiongozi. Ikiwa itatokea hivyo basi nisikilize Mimi Mtibeli alafu utakuja kunishukuru...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mgomo mkali katika maduka yaliyopo stendi ndogo Arusha uliofanyika siku ya Ijumaa na Jumamosi ulileta maumivu na hasara kubwa

    Mnamo siku ya tarehe 21 na tarehe 22 mwezi huu, yaani ijumaa na jumamosi, jiji la Arusha lilitikiswa na mgomo mkubwa uliofanyika katika eneo la stendi ndogo, mgomo ambao ulisababisha maduka yote karibia 400 kufungwa. Mgomo huu ulituathiri sana sisi wafanyabiashara halisi ambao tunafanya...
  14. JamiiForums Tanzania Zanzibar ni nchi ndogo yenye "akili" kubwa

    Namba hazidanganyi! Kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2022, Zanzibar ina ukubwa wa kilomita za mraba 2,460 na watu 1,889,773. Imeuzidi mkoa mmoja tu wa Tanganyika, Dar Es Salaam! Dar Es Salaam ina ukubwa wa kilomita za mraba 1,393. Hata hivyo, inaizidi Zanzibar kwa idadi ya watu. Kwa mwaka 2022...
  15. JamiiForums Tanzania Habari wana jamii Naomba gari ndogo ya kufanya kazi ya kuleta hesabu nipo DSM

    Waungwana habari za majukumu. Naitwa xx natokea maeneo ya mikwambe kibada kigamboni mkoa wa Da es Salaam. Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST,SIENTA,n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo kwangu...
  16. JamiiForums Tanzania Habari nahitaji gari ndogo ya kufanya kazi ya kuleta hesabu nipo DSM

    Waungwana habari za majukumu. Naitwa xx natokea maeneo ya mikwambe kibada kigamboni mkoa wa Da es Salaam. Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST,SIENTA,n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo kwangu...
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge Nicodemas Maganga amesema Trilioni 1.7 ni Bajeti Ndogo kwa Wizara ya Ujenzi, Fedha Iongezwe

    MBUNGE NICODEMAS MAGANGA Amesema Trilioni 1.7 ni Bajeti Ndogo kwa Wizara ya Ujenzi, Fedha Iongezwe "Maeneo ya Kanda ya Ziwa tunayo changamoto, Barabara ni mbaya sana, nyingi ni za vumbi, Magari yanakata Chesesi kwasababu ya ubovu wa Barabara. Bajeti ya Trilioni 1.7 ni ndogo sana, Waziri wa...
  18. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara ndogo ndogo, tumieni simu janja (smartphones) kujiongezea maarifa

    SIMU JANJA ZIWASAIDIE KUPATA TAARIFA ZA MAENDELEO - WAZIRI DKT. GWAJIMA Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amewaasa wafanyabiashara ndogondogo kutumia simu janja walizonazo ziwasaidie kupata taarifa sahihi za fursa mbalimbali za maendeleo...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini jamiii nyingi za watu warefu wana IQ ndogo lakini wako emotional violent??

    Wakuu katika tafiti zangu nimegundua hiki kitu!! Kina ukweli asilimia ngap? Twendeni kwa hoja
  20. JamiiForums Tanzania Nina jasho lenye harufu kali sana. Je, kuna dawa ya kutibu tatizo hili?

    Wakuu, Nina hili tatizo muda mrefu hata nijiloweke kwene jiki bado ngoma iko pale pale. Nashukuru Mungu ni mwanaume ningekua Mwanamke nadhan ningeteseka zaidi. vitu ninavoogea 1. Deto ya maji 2. Sabuni ya mikono 3. Medicated soap Mbaya zaidi joto kidogo na sweat kwa sababu watz wengi hawako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…