ndogo

Ligi Ndogo Soccer Club (pronounced [liɡi ˈndoːɡo] (listen) or [liɡi ˈndɔːɡo] (listen); also known as The Planets or simply Ligi) is a football club and youth academy based in Nairobi, Kenya. The senior team currently competes in the National Super League, the second tier of the Kenyan football league system. The club's name is Swahili for "little league".
The club's youth academy was founded by current chairman Chris Amimo and Karani Nyamu in February 2002, and in 2005, the first senior team was formed and has played at Ligi Ndogo Grounds along Ngong Road since then. The team briefly used the Nairobi City Stadium in 2012 for its home games while their Ngong Road grounds were undergoing renovations.

View More On Wikipedia.org
  1. 1

    JamiiForums Tanzania “TZS 255,400 kwa Direct Costs… 💔🎓Kwa mwanafunzi anayesoma kwa msaada wa mzazi anayehangaika, mlezi, au anayejilipia mwenyewe, hii si hela ndogo

    “TZS 255,400 kwa Direct Costs… 💔🎓 Kwa mwanafunzi anayesoma kwa msaada wa mzazi anayehangaika, mlezi, au anayejilipia mwenyewe, hii si hela ndogo. Ni mzigo unaoweza kuathiri uwezo wa mwanafunzi kuendelea na masomo. UDSM, tunaomba msikilize sauti ya wanafunzi. 🙏🏽 Tunaiomba UDSM: • Itoe...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini Dar es Salaam ina share ndogo ya GDP ya nchi ukilinganisha na majiji mengine ya EA?

    Jiji la Nairobi na viunga vyake linachangia asilimia 41 ya GDP yote ya Kenya Kampala na viunga vyake, 60% ya GDP yote ya Uganda Kigali 40% ya GDP ya Rwanda Dar Es Salaam 19% ya GDP ya Tanzania. Ni jambo zuri uchumi wa nchi kutokuwa dominated na jiji moja. Ila nini kimesababisha iwe hivi kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ndonga ishawahi kukusaliti?

    Kwenye shughuli zako za kiserikali, iliwahi kutokea siku ndonga ikakusaliti? Booster inayozungumziwa kwenye video ni kama ipi?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata router ndogo ya 5G inayoingiza laini zote, hizi router tunazopewa ni kubwa kama matunguli 😀

    Tulishazoea hapo zamani unabebakarouter kako kirahisi Lakini hizi router za 5 G kubwa kama matunguli 😀 Ni wapi naweza kupata router portable
  5. JamiiForums Tanzania Nyumba ndogo zina faida/msaada sana ki Afya

    Naam hasa afya ya akili.. Hawa wake zetu kwa kiasi fulani wanachangia sana kututanguliza mahala pema peponi. Hivyo mkombozi ni nyumba ndogo,,,huko hupata vitu ambavyo mke hawezi kukupatia, Wanaume tunahitaji heshima tu,,ukiambiwa jambo sikiliza. Mke akiwa na jeuri na kujibu kwa dharau hufanya...
  6. JamiiForums Tanzania Nataka kuanza ufugaji wa kuku kwa hatua ndogo

    Nataka kuanza ufugaji wa kuku kwa hatua ndogo Habari wakuu, Nimeamua kuanza ufugaji wa kuku kama njia ya kujiajiri. Nimesomea mifugo, kwa hiyo nina msingi wa elimu ya ufugaji, changamoto yangu kubwa kwa sasa ni mtaji wa kuanzia. Sina mpango wa kuanza na kuku wengi. Nataka kuanzia chini...
  7. JamiiForums Tanzania Ndani ya Miaka 5 ya Uongozi wa Rais Samia,Tanzania Yaanza Kuzalisha Smartphone na Kutengeneza Ndege Ndogo

    My Take Kuna nyumbu watabisha na kuanza kutukana Walisema kibaraka anawania tuzo ya Mabeberu 😂😂 Kazi nzuri sana ya kuhuisha sera Bora za biashara na uwekezaji zimefanikisha wawekezaji wa ndani na Nje kuanzisha Viwanda vya kimkakati kama hivi. Ushauri wangu ni tununue "Made in Tanzania",Mimi...
  8. JamiiForums Tanzania Nianze na nyumba ndogo ya kuanzia maisha, au nianze moja kwa moja na dream house yangu?

    🏠 MDau ameuliza: “Nianze na nyumba ndogo ya kuanzia maisha, au nianze moja kwa moja na dream house yangu?” Jibu langu kama mtaalamu wa ujenzi ni hili 👇 Kama tayari una ramani na maono ya nyumba unayotaka kuishi kwa muda mrefu, usikimbilie kujenga nyumba nyingine pembeni ya kiwanja. Kwa nini...
  9. JamiiForums Tanzania Odemba hayuko analytical kama Khalifa wa The Chanzo

    Mwandishi makini mwenye uwezo wa kudadavua mambo kama walivyokuwa akina Shaka Sali huwezi kuuliza maswali ya kipuuzi kama aliyomuuliza Mwenezi wa CCM iliyokataliwa na wananchi. Kwa sasa mwandishi Khalifa naweza kusema ndio mwandishi very intelligent and analytical. Mfano huwezi kumuuliza...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Tunamuomba Rais SAMIA SULUHU HASSAN auende Kamati ndogo ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Jaji CHANDE

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa,tunapendekeza na kushauri kwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN kuunda Kmati au Timu ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Jji CHANDE.Kamati au Timu hii iuendwe na watu toka Serikalini,Taasisi za...
  11. JamiiForums Tanzania Nukuu Za Rais Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar

  12. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Akiwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar | 02 Septemba, 2026

    https://www.youtube.com/live/BdUex_A8m7A Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar Septemba 02, 2026.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Android Smartphones: Nazipenda sana Samsung lakini nalazimika kuichagua Pixel sababu ya kamera kali na size ndogo ya kuenea kirahisi kiganjani.

    N:B: Simu ndogo zisizozidi 6.3' (Mifano Pixel 9, 10, 11 Pro na Samsung plain S 24, 25, 26) Mfano Pixel 9 Pro, 10 Pro na 11 Pro zimenivutia sana kwa sababu zina size ndogo ya 6.3" ambayo ni rahisi kushika mkononi, lakini zaidi ya hapo zinakuja na camera kali sana 📸🔥. Ukilinganisha na S25 na S26...
  14. JamiiForums Tanzania Sarakasi za usafiri wa umma Dar ni ishara tulivyo na viongozi wenye upeo mdogo sana.

    Duniani kote kwa wenye akili vyombo vya usafiri wa umma vinavyobeba watu wengi ndio huhamasishwa na kupewa kipaumbele kuingia katikati ya miji huku usafiri wa vyombo binafsi na vyenye kubeba watu wachache vikiwekewa vikwaza mbalimbali vya kimkati kama vile tozo maalumu za kuingia CBD (congestion...
  15. JamiiForums Tanzania Tabia ndogo mabadiliko makubwa

    tabia ndogo, mabadiliko makubwa Beti ya Kwanza Tabia ndogo huanza kimya, lakini hujenga maisha kwa nguvu, Nguvu ya kurudia hujenga misuli, na misuli ya akili hujenga uthabiti, Uthabiti hauzaliwi kwa siku moja, hujengwa kwa hatua ndogo za kila siku, Siku moja inaweza kuonekana ndogo, lakini...
  16. E

    JamiiForums Tanzania EPL isharudi Msimu 202627, JamiiForums Fantasy League imerejea. Jiunge uoneshe uwezo ushinde prizes kutoka Fantasy EPL na ligi ndogo mbalimbali

    Habari za siku nyingi , EPL isharudi Msimu 202627 , JamiiForums Fantasy League imerejea . Jiunge uoneshe uwezo ushinde prizes kutoka Fantasy EPL na ligi ndogo mbalimbali zilizopo nchini . JamiiForums Fantasy League bado ni just for fun na kukujengea uwezo wa kushinda kwenye ligi mbalimbali na...
  17. JamiiForums Tanzania Juma Ayo ana IQ ndogo sana. Inakuwaje Crown Fm wanampa majukumu yanayozidi uwezo wake?

    Nimesikiliza kwa makini mahojiano kati ya watangazaji wa Crown Fm na mgeni wao mheshimiwa genius professor Mangungu ambaye ni boss wa Simba Sports Club. Nilichogundua ni kwamba Mheshimiwa genius professor Mangungu ana IQ kubwa mno na huyu Juma Ayo hana uwezo kabisa wa kuhoji kichwa kama...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Je, Kamati Ndogo ya Maadili Ina uwezo wa kumvua uanachama VP???

    Kumbukumbu zinaonyesha, Kamati Ndogo ya Maadili ilishawahi kumvua uanachama aliyekuwa Jasusi Mbobevu ambaye kwa Sasa ni Marehemu. Jibu ni Ndiyo inayo uwezo huo. Na endapo ikitokea, je Tutegemee safi Mpya ya Uongozi??? Jibu ni Ndiyo, tutegemee PM wa Sasa kuwa VP, na Minister wa Sports wa Sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Kupizi kwa mara kwa mara huchangia hatari ndogo ya kupata kansa

    Source: National Institutes of Health (NIH) | (.gov) Reduction of Prostate Cancer Risk: Role of Frequent Ejaculation-Associated Mechanisms - PMC
  20. JamiiForums Tanzania Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapoanzisha Biashara ya Miamala ya Simu na Huduma Ndogo za Kibenki

    Biashara ya huduma za miamala ya simu na huduma ndogo za kibenki ni miongoni mwa biashara zinazohitajika kila siku. Watu wanahitaji kutuma na kutoa pesa, kuweka fedha, kulipa bili, kununua vifurushi na kufanya malipo mbalimbali. Hata hivyo, mafanikio ya biashara hii yanahitaji maandalizi mazuri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…