ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Vijana ndoa muhimu, Gerald Hando amezeeka ghafla

    Gerald Hando live hajaweka makeup msibani kwa Dida,niseme amezeeka ghafla. Naamini ni uchungu wa kufiwa na mke ,upweke unamzeesha. Ukifiwa na mke usikae zaidi ya miezo sita bila kuoa,sonona itakumaliza
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kwetu wakristo watoto wa nje wana haki sawa ya kurithi mali kama watoto wa ndani ya ndoa, Dada wa Arusha awape mali watoto wa Housegirl

    Watoto wote wana haki sawa, maamuzi ya wazazi hayana uzito wa kuwabagua, Mali zipigwe pasu kwa pasu kwa watoto wote bila kujali ni wa ndani ya ndoa au nje. Nimeshangazwa kusikia kinachoendelea huko Arusha kwamba mke wa marehemu bilionea YTemu anajitetea kwamba walifunga ndoa ya kikristo ya mke...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kuhusu uhamisho wa kumfuata mwenza wa ndoa kwenye kituo cha kazi

    Salaam wakuu... Pamoja na pongezi zilizotolewa kwa serikali juu ya uamuzi wa kuwasaidia wanandoa waliopo mbali kuishi pamoja, Nina ushauri kutokana na baadhi ya waajiri kutokuwa waaminifu kwa waliopo chini Yao. Ili mtumishi ajue taarifa zake zimefika wizarani ni vema kwenye mfumo wa ESS kukawa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Usiingie kwenye ndoa kama huwezi kuwa mwaminifu

    Ndoa inapaswa kuheshimiwa na watu wote. Inasiktiisha na kuhuzunisha mwanaume kulea watoto wasio wake na pia Inasiktiisha mwanamke/ mwanaume kuletewa magonjwa yasiyotibika kwasababu mwenza wake hakuwa mwaminifu. Kama unajijua huwezi kujizuia , usioe wala kuolewa, we danga tu. Nimemaliza.
  5. JamiiForums Tanzania Sawa mnapoamua kukataa ndoa na ku-embrace u-bachelor basi msianze tena kusumbua wake za watu bakieni na mishenitauni wenzenu

    Sera ya kukataa ndoa isibakie kwenu tu ila pia mkatae na ndoa za wengine ili msiziingilie. Tofauti na hapo mnakuwa tu kama kikundi cha vijana matapeli mjini. Maana kutokana na historia ya matukio kitakachofata kwenu mara nyingi ni death, ulemavu au kuziburia choo (something you really dont...
  6. JamiiForums Tanzania Ndoa si msiba, kwanini ziwatese watu wengine?

    Mhadhara - 34: Tukizungumzia msiba ni tukio la ghafla - msiba hutokea ghafla. Kwa watu ambao wana maisha ya kawaida matukio ya misiba yanawakuta wafiwa kwenye hali mbaya ya kiuchumi. Hivyo ni muhimu kumchangia hela mfiwa za kumsaidia. Kuhusu ndoa/harusi: Siku hizi matukio ya harusi yamekuwa ni...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote

    Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani. Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini? Ndoa ina miezi 10, mke wangu kabadili dini kaolewa na mwanaume mwingine

    Niliunganishwa na huyu mke wangu na shangazi yangu. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka masomoni Uingereza, na kwa kuwa nilitoka huko nikiwa na kazi tayari, hivyo nilikuwa nishajipanga kimaisha na mambo yalikuwa mazuri. Sikupanga kuoa kwa kipindi hicho, lakini kama unavyojua familia zetu, ukiwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini sex inaondoa chuki katika ndoa?

    Yani nimekuja kucheki ukifarakna na wife mkakutana tu na mwenzio yani baada ya mchezo tu chuki zinayeyuka hivi kuna siri gani hapa katikati?
  10. JamiiForums Tanzania Kama ni kweli kataa ndoa wana point tatu

    Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani. Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba...
  11. A

    JamiiForums Tanzania 40-49 yrs Christian man

    Habari nahitaji Mume mwenye umri 40 Hadi 49 Kwa ajili ya ndoa halali ya kanisani Mchapkazi na anayejua Majukumu yake sio wakulelewa Mkristo hasa mpetekoste NB alietayari ku asili mtoto Awe mkoa WA manyara kilimanjaro ,Tanga au Dar
  12. JamiiForums Tanzania Rafiki zangu wengi wenye umri wa miaka 35 mpaka 37 ndoa zao zimevunjika nyingine zipo ICU

    Kama mada inavyojieleza Hii hali imenishangaza sana. Nina marafiki wengi wa kike na kiume wenye umri unaocheza miaka 35 mpaka 37 wengi wao ndoa zao zimevunjika na nyingine zipo ICU Wengi wa marafiki hawa walioa baada ya kumaliza vyuo tena kwa mbwembwe nyingi leo hii ndo zimesambaratika na wengi...
  13. JamiiForums Tanzania Ukifanyiwa hivi katika ndoa inaongeza stress

    Moja kwa moja, wenye ndoa zao mkilala ukaletewa Makalio bumper to bumper huku wewe una stress zako kibao sana, huwa ni kama kero na stress zaidi. Mwenzio anakoroma wewe hesabu haziendi.
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu kuhusu utaratibu wa kupata cheti cha ndoa Rita

    Naomba kufahamishwa kuhusu upatikanaji wa cheti cha ndoa cha Rita je! Kinaweza kupatikana hta kwa hawa viongozi wetu wa dini au ni Rita tu peke yake?
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake Njooni Tuongee:- Nini kimezikumbuka ndoa zenu, mbona mnaua wanaume zenu hivi?

    Twende "direct" kwenye mada. Chekini haya mateso ya ndoa. Maana nikiwaambia msioa mnashupaza shingo. Hebu chekini hizi comments. Acheni kuoa MTAKUFA. #YNWA YANGA_BINGWA
  16. JamiiForums Tanzania Ninatafuta furaha naipata kwa hila

    Nimeeleweka vzr tu acha muhangaike
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume tu: Hivi wanaume lita 1000 za mafuta zinakuwa zinatumika kwenye kitu gani wakati wa tendo la ndoa?

    To be honest Mpaka sahivi nawaza zile chupa 1000 nusu lita ya mafuta yaani lita 5000 za p.diddy Yani imenifanya kichwa kigande Mpaka nikitembea barabarani nikikutana na mwanaume mweusi naona sura ya Pdiddy Me simcheki P.diddy kabisa, wanaume wengi kwenye ndoa wanageuzana toka zamani mpaka...
  18. JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje ikiwa mwanamke amefunga ndoa wakati bado ndoa yake ya mwanzo haijavunjwa?

    Kama inavyojieleza Mfano upo kwenye ndoa na mke wako lakini kutokana na masuala mbalimbali ya kimaisha hasa ajira mnaishi mbalimbali kwa muda mrefu na mwisho kuwa na migogoro ya hapa na pale Baadae mwanamke anaamua kuolewa tena kimya kimya kule alipo bila wewe mume wake kumpa talaka au kuvunja...
  19. JamiiForums Tanzania Ndoa ni ngumu sana, asikudanganye mtu

    Ukioa ndo utajua kuwa kuoa sio kuzuri. Pia ukiwa single utaona kuoa Kuna faida ila maisha ya ndoa ni magumu saana asikudanganye mtu ukipata bahati ya kuwa single usichezee. Mungu sio mjinga wakusema tuishi na wanawake kwa akili. Wenzetu hawa ni watu hatari saana anaweza kukunyima unyumba...
  20. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Wanawake watakiwa kuacha Kupenda Kutumia 'Vilainishi' wakati wa Tendo la Ndoa bila Maelekezo Maalum ya Madaktari

    Kama ni mtumaji wa mitandao ya kijamii hususan Instagram, utakubaliana na mimi juu ya ongezeko la watu wanaouza vilaini (lubricant) kwa ajili ya kusaidia wanawake wasipate michubuko wakati wa tendo la ndoa. Kila mmoja akiuza bidhaa ya aina yake, njia tofauti zimekuwa zikitumika katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…