ndoa

  1. R

    JamiiForums Tanzania Uongo wa ndugu yangu kipindi cha uchumba yagharimu ndoa Yake

    Habari Wana JF. Kuna ndugu yangu mmoja mtoto wa kwanza wa Baba mdogo wangu wa kike. Tulimuoza Mwaka Jana mwezi wa 1 ndoa kabisa ya kanisani. Aliolewa na kijana mmoja waliefahamiana chuoni. Sasa hii ishu mimi nimepata last week na mpaka sasa imeshindikana kusolve Tangu mwaka Jana. Wazee...
  2. JamiiForums Tanzania Daima iangalie ndoa katika mtazamo wa kibiashara

    Unajua kwanini wazee wetu waliishi umri mrefu na wa furaha? Ni kwa sababu mtazamo wao kimaisha ulikua tofauti na sisi. Waliishi maisha simple tu. Mfano, pale kijana anapofikia umri wa mtu mzima, anapewa mke na ardhi ya kulima ili aweze kulisha familia yake. Mke nae aji mikono mitupu, ndugu...
  3. JamiiForums Tanzania Kuchumbia kwa miaka au kufunga ndoa haraka: Njia gani inahakikisha ndoa imara?

    Katika zama hizi, kuna mijadala mingi kuhusu muda unaohitajika kabla ya watu wawili kuamua kufunga ndoa. Wengine wanaamini kwamba muda wa uchumba wa miaka kadhaa ni muhimu ili kufahamu tabia halisi za mwenza wako na kuona kama mnaweza kuishi pamoja kwa maisha ya ndoa. Lakini pia, kuna wale...
  4. JamiiForums Tanzania Ukifumaniwa unategua (sex) mtoto wa mtu haya ndo malipo yako, unafungishwa ndoa ya mkeka, faini kubwa au wakura

    Wanajamvi Kila jamii Ina utaratibu wake wa ku deal ama ku-solve maswala yake. Katika pitapita zangu za hapa na pale nikafika Kijiji kimoja Kipo mkoa wa Tanga mpakani na Gairo morogoro. Wenyeji wa hapo waliniambia sisi binti akimaliza darasa la Saba nakuchezwa (yaani anafundishwa mapenzi)kama...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Vita inayopiganwa ndani ya matumbo ya wanawake Walio ndani ya Ndoa, (Eve vs Mary)

    Salaam, Shalom! Ukitamka tu NDOA Takatifu, umekaribisha vita ,tena Si vita ndogo ni vita kuu, vita ya kuwania funguo za vizazi. Naweka seat, Nitatejea kusimulia sawasawa na nilivyosikia rohoni.
  6. JamiiForums Tanzania Amri 10 za ndoa

    Gdnyt
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wapole hawanaga bahati hasa kwenye mahusiano na hawadumu kwenye ndoa?

    Yaani kwa tafiti kadhaa nilizofanya na uzoefu binafsi nimeamini kweli watu wapole na watulivu hawanaga bahati kwenye mahusiano. Unaweza kuta mdada mzuri, mtulivu, hana makuu lakini aliyeolewa nae sasa pasua kichwa, vurugu, amani hakuna. Au mkaka mpole, mvumilivu anaoa kicheche, mtaa mzima...
  8. JamiiForums Tanzania Sasa leo ndiyo imekoleza imani yangu kwa wanawake wengi wapo kwenye ndoa kwa ajili ya maslahi ya kiuchumi sio wote ila wengi wao

    Kuna mdau mmoja umeuliza kwamba mwanamke amepata kazi marekani yenye maslahi makubwa na mume wake amemuuliza utachagua kipi kati ya mimi au hiyo kazi yako? Soma maoni ya wadau(wanawake) aisee Soma maoni ndiyo ujue wengi wetu huko kwenye ndoa tunaishi na wanawake wa namna gani 👇👇👇👇
  9. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuendelea kuishi na mwanamke wa namna hii ?

    Mimi ni kijana nimeoa Kwasasa Nina mwaka mmoja toka nioane na mke wangu na tumejaliwa kupata mtoto ana miezi miwili. Lakini pamoja na hayo Kuna kitu Nilikuwa nashindwa kuelewana na mke wangu Nilikuwa Niki sex naye naona reaction ya mwenzangu ni kama mtu ambaye hayuko pamoja na mimi ananipa...
  10. JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje Ishmael alituletea waarabu. Nimejifunza kutulia kwene ndoa

    Nikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu. Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha. Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha. Ukitenda unayoyajua utaiumiza dunia na ukoo wako na kizazi chako. Mtoto wa nje ya ndoa siyo. Poleni...
  11. JamiiForums Tanzania Mpenzi anayeongea vs mpenzi asiyeongea wakati wa tendo la ndoa, yupi unampenda zaidi?

    Haya nimeulizwa huku Kuna wale wana wapenzi wao wakati wanafanya tendo la ndoa uwa wanapenda kuongea ongea mpaka mwisho inaitwa dirty talk Kuna wale wapenzi ambao kwenye tendo la ndoa wanakaa kimya mwanzo mwisho hata miguno hamna Yupi unampenda zaidi? Yupi unamkubali zaidi?
  12. JamiiForums Tanzania Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

    Hakuna mwanamke wa kisukuma asiye na chale mwilini. Familia za kisukuma kupeana connection za waganga konki ni jambo ka kawaida, usishangae siku mkeo anapigiwa simu na mama yake kuwa aombe ruhusa kwako li akampeleke kwa mganga mpya. Ni mara chache sana kukuta mwanamke wa kisukuma ni tasa, kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa

    Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa. Kuna mwanaume niliwahi kuzaa naye kabla ya kuachana, na baadaye yeye akaoa mwanamke mwingine, ndipo mimi nikampata mume wangu wa sasa. Maisha yangu yanaendelea vizuri...
  14. JamiiForums Tanzania Kabla sijaoa, mlioko kwenye ndoa naomba mnifahamishe yafuatayo…

    Nataka nikiingia kwenye ndoa niwe mtu katili kweli kweli kwenye mali zangu hata kama bado sijazipata naamini nitakuja kumiliki tena nyingi sana. Je hati za nyumba na kadi za umiliki wa magari yako, mashamba na mali zako zote wewe mwanaume mwenzangu huwa unazificha wapi? Nataka mke wangu huyo...
  15. JamiiForums Tanzania Padre unampiga konzi hivi mwanangu labda uyeyuke vinginevyo pangechimbika

    Wakuu, Kuna hii Video inayosambaa inamuonyesha Padre akimpiga konzi msaidizi wake aliyeshika Mic wakati akifungisha ndoa, jambo lililowaacha wageni midomo wazi. Tukio hilo limezua mjadala kuhusu hatua ya mchungaji kumwadhibu msaidizi wake hadharani kwa kushindwa kuielekezea vizuri Mic kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Si niliwaambia msio:- Bado tu mnawaza ndoa? Mtagongewa mpaka mfe..!!!

    KIUFUPI KABISAAAA; Sina mengi 1. Video 400 zimejibu hoja zangu zotee. 2. Video 400 zimewajibu matusi yenu yotee mliyonitukana 3. Video 400 zimefuta dhihaka zenu zotee za kuniita mapenzi ya jinsi moja, nimelelewa na single maza, n.k KWA KUKUONGEZEA (By approximating) 1. Guinea ina watu...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuingia kwenye ndoa na kuitwa 'Kumstiri' imekaaje?

    Nisiwachoshe kwa salamu, moja kwa moja kwenye hoja. Kuolewa ni Kuolewa tu kwa mwanamke yeyote na ni Jambo Lenye heshima yake. Na kuoa ni kuoa tu kwa Mwanaume na ni Jambo Lenye heshima yake pia kwenye jamii. Yeyote awe Mwanaume au Mwanamke Umri wa kutimiza ndoa ukifika na Jambo hilo likatimilika...
  18. JamiiForums Tanzania Pesa sio kitu pekee cha kumfanya mwanamke atulie na wewe kwenye ndoa au mahusiano

    Siku hizi kuwa na pesa sio kigezo cha kumfanya mwanamke wako au mke wako atulie kwenye ndoa au mahusiano yenu. Hili limethibitishwa na alichokifanya yule afisa wa Equatorial Guinea ambae ametembea na wanawake wengi na kufanikiwa kuwarekodi wote na kibaya zaidi hata wale wanawake wenyewe walikua...
  19. JamiiForums Tanzania Mume aliyegongewa mke wake na baltasar wa guinea asafiri kutoka dubai kuvunja ndoa

    Hahaha wakuu ogopeni sana mitandao ile connection imezidi kugharimu ndoa za wakubwa serikalini guinea humo ndani Hii ni video inayoonyesha Mume aliyechapiwa na anasikitika sana maana alikuwa dubai kwenye biashara zake ila marafiki zake walimtonya mbona mkeo kaonekana kwenye video huko...
  20. JamiiForums Tanzania Muendano wa kimawazo katika ndoa.

    Ndoa nyingi za sasa zinavunjika kwakua watu wanaoa au kuolewa na watu ambao hawaendani nao. Mnaweza nyote mkawa na dini, tabia nzuri lakini ndoa ikafa kwakukosa muendano wa kimawazo. Kuna wanaume wao ndo wanataka wawe dominate kwa 100% yaani huna Cha kumwambia, neno lake ndo katiba huyu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…