ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. Nitapata wapi ndege wa kufugwa

    Napenda sana kufunga ndege wanaofugwa kama kasuku,mdau anayejua wanauzwa wapi anijulishe
  2. D

    Je unajua ni kwanini ndege wana jeuri ya kutua kwenye umeme wa 33Kv and below lakini wanaiogopa GRIDI YA TAIFA 220Kv

    Wakuu tulioambiwa wana magamba miguuni tulipigwa...Ngoja niwamegee ILIM 'SHEKH'. Ukizunguka mtaani utaona ndege wa aina tofauti wanatua kwenye nyaya za umeme wenye VOLTAGE kama 230V, 11Kv, 33Kv na hawaoneshi dalili yeyote ya kupigwa shoti. Lakini ukipita kwenye gridi ya taifa 220Kv utawaona...
  3. Aishi Manula augua ghafla Uwanja wa Ndege dakika chache kabla ya safari ya Algeria

    Wakuu Mlinda Mlango Aishi Manula sio sehemu ya kikosi kilichoelekea Algeria baada ya changamoto ya Kiafya akiwa Airport == Klabu ya Simba imetoa taatifa kuwa mlinda mlango Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka...
  4. G

    Tangu Fastjet waondoke umepanda ndege mara ngapi ?

    Nimejikuta nazikumbuka sana monents za Fast Jet miaka ya 2010's Ni kipindi nachoweza kusema nilitoa ushamba wa ndege, ndege ilikuwa kama basi la mkoani. Ilikuwa ni mkombozi mkubwa sana kwa watu wenye uchumi wa kawaida. Ndege zilikuwa zinajaa inabidi ukate ticket mapema, Nilichokuwa...
  5. Utuaji ndege wasimamisha mechi ya Azam na Dodoma jiji

    Wakati mechi ya Azam na Dodoma jiji inaendelea hapa uwanja wa Jamhuri Dodoma. Linatokea tangazo la waendesha uwanja kuwa taa zote za uwanjani zitazimwa Ili ndege itue kwenye uwanja ulio karibu na uwanja huo Wa mpira. Hii imekaaje kisheria?
  6. B

    Shirika la ndege nzuri (gharama) kwa trip y Dar to Dubai

    Salam wadau. Naomba kufaham Shirika la ndege lenye bei nafuu kwa trip ya Dar es Salaam kwenda Dubai. Shirika hilo likiwa na huduma ya VISA itapendeza zaidi. Naomba kuwasilisha wadau
  7. B

    Ndege kutoka Dar es Salaam kwenda Dubai

    Salam wadau, naomba kufaham shirika la ndege lenye bei nafuu kwa ajili ya trip ya Dar es Salaam to Dubai. Pia shirika hilo likiwa na huduma ya kushughulikia VISA litakuwa na sifa ya ziada. Naomba kuwasilisha
  8. X

    Elon Musk azikosoa vikali ndege vita za F-35 na mradi mzima wa utengenezaji wa ndege hizo

    Awaita waliotengeneza hizo ndege ni wajinga na wametumia gharama kubwa kutengeneza ndege zilizo complex ni upigaji tu Anasema kwa sasa future ni kwenye drones huku akionyesha swarm drones za China zikifanya maneuver angani...
  9. Nani mtoa huduma bora ya Mizigo kwa ndege na meli kutoka China?

    Wakuu, Si wote tunaweza kwenda China kufuata mizigo hasa hii midogo midogo ya matumizi ya kawaida na pengine biashara. kwa miaka takribani mwili nimekuwa nikiagiza kupitia hawa jamaa wanaitwa UNIQUE CARGO awali walikuwa wanafanya vema lakini kwa siku za karibuni naona wanasua sua. mzigo wa...
  10. AIR Tanzania, ndege yetu pendwa!

    Naomba niwakumbushe tu hawa wenzetu kuwa Sababu mojawapo kubwa kabisa inayofilisi mashirika ya ndege ni kuto kuaminika. Kuaminika maana yake ni kuwa na ndege ambayo abiria hana uhakika kama itasafiri, lakini muhimu zaidi, itasafiri kwa wakati uliopangwa kwenye ratiba. Hii ni kwa sababu, watu...
  11. Jinsi Richard Branson alivyoanzisha kampuni ya ndege bila kuwa na mtaji wowote ule

    Na... Jinsi Wewe Unavyoweza Kuanzisha Biashara yako pia! Moja ya Changamoto ambayo Wajasiriamali wengi wamekuwa Wakipitia ni Jinsi ya Kuanzisha Biashara bila ya kuwa Mtaji. Yaani… Je kuna Njia yoyote RAHISI ya Kuanzisha Biashara bila kuwa na Mtaji? Ukweli ni Kwamba… HIYO NJIA IPO NA...
  12. Urusi yaanza kufufua ndege zake za abiria, kukabiliana na vikwazo vya nje

    Kwa miaka mingi usafiri wa anga wa kiraia wa Urusi umekuwa ukitegemea ndege na baadhi ya vipuli muhimu kutoka nje ya nchi kama Boeing na Airbus. Anga ya kirusi ilijaa ndege za kigeni, zikiondoa ndege za ndani, hivyo kuzuia miradi ya ndege kama vile Tu-204/214 kuendelezwa. Katika kipindi hiki...
  13. Kwanini hii ndege ya serikali imeitwa Musoma na sio jina la mji mwingine wa hapa Tanzania?

    Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii ndege ya serikali imeandikwa musoma. So maybe help me to understand kwa nini iitwe musoma na sio Iringa,kasulu,sumbawanga,ilala au mji mwingine wowote? Asante
  14. Kwanini Brazil walifanikiwa mapema kutengeneza ndege kabla ya China?

    Technology ya ndege ni ngumu Sana. Mataifa mengi duniani Yameshindwa kuunda ndege. Mataifa kama Japan, Korea, Russia, UK tulitegemea wangekuwa wanatengeneza ndege lakini wapi Cha ajabu Brazil wanatengeneza ndege za embrear. Hii ikoje. Kwanini Wamefanikiwa kuunda ndege zao from the scratch
  15. Kamati ya Bunge, PIC Yaridhishwa na Uwekezaji wa Serikali Viwanja vya Ndege Nchini

    KAMATI YA BUNGE, PIC YARIDHISHWA NA UWEKEZAJI WA SERIKALI VIWANJA VYA NDEGE NCHINI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imesema imeridhishwa na uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye Ujenzi wa Viwanja vya Ndege nchini. Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam 15...
  16. Aliondoka kwa First Class ila Karudi Kama Mzigo Kwenye Ndege

    Kwa mara ya kwanza nashuhudia hili tukio kupitia picha hii. Leo utaondoka kwa ndege ukiwa daraja la kwanza (first class) ila na hatimaye kesho unarudi na ndege hiyo hiyo kama mzigo. Haya maisha yetu yanafikirisha sana ndg zangu,tuishi kwa amani na tafakuri sana.
  17. Ndege ya Air Tanzania kutoka Mumbai yapata hitilafu, safari yaahirishwa hadi Novemba 6, 2024

    MABADILIKO YA RATIBA YA NDEGE YA MUMBAI-DAR ES SALAAM 04 Novemba 2024, Dar es Salaam Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inapenda kuutaarifu umma kuwa ratiba ya leo ya safari ya kutoka Mumbai kwenda Dar es Salaam imebadilishwa kutokana na hitilafu ya kiufundi. Kwa kuzingatia kipaumbele chetu cha...
  18. U

    Iran yapinga vikali hatua ya Marekani kupeleka ndege hatari za B-52 kwani kinatishia hali ya utulivu na amani mashariki ya kati

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Esmaeil Baghaei amekosoa kile anachokiita uwepo wa Marekani unaotishia kuvuruga amani baada ya kutumwa kwa ndege za B-52 katika eneo hilo. "Siku zote tumekuwa tukiamini kuwa uwepo wa Marekani katika eneo hilo ni uwepo wa kudhoofisha utulivu," Baghaei...
  19. F

    Gharama za treni mpya ya EMU kutoka Dar hadi Dodoma zilipaswa kuwa gharama za usafiri wa ndege

    Treni mpya ya SGR yenye mfumo wa Electrical Multiple Units (EMU) imeanza safari za Dar Moro Dodoma tangu tarehe 1 mwezi wa 11 2024. Licha ya kuwa more comfortable zaidi ya zile za kawaida, treni za EMU zinafikia kasi ya juu kwa haraka zaidi. Safari ya kwanza kutoka Dar kwenda Dodoma imechukua...
  20. Nchi zenye viwanja vingi vya ndege (Airports)

    Hivi umekwishawahi kujiuliza Tanzania tuna viwanja vingapi vya ndege? Kuna nchi hazina kiwanja cha ndege hata kimoja, tena nchi mbalimbali tu barani Ulaya. Sasa leo nakuletea nchi kumi zinazomiliki viwanja vingi vya ndege duniani. 10. Indonesia: Hii nchi inayopatikana huko Asia ina jumla ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…