ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. Channel za ndani Azam TV zinalipiwa siku hizi?

    Mwishoni mwa mwaka jana, nilimnunulia mama yangu dishi la Azam. Hivi karibuni nimejulishwa kuwa channel zote zimekata, isipokuwa Hope TV na Azam 2. Hakuna channel zingine zo zote zaidi ya hizo, kwa hiyo hata ITV, TBC1, Star TV, n.k, hazipatikani. Leo nimeagiza fundi aitwe, lakini alipofika...
  2. Mdada siku moja moja toka nje ujipitishe pitishe angalau uonekane

    Mdada unaetafuta mume usijifungie ndani toka angalau nje ujipitishe pitishe uonekane huwenda ukampata mwenzio, alafu ukiwa unatembea tembea usiwe unatembea haraka haraka na ukiitwa itikia siyo unakuwa kama bubu. Alafu ukitafutwa usiuluze namba yangu umeitoa wapi mume hapatikani hivyo changamka...
  3. R

    PreGE2025 Kwanini Mzee Kinana amewapiga stop wagombea Urais ndani ya CCM miaka miwili kabla ya kufika tarehe ya Uchaguzi?

    Mzee Kinana amesema chama kitatumia utamaduni na mila kupata mgombea Urais 2025. Amesema pamoja na demokrasia kuwepo ila kwa muda mrefu inapotokea kupata mgombea Urais tamaduni zinaonyesha kwamba Rais aliyepo lazima apewe nafasi yakuongoza awamu ya pili. Hii kauli ameitoa leo tarehe 2/01/2024...
  4. K

    Waziri Masauni Atuhumiwa Kukwamisha Maslahi Ya Askari Wizara Ya Mambo Ya Ndani Kwa Maslahi Yake

    Askari walioko chini ya Wisara ya Mambo ya Ndani kutoka Polisi,Magereza,Fire nk wamekuwa wakimtuhumu Waziri Wa Mambo ya Ndani na watumishi wengine Wizarani kuzuia kwa maksudi posho yao ya UMEME na MAJI,huku wakitumia posho hiyo kujifaisha wenyewe kwa kujenga majumba ya kifa ha ri maeneo...
  5. Israel waingia ndani zaidi, wateka makao makuu ya ujasusi ya HAMAS

    IDF wanaendelea kutembeza kichapo ndani kwa ndani.... The IDF said troops of the 7th Armored Brigade had advanced further in southern Gaza, while raiding Hamas sites in Khan Younis, including the headquarters of the terror group’s intelligence division in the city. The intelligence...
  6. Mtaka hujui kusema Makonda yuko sahihi 100% kinakupunguzia ushawishi ndani na nje ya CCM? Ungekaa kimya ingefaa zaidi

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe, kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, cha kila Jumatatu, kaonyesha misimamo yake. Kuwa, anapenda aone wananchi wana uelewa wa kutosha kuhusu maono ya Mama yetu Raisi. Na kuwa yeye (Mtaka) hukaa na viongozi wenzake kutafsiri na kutekeleza maono na matarajio ya Raisi kwa...
  7. Uovu ndani ya Kanisa Katoliki

    Kwetu sisi tunaojuwa Historia ya kanisa katoliki, jambo la kuruhusu ushoga ndani ya kanisa halishangazi. Kanisa katoliki lilishaoza miaka mingi sana. Uozo wa kwanza uliaanza na mfalme Constantine aliporuhusu sanamu ndani ya kanisa (312 AD). Akaja tens Padri Terzel alipochapisha KADI kwa ajili...
  8. Nani aliye Msafi ndani ya CCM??

    Nani ndani ya CCM hajawahi kutumia cheo chake kwa manufaa yake binafsi?? Nani ndani ya CCM anaona kutumia ghiliba,dhuluma, wizi au rushwa kupata ushindi kwenye chaguzi ni jambo baya?? Nani ndani ya CCM anayesikitika fedha za Umma zinavyokwapuliwa na wajanja wachache waliomo ndani ya Chama...
  9. Hii Midoli inayovalishwa Nguo za ndani za Kike na kusimamishwa hadharani inawaaibisha wanawake na mama zetu!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza Boxing day ipite,la sivyo utaambulia Pilau kavu lisilokuwa na nyama! Leo nilikuwa na wazazi wangu wa kike nilikuwa nawapeleka mahali fulani,sasa mahali nilipokuwa nawapeleka jirani ya huyo mtu aliyepaswa wakaonane nae kulikuwa na duka la nguo za ndani (Lingerie)...
  10. A

    DOKEZO Tuzo za Filamu zinazoandaliwa na Bodi ya Filamu zina mchezo mchafu

    Ni kwa miaka mitatu sasa bodi ya filamu nchini Tanzania imekuwa ikiandaa tamasha la filamu nchini. Na kila mwaka kumekuwa na maneno ya kukatisha tamaa kwa waandaaji filamu nchini kutokana na hisia za kuwepo kwa upendeleo katika kuwapata washindi wa tuzo katika tamasha la Tanzania Film Festival...
  11. Usimrudishe kwao, yamalizeni ndani

    Salaam wakuu. Binafsi sijaoa ila inaeleweka kuwa ndoa zina changamoto nyingi sana zinazowesha kusababisha kupishana kauli, kupigana (sometymz), kunyamaziana n.k.... Nawapa kisa kimoja Miaka miwili ilopita, nilikuwa nikimtongoza manzi flan hv (hapa tumwite mary) alokuwa na kila sifa ya kuitwa...
  12. Njombe: Wanandoa 61 waomba Talaka ndani ya siku 44

    Imeripotiwa kuwa takribani Wanandoa 61 wamepeleka maombi ya Talaka kwa ajili kuvunja ndoa katika Baraza la Kata ya Kivavi, Halmashauri ya Mjini wa Makambako Mkoani Njombe kwa kipindi cha mwezi mmoja na wiki mbili kuanzia Novemba hadi Desemba 20, 2023. Mwenyekiti wa Baraza la Kata ya Kivavi...
  13. U

    Kwa taarifa yako Israel limetajwa mara 2200 ndani ya Biblia wakati Palestina haijatajwa hata mara moja

    Wadau hamjamboni nyote Niende kwenye hoja moja Kwa moja Huu ndiyo ukweli wa Maandiko matakatifu Taifa la Israel limetajwa mara 2,200 kwenye Biblia wakati Palestina haijatajwa hata mara moja Je Taifa la Israel limetajwa mara ngapi ndani ya Quran tukufu? Je Palestine imetajwa mara ngapi ndani...
  14. NJOMBE: Watu 61 wadai talaka ndani ya miezi 6

    Wanandoa 61 wamepeleka maombi ya talaka kwa ajili kuvunja ndoa zao katika Baraza la Kata ya Kivavi Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe kwa kipindi cha mwezi mmoja na wiki mbili kuanzia November hadi December 20 mwaka huu. AyoTV imezungumza na Mwenyekiti wa Baraza hilo Muhimba Payovela...
  15. Picha: Hivi hili suala kuwahusu walimu lina ukweli ndani yake?

    Endapo Mpwayungu Village atapita hapa. Atasononeka sana, aisee!
  16. Papa Francis asema Israel ni magaidi walioua wafuasi wake ndani ya kanisa Gaza

    Papa Francis alitoa tamko hilo leo kwenye misa na kusema Israel imetumia mbinu za kigaidi kushambulia kanisa hilo la madhehebu ya kikatoliki Dada mmoja anyeitwa Nahida Khalil na mwanawe Samar walikuwa wameingia kanisani humo kufanya ibada kabla kushambuliwa na kuuawa. Kiongozi huyo akaendelea...
  17. W

    Hivi nimedanganywa humu au? Wiki ya pili ndani ya Lindi sijafanikiwa kupata mwanamke!!

    Ukiwa humu jukwaani, stori za urahisi wa upatikanaji wa wanawake Lindi zinafika elfu moja au zaidi kwa siku. Picha inayokuja kichwani ni kwamba ukifika tu wanakukimbilia......Big no! Nina wiki ya pili sasa nahangaika na upwiru (genye) wangu bila mafanikio. Kila nikiwasimamisha na kuwaelewesha...
  18. Tiketi bure mechi ya Yanga inaenda kuifaidisha sana Simba

    Kuweka kiingilio bure mechi ya Yanga kunaongeza sana watazamaji watakaoenda kwenye mechi ya Simba. Tena kipindi hiki ambacho mashabiki wa Simba walirudi nyuma kidogo, hii ni boost kubwa sana. Yule mshabiki aliyekuwa alipe 3000 au 5000 kuangalia mechi ya Yanga ameshajihakikishia anaingia bure...
  19. CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari wa ndani na Nje ya Nchi 17/12/2023

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi . Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje...
  20. Romy Jones ndani ya bifu zito na Lamata!

    DJ maarufu nchini, Romeo George ‘Romy Jones’ ameingia katika bifu zito na bosi wake katika tasnia ya filamu mwanamama Leah Mwendamseke ’Lamata’ kwa kile kinachodhaniwa kuwa vita ya kimaslahi. Wawili hao wamefanya kazi kwa mafanikio katika tamthilia maarufu nchini ya Jua Kali, kabla ya kuibuka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…