ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Ni kweli katika Serikali hii na kwenye CCM hii hakuna wazalendo?

    Japokuwa Serikali yetu haiongozwi na Malaika, lakini kusema kweli yapo mambo mengi yanayoendelea nchini yanayotia kichefu chefu, kukatisha tamaa na kusikitisha. Hali hii ya mambo imesababisha ukosoaji mkubwa dhidi ya CCM na Serikali yake kutoka kwa kada mbalimbali za wananchi na hata...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa Sisi Wenye Familia ni Vitu Gani Muhimu Tunapaswa Tuwe Navyo Ndani ya Nyumba Zetu?

    Kwa haraka haraka ninavyovijua mimi ni 1. First AID Kit 2. Asali 3. Mzani 4……………
  3. F

    JamiiForums Tanzania Polepole anafahamu mengi ndani ya CCM tumsikilize kwa makini

    Polepole anaendelea kulifungua Taifa polepole. Polepole ni kada wa juu wa CCM na anafahamu mambo mengi sana ya ndani kuhusu CCM. Ni vyema tukampa nafasi apate kutufahamisha mengi tusiyoyajua kuhusu uhuni wa CCM katika nchi hii. Karibu ndugu Polepole tunakusikiliza kwa makini.
  4. JamiiForums Tanzania Je, chadema masalia imemvua Tundu Lisu uenyekiti wa chadema taifa kinyemela na kumtelekeza korokoroni?

    Je, Hamphrey Polepole anaandaliwa kurithi mikoba ya Lisu na nafasi ya uenyekiti wa chadema masalia Taifa? Kwanini sasa, na mbona mapema mno? Kwasasababu kuna kila dalili na viashiria vya chadema masalia kwa ujumla wake kuhamisha ushujaa wa Tundu Lisu kwa polepole. Mtu wa watu anaandika mpaka...
  5. JamiiForums Tanzania Polepole: Chinua Achebe anaushauri wako ndani ya Things Fall Apart

    Kuhusu wito wako kwa watanzania kujiunga na mapambano yako dhidi ya Samia pamoja na unaloliita kundi la mtandao, Achebe anasimulia: “Its too late, said Obierika sadly. The white man has put a knife on the things that held us together, and we have fallen apart the centre cannot hold. Our own men...
  6. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Ndani Anahitajika

    Habari wakuu, Nahitaji mfanyakazi wa ndani. Sehemu ya kazi; Bunju A - Dar es Salaam Mwenye kuweza kuniunganisha au kunipatia, nitashukuru sana. Number ya mawasiliano - 0767836872. Asante.
  7. JamiiForums Tanzania Ndani ya bustani ya wapendanao

    Mke huchanua kwa mapenzi. Mume huchanua kwa ukaribu. Wapendwa, water her heart. Lady share the honey. Hivyo ndivyo bustani ya ndoa inavyostawi. Stawisha ndoa yako kila siku.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Pole pole napigania NRNE au kuwaondoa wanamtandao ndani ya ccm?

    Kama kuna mtu mnafiki na basi huyu Pole pole, hutuba zake za mwanzo alikuwa anadai kurudiwa kwa mchakato wa kumpata mgombea wa uraisi kwa upande wa CCM ili waingie vizuri kwenye uchaguzi, hakuwa kinyume na uchaguzi. Lengo likiwa na kufanya mabadiliko yatakayo waondoa wanamtandao ndani ya CCM...
  9. JamiiForums Tanzania Polepole: Nitaongea visivyostahili vinavyofanyika ndani ya CCM na Chama kitateteleka

    Nakuomba tena Mama, itisha mchakato halali wa kumpata mgombea Urais wa CCM na awe mpya fresh mwenye nguvu, kama hautafanya hivyo Nitaongea vile visivyostahili ndani ya CCM, waulize CCM hivi Polepole anajua chochote ndani ya CCM kinachoweza kutikisa Chama!? Watakwambia.
  10. JamiiForums Tanzania Rais wetu kipenzi hujachelewa, rekebisha eneo hili maana hakuna aliyetoka salama

    Habari za Jioni Wadau, Niende kwenye Mada. Binafsi leo naandika thread hii nikiwa na huzuni sana tena sana. Najiuliza maswali mengi kwa hali ilivyo hapa Nchini. Rais alipopata nafasi ya kuongoza nilipata amani na matarajio kuwa ni wakati wa Watanzania kuishi kwa furaha kwenye nchi yao. Hii...
  11. JamiiForums Tanzania Ukiona unapoishi kuna demu single asipokuwa na mwanaume ndani anaacha viatu nje na kuna siku huoni kitu anauza ila hamjui code

    Iko hivi mademu single au wanachuo wajanja kwa sasa wana code zao za kuita wateja, mojawapo ndio hio ukiona demu anaacha sana viatu na sendo nje ya mlango wake hio ni taarifa kuwa yupo na mnakaribishwa, unatakiwa ujiongeze ndio imeisha hio, na sio ajabu kuna siku hamtaona kitu hapo mlangoni basi...
  12. JamiiForums Tanzania Anayehitaji mafanyakazi wa ndani aje

    Dm Mfanyakazi wa ndani yupo hapa
  13. JamiiForums Tanzania Kwani Clatous Chota Chama Yanga SC wamekukosea nini ndani ya Msimu Mmoja tu nao hadi kila Siku uwe Unawananga na kuwashusha Thamani?

    Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Young Africans Sports Club Clatous Chama, ameibuka na kudai kuwa hakuna mchezaji ambaye hatamani kuichezea klabu ya Simba SC, kutokana na ukubwa na ushawishi wa klabu hiyo ndani na nje ya Tanzania. Chama ambaye kwa sasa ni mchezaji huru baada ya kuachana na...
  14. JamiiForums Tanzania Mahakamani:Chadema wasali sala ya kuliombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki

    Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Uhalisia ndani ya harambee ya CCM

    Habari za muda huu. Niende kwenye mada Moja kwa moja. Chama Cha Mapinduzi hakijakosa hela kiasi cha kuandaa harambee ya watu kukichangia pesa za kuendesha shughuli za uchaguzi. Miaka yote chama kimekuwa kikishiriki uchaguzi pasi na kuhitaji watu kukichangia. Lengo kuu la harambee ile ilikuwa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Tengeneza website full ikiwa na domain ya biashara au kampuni example.com yako kwa elfu 50 tu ndani ya siku moja

    Habari, Wakuu karibuni niwatengenezee website haraka na kwa bei poa kabisa ya shilingi elfu 50 tu unaruka hewani mtandaoni ndani ya masaa 24. Nikuwekee na domain ya biashara yako bure kwa mwaka mzima mfano example.com bila malipo, hii sii ya kukosa. Kumbuka Website hii unaweza kuitumia kuuzia...
  17. JamiiForums Tanzania Stress zimemzeesha Gwajima ndani ya kipindi kifupi sana

    Kapoteza kabisa nuru, kasinyaa na kukunjamana sura kwa uzee wa msongo wa mawazo, ubishi na chuki dhidi ya viongozi wasio wakristu hususani waisilamu. Analazimisha ujasiri ambao kimsingi hana hata kwa kutazama tu body language na tone yake, badala yake kajawa chuki, hasira na kiburi kupindukia...
  18. JamiiForums Tanzania Niko kituo cha mwendokasi hapa Korogwe, ndani ya lisaa zimepita gari 3 tu

    Moja la Morocco Moja la Mbezi-Gerezani Moja la Kimara-Gerezani Inavyoonekana hii route ya Morogoro Road leo ina gari zisizozidi 10. Kimsingi hali ya hii taasisi ni mbaya sanaa.
  19. JamiiForums Tanzania Kwa ndani, CCM tunamchukia sana Mwamposa

    Mwamposa anachukiwa sana na sisi CCM in general na Mama Samia in particular. Mama Samia ameitembelea Mwanza mara kibao akiwa na idadi kubwa ya wasanii wazuri lakini hajawahi hata kufikisha idadi robo ya Mwamposa anayojaza hapa Viwanja vya nane nane. Mama Samia aliwahi kushindwa kujaza kujaza...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Omba usikutane na kichapo kutoka kwa migambo, hata wajeda hawaoni ndani

    Wazee kuna hawa watu wanaitwa migambo (kesho la akina). Naomba niulize hivi anayemfundisha mgambo si ni mjeda? Inakuwaje hawa migambo wanakuwa na uwezo wa kutembea kichapo naweza kusema hata kuwazidi wajeda? Mwaka 2023 nilipoenda home kutembea nilikuta kuna changamoto moja ya wizi uliokithiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…