nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Maji yenye mafuta yanavyoathiri afya za wanachi nchini Sudan Kusini

    Huko hali ni mbaya kwa baadhi ya majimbo mfano Unity ambapo maji ya kunywa yamechanganyikana na mafuta kutokana na mafuriko. Mafuta yanachimbwa sehemu mbalimbali mfano Uarabuni . Je, na huko hawajali afya za wananchi au wawekezaji na watawala wanatuona wananchi kama manyani? Kuna kesi za...
  2. JamiiForums Tanzania Shirikisho la soka nchini Nigeria lapiga marufuku kushangilia kwa mtindo wa Baltazar

    Shirikisho la soka nchini Nigeria limepiga marufuku wachezaji nchini humu kushsngilia kwa mtindo mpya wa Bathazal ambapo mchezaji wa timu ya Shooting Stars aitwaye Mustafa alishangilia baada ya kuipatia timu yake goli muhimu shidi ya wapinzani wao El Kanemi Katika tukio hilo Mustafa alifanya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kisiasa yanayoendelea humu nchini ni moja kati ya vikwazo kwangu endapo tu nikiyapa muda wangu

    Mimi kama kijana mwenye ndoto zangu binafsi, mwenye maisha ya hali ya kawaida, mwenye mambo kibao ya msingi ambayo nahitaji kuya-achieve nilikaa chini na kufikiria ni mazingira gani natakiwa kujitengenezea ili niwe katika Ari nzuri ya kujipambania. Katika kufanya research yangu ndogo nikaona...
  4. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi ni fedheha dhidi ya demokrasia nchini

    Kulizungumzia Jeshi la Polisi Tanzania haimaanishi kutishia ama kuingilia usalama wa nchi. Soma hii taarifa yao hapa chini Pia soma: LGE2024 - Polisi: Kuna chama cha Siasa kinapanga kufanya Vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Siyo mara ya kwanza polisi kutoa tuhuma ambazo hawajawahi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania NUKUU: Kutokana kanuni ya 50/50 wanawake kuajiriwa kumesababisha ukosefu wa ajira nchini

    Kwa mujibu wa historia ya Tanzania itakumbukwa miaka 1961 mpaka 1989 idadi ya wanawake wasomi haikuwa kubwa kama miaka 2020's, lakini pia idadi ya wanawake waliokuwa kwenye ajira ama biashara ilikua ni chache ikilinganishwa na leo hii Mwanamke alitambulika kama mama nyumbani Kitendo cha...
  6. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Marekani: Tupia kituko ambacho kingekuwa kimetokea kama kinavyotokeaga huko nchini Afghanstan

    Mawakala wa Trump wametolewa nje ya vyumba vya kupigia kura huko jimboni Maryland Endelea…
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Tanzania ni mhimili unaosimamia uvunjwaji wa Haki za Binadamu nchini....

    Tusome kwa pamoja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 12 (6) Kwa madhumuni ya kuhakikisha usawa mbele ya sheria, Mamlaka ya Nchi itaweka taratibu zinazofaa au zinazozingatia misingi kwamba: (a) wakati haki na wajibu wa mtu yeyote vinahitaji kufanyiwa uamuzi wa mahakama au...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Demokrasia imekomaa sana nchini, kata yangu ina wagombea uongozi wa kijiji wa CCM pekee

    Asante sana vijiji vyote vitano kwa namna mnavyokiamini na kukikubali Chama Cha Mapinduzi. Shukran sana kwa kuamua kuongozwa na vongozi makini na waaminifu wa CCM. Ni kitongoji kimoja pekee ndio kina mgombea dhaifu sana kutoka upinzani, hata hivyo nampongeza kwa ujasiri aliokuanao licha ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna namna yoyote serikali inaweza kuwarahishia Wamarekani Weusi wanaofika nchini, kuhamia, kufanya biashara au kama sehemu ya kustaafia?

    Kwa miaka 5 sasa, kumekuwa na wimbi kubwa sana la wamarekani weusi wanaokuja Tanzania, wengine kuhamia, wanaopenda kufanya biashara na wengine ni wazee wamechagua TZ kama sehemu ya kustaafia. Na hili wimbi nadhani lilikuwa kubwa baada ya dada mmoja anaigwa Traveling Sista kuja na kuanza...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali inatarajia kuanzisha Baraza la Afya ya Akili nchini

    Haya sasa wale ambao wanakutana na matatizo ya afya ya akili hatimaye serikali imewakumbuka sasa Ila nimeipenda hii itatusaidia wengi sana. Kikubwa hilo baraza lifanye kazi kwa uwelidi na kuwasaidia watu ===================== Serikali inatarajia kuanzisha Baraza la Afya ya Akili nchini...
  11. JamiiForums Tanzania TCRA: Utapeli wa "Tuma kwa Namba Hii" umepungua sana nchini

    Akizungumza kupitia Power Breakfasta leo Oktoba 30, 2024, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma amesema "Kwenye utapeli kabla na baada ya zoezi la usajili wa laini za simu tofauti ipo kubwa sana. Ukiangalia ripoti ya Robo mwaka ya performance ya mawasiliano kwenye takwimu za mawasiliano...
  12. JamiiForums Tanzania Miradi 77 Inaendelea Kutekelezwa na TANROADS Nchini

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) yenye thamani ya Shilingi Trilioni 4.6. Aidha, Serikali kupitia TANROADS...
  13. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zoezi la Uchukuaji na Urejeshaji wa fomu za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mbwembwe linaloendelea nchini nzima ni ishara ya uvunjifu wa amani

    Sioni sababu yoyote ya watu kukusanyana kwa ajili ya zoezi la kwenda kuchukua fomu tu ya kugombea, kwangu naona ni ishara kuwa wanaofanya hivi lengo lao wakishindwa kwenye uchaguzi ionekane wameibiwa kura, period. Kanuni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa za 2024, mwongozo wa uchaguzi na mwongozo...
  14. JamiiForums Tanzania Nini tatizo nchini kwetu mpaka waajira wapya wanawaza njia za upigaji hela ya serikali

    Aibu sana yaani kama vile takukuru haina makali maana hata waajiriwa wapya hawaogopi kabisa kufanya udanganyifu.michezo hii tunajua ipo kwa wakubwa huko ma senior waliozoea kazi ila cha kusikitisha mpaka mazungumzo ya vijana katika mataasisi ni namna ya kuwa katili ili kula hela ya umma.watoto...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchukuaji wa fomu Serikali za Mitaa/ Vijiji maeneo mbalimbali nchini kwa upande wa CHADEMA

    Habari wakuu, Tunaelekea kwenye zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa/vijiji ambapo watanzania maeneo mbalimbali nchini watapata fursa ya kuwachagua viongozi ambao wanaamini watawasadia kuleta mabadiliko ya kimaendeleo katika maeneo yao. Leo tarehe 26/10/2024 mpaka tarehe 1/11/2024 ni zoezi la...
  16. JamiiForums Tanzania Shambulio la Israel nchini Iran, natoa angalizo kwa wajanja na wenye uelewa wenzangu

    Niaje waungwana Baada ya Israel, Marekani, Uingereza na washirika wao wengine kujipanga kwa zaidi ya mwezi mmoja na kitu ili kufanya shambulizi la kuiangamiza Iran kushindwa. Sasa tumeona wenyewe jinsi Iran ilivyo imara kwa air defence yao hadi kupelekea shambulio la ndege 100 za Israel...
  17. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile: Serikali Inalenga Kuboresha Miundombinu Yote Nchini

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE: SERIKALI INALENGA KUBORESHA MIUNDOMBINU YOTE NCHINI Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile, amesema lengo la Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, ni kuboresha miundombinu yote nchini, ikiwemo ya uchukuzi, ili kuongeza ufanisi katika...
  18. JamiiForums Tanzania Waharifu wamepungua nchini Russia baada ya wafungwa kupewa chaguo la kujiunga na jeshi na kepelekwa Ukraine

    Habari za uhakika na kupendeza uharifu sasa umepungua na waharifu wamegeuka kuwa watakatifu. ni baada ya waharifu kufikishwa mahakamani na kupewa chaguo la kujiunga na jeshi na kupelekwa Ukraine tena front line . Tutarajie vita ikiisha Ukraine Russia patakuwa paradiso.
  19. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Palestina nchini Tanzania wameokoa Maisha yangu

    Assalam Aleykum! Habari zenu wakuu, mimi nachukua nafasi hii kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwenda kwenye Ubalozi wa nchi ya Palestina hapa Nchini Tanzania kwa kuokoa maisha yangu. Nilikuwa katika zunguka zunguka zangu hapa jijini kutafuta mkate wangu wa kila siku, nikiwa na njaa...
  20. JamiiForums Tanzania Laini za Simu zilizosajiliwa nchini zafikia Milioni 80.7, Vodacom yaongoza kwa Wateja, TTCL na Airtel zashuka

    MAWASILIANO: Takwimu za Mawasiliano ya Huduma za Simu kwa Robo Mwaka (Juni - Septemba 2024) zinaonesha kulikuwa na ongezeko la Laini 4,137,981 za Mawasiliano ya Mtu kwa Mtu (P2P) na Laini Milioni 1.02 za Mawasiliano ya Mashine (M2M) hivyo kuwa na jumla ya Laini Milioni 80.7. Kwa mujibu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…