nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kukimbia kwa Dkt. Nchimbi haikuwa sababu ya vyama vingine kususia mdahalo

    TUFANYE KWAMBA WOTE WALIKUBALI WATASHIRIKI MDAHALO HUU. SWALI Je kulikuwa na makubaliano yoyote kwamba kama hatoshiriki Dr nchimbi basi waliobaki wote wasishiriki ? mjadala huu haukuwekwa maalumu kwa ajili ya Dr nchimbi,bali ni wananchi na makatibu wa vyama. kitendo cha makatibu wakuu...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nilitaka kushangaa Nchimbi athubutu kukaa meza moja na Mnyika! Ataongea nini?

    Hatimaye kwa masikitiko makubwa, Mdahalo wa makatibu wakuu wa vyama vya siasa nchini umeahirishwa kutokana na wahusika kuingia mitini! Mbona kwa nchi za wenzetu haya mambo yanawezekana na yanafanyika vizuri kabisa? Kwanini sio huku kwetu? Je, ni uoga? Chuki? Kutokujiamini? Kukosa sera? PIA...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Aliimba " Nina imani na Lowasaaa" T2020 nimaimba "Nina imani na Dr. Nchimbi ku-print zaidi ya fomu moja 2025"

    Hakuna namna kwa hali ilivyo fomu zaidi ya moja haikwepeke kama kweli CCM watanganyika wanatupenda watanganyika wenzao. Mambo ni magumu sana huku bara. Ajira kiduchu, Hata Kinana anajua. Huduma za jamii kiduchu, Hata Mch. Msigwa anajua Mikopo mabenki riba juu sana, Hata Dr. Mwigulu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Chama changu CCM,Hususan Dk Nchimbi; Saidia Chama na Taifa kwa Ujumla

    Nakujua Dk Nchimbi kwa uwezo wa ko wa kiakili na hekima uliyonayo. Kwa kutumia karama hizo ulizopewa na Mwenyezi Mungu,utashauri Chama kwa busara na hekima ulizo nazo ili nchi inusurike. Wewe ndiye pekee kwenye Chama uliyebaki kuinusuru nchi hii. Najua mtu yeyote akigombea urais kupitia CCM...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amemwagiza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuzungumza na waziri wake, Hamad Masauni, ili kuona namna ya kuwaachia viongozi wa Chadema waliokamatwa mkoani Mbeya, akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe. Dk...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dk. Nchimbi: Wana CCM na Wanasiasa wa Vyama vingine tuchunge ndimi zetu

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amewataka Wanasiasa Nchini kutumia vizuri ndimi zao na kamwe wasitoe matamshi ambayo yanaweza kuhatarisha amani na utulivu. Balozi Dk. Nchimbi ameyasema hayo jana August 13, 2024 alipokua akiongea na Wananchi katika mkutano wa...
  7. JamiiForums Tanzania Nchimbi na Makala are you ready!?

    Nauliza tu tena kwa upendo, je, mpo tayari kufanya kazi na boss wenu mpya ( Bashi..)? Chama cha Mapinduzi (Halmashauri kuu) kinatarajiwa kuitisha kikao cha dharula hivi karibuni ili pamoja na mambo mengine ni mahsusi kwa ajili ya uteuzi wa makamo wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama baada ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa tamko hili la Dr. Nchimbi inamaanisha Intelijensia ya CCM ndiyo inayotumiwa kukamata viongozi wa upinzani?

    Hata sina haja ya kujieleza, Dr Nchimbi ametufumbua macho kwamba Intelijensia ya Chama chake ndiyo iliyoelekeza kwamba Mbeya hapakaliki na kusababisha kukamatwa viongozi wa CHADEMA kinyume cha sheria. Mfano mzuri nini kilichosababisha Mbowe akamatwe uwanja wa Ndege kama watangulizi wake...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi kauli yako ya kuwaachia viongozi wa CHADEMA imekaa kimaigizo

    Salaam Shalom!! Umesikika ukitoa maelekezo kwa Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni Ukiwa jukwaani kupitia Naibu wake uliyekuwa naye ziarani Geita, kuwa, " Si mambo yote ni ya kuyatatua kisheria, wanasiasa tuachwe tuzumgumze, tafuta namna ya kuwaachia huru viongozi wa upinzani waliokamatwa"...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, jeshi la Polisi litatekeleza maelekezo ya Dkt. Nchimbi ya kuwaachia viongozi wa CHADEMA? Haiwezekani akawa yeye pia ana mamlaka ya kusema kamata?

    Kama Karibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi anaweza akaelekeza waliokamatwa waachiwe na Vyombo vikatii, upo uwezekano huyu ndiye aliyeagiza wakamatwe. Tukumbuke Juzi alimtaka Lissu ajiunge CCM then Lissu akamjibu shit, yawezekana kabisa mzee Nchimbi alichukia akaamua kutoa maelekezo kuonyesha...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi Awaagiza Mwigulu & Bashungwa Ulipaji Fidia Bukoba Mjini

    DKT. NCHIMBI AWAAGIZA MWIGULU NA BASHUNGWA ULIPAJI FIDIA BUKOBA MJINI. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba kuiwezesha Wizara ya Ujenzi kiasi cha Shilingi Bilioni 1.8 kwa ajili ya malipo ya fidia kwa wananchi...
  12. JamiiForums Tanzania Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita .

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita . #ChamaImaranaSSH #KaziIendelee
  13. JamiiForums Tanzania Bashungwa Kusimamia Maelekezo ya Dkt. Nchimbi, Barabara Inayounganisha Kagera - Kigoma Kukamilika Oktoba, 2024

    BASHUNGWA KUSIMAMIA MAELEKEZO YA DKT. NCHIMBI, BARABARA INAYOUNGANISHA KAGERA - KIGOMA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuhakikishia Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi itahakikisha inasimamia...
  14. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nilijua tu Mch. Msigwa ataiingiza chaka CCM, sasa CHADEMA na kadi za kienyeji za karatasi wapi na wapi? Nchimbi uwe makini

    Nimeshangaa sana kuona KADI za Makaratasi za CHADEMA kwani ninavyojua CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo walishaacha na hizo KADI za Kienyeji. Pia soma: Kadi za kieletroniki za uanachama kuipa CHADEMA Tsh. Bilioni 13 kwa mwaka Peter ni mwanaharakati kutoka Matamba Makete aliyepata Ujanja Bondeni...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi Amuagiza Bashungwa, Ujenzi wa Barabara ya Kyerwa - Karagwe Kuanza

    DKT. NCHIMBI AMUAGIZA BASHUNGWA, UJENZI WA BARABARA YA KYERWA - KARAGWE KUANZA Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhakikisha utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka Karagwe (km 62.5) kwa kiwango cha...
  16. JamiiForums Tanzania DKT. Nchimbi amuagiza Bashungwa, ujenzi wa Barabara ya Kyerwa – Karagwe uanze

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhakikisha utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka Karagwe (km 62.5) kwa kiwango cha lami unaanza mara moja ili kuondoa adha wanazozipata wananchi wa Wilaya ya...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkutano mkubwa wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Nchimbi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi leo alasiri anatarajiwa kuzungumza na wananchi wa Lindi kwenye mkutano mkubwa wa hadhara utakaofanyika Uwanja wa Mpilipili, Mjini Lindi. Balozi Nchimbi na msafara wake, atapokelewa rasmi katika Ofisi za CCM za Mkoa huo, ambapo...
  18. JamiiForums Tanzania Nchimbi na Mtwara kuchele

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, amepokelewa na maelfu ya Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Wananchi wa Mtwara mjini, wakati alipowasili akitokea Masasi, kuzungumza nao kupitia mkutano wa hadhara, katika Uwanja vya Sabasaba. Katika ziara hiyo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Balozi Nchimbi azuru kwenye kaburi la Hayati Benjamin Mkapa Lupaso

    Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiongozana na Wajumbe wa Sekretarieti amezuru katika kaburi la hayati Benjamin Mkapa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu . "Naomba nikiri kuwa Mimi ni mwanafunzi wa hayati na nimekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa katika kipindi Chake...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Katibu Mkuu wa CCM Kuongoza Secretarieti Katika Ziara Nzito ya Mikoa Ya Kusini

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati vyama kama CHADEMA viking'ang'aniana na kila mtu akijitangaza kuwa ndiye mgombea Urais,wakati CHADEMA ikiendelea kupukutika na kukimbiwa na wanachama wote wenye akili Timamu na wanaojitambua,wakati vyama kama CHADEMA vikiwa vimepotea kabisa mitaani kutokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…