nchi

  1. JamiiForums Tanzania Wazo: Tanzania iwe shirikisho la nchi nne. Tanzania kusini, Tanzania Kaskazini, Tanzania Magharibi na Tanzania Mashariki

    Wazo liko hivi; Tanzania iwe shirikisho la nchi nne. Nchi zigawike kwa kuzingatia kanda kuu 4. Kanda ya Kaskazini, kanda ya kusini, Kanda ya Magharibi na Kanda ya mashariki. Tunaweza kuzipa majina mapya au tukaziita majina kulingana na location zake. Tanzania kama shirikisho itakuwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Time after time Waafrika tunachukulika kirahisi na uchumi wa nchi zetu kukua kwenye graphs za kwenye makaratasi.

    Mimi sio mwana uchumi, niko tayari pia kuelekezwa na kupigwa ILA, Ila naamini Uchumi sio hesabu. Haya ma-graphs ni techniques za serikali zetu kujionesha wanafanya jambo. Binafsi naamini kipimo bora cha uchumi ni kupima ukuaji wa ubora wa maisha wa jamii masikini sana kulingana na huduma...
  3. JamiiForums Tanzania Imekuaje barabara karibia nchi nzima zinabomolewa na kuachwa kwa mda mrefu bila marekebisho

    Hii ni Tabia chafu sanna ya kufumua barabara kisha inaachwa zaidi ya miezi sita huku ikiathiri maisha ya watu kwa maradhi ya macho mafua vifua vumbi kali sanna magari kuharibuka kwa mashimo tumerudi miaka nyuma huko. Kwanini kama budget hazijatengwa barabara zifumuliwe? Naendelea kusema...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burkinafaso hatoshiriki tena mikutano ya mataifa makubwa isiyo na maslahi Kwa nchi yake

    Captain. Traore kafunguka akiwa anaongea na mawaziri wake, Alisema hivi. Unadhani kwako unapokaa kuna jirani atakuja kukujengea? Kamwe hayupo, Hakuna bepari atakayekuletea maendeleo bila wewe mwenyewe kupambana maana hata bepari nae hupambania watu wake kupitia wewe, Lazima tulinde na kutumia...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye walevi wengi Afrika. Nini kifanyike?

    Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya pombe nchini yameongezeka kwa kiasi kikubwa (WHO, 2023) kutokana na sababu kadhaa: 1. Sababu za Kijamii na Kiuchumi Kuongezeka kwa kipato kinachopatikana mikononi mwa watu, hasa katika tabaka la kati, kumefanya pombe iweze kupatikana kwa urahisi zaidi...
  6. JamiiForums Tanzania China ndio ya kwanza duniani kwa ukiukwaji wa haki za binadamu na ndio marafiki wakubwa wa CCM. Unatarajia nini kutoka CCM?

    Urafiki wa nchi ya China kupitia chama tawala cha nchi hiyo na serikali yetu kupitia CCM ni kiashiria tosha cha mfanano wa vyama hivyo viwili. Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa! China inasifika...
  7. JamiiForums Tanzania Je, hii ndio nchi inayoongozwa kulindwa zaidi duniani ?

    Mongolia ni landlocked country imepakana na China na Russia pekee. Yote haya mataifa mawili ni nuclear powers na mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi. Ili uweze kuivamia Mongolia na kuiangamiza ni muhimu kuhakikisha hawa wote wawili hawapatani na Mongolia jambo ambalo gumu ndio uweze kutumia...
  8. JamiiForums Tanzania Hii Nchi Wajinga wengi. Haya ndiyo maoni ya Dira ya Maendeleo 2050

    Kwakweli serikali ndo maana inabweteka haipati presha maana wananchi wengi ni vihiyo. Hebu angalia maoni haya ya wananchi.😁😁😁😁
  9. JamiiForums Tanzania Zijue nchi wanachama wa OIC

    Leo niwajuze baadhi ya nchi wanachama wa Organization of Islamic Countries (OIC); jumla zipo 57. 1. Afghanistan, 2. Albania 3. Azerbaijan 4 Bahrain 5. Pakistan 5. Turkey 6. Qatar 7. Bangladesh 8. Benin 9. UAE 10. Djibouti 11. Indonesia 12. Morocco 13. Comoros 14. Kazahkstan 15. Kuwait 16. Libya...
  10. JamiiForums Tanzania Benki ya biashara Tanzania (TCB) kushirikiana na Serikali kupanua biashara nje ya nchi

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Arusha, Agosti 30, 2024 - Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kupanua wigo wa uwekezaji nje ya mipaka ya nchi. Hayo yameelezwa wakati wa kikao kazi cha siku tatu kinachohitimishwa hivi leo jijini Arusha. Kikao hicho...
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe awajibu polisi, ataka ushahidi wa zoom- ila yuko nje ya nchi

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mbowe-polisi-watoe-ushahidi-mipango-ya-maandamano-kikao-cha-zoom--4744332
  12. JamiiForums Tanzania Hii nchi ambao wako nje ya utumishi wa umma wana possibility kubwa ya kutajirika kuliko watumishi wa umma.

    Dunia ya sasa ili upate fedha za kutosha kwa urahisi lazima ujue kuuza sura kwenye mitandao ya kijamii. Ukijua kucheza na mitandao hulali njaa, huteseki na maisha. Makampuni yatakutafuta usiku na mchana uweke sura yako na sauti yako kwenye biashara zao. Mtumishi wa UMMA huwezi kucheza na social...
  13. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa maslahi mapana ya nchi ya Tanzania, Wabunge hawa hawatakiwi kukosa kwenye bunge la 2025-2030

    Huu ni utabiri juu ya nini kitatokea 2025 hadi 2030, itakuwa ni wakati wa kuwakomoa watanganyika. Nchi itapigwa mnada bila hofu yoyote kwa sababu watanganyika hao hao viongozi ndio wanasapoti uuzaji huo uendelee. Wananchi wa Ngorongoro wataondolewa ngorongoro wapende wasipende. Rasilimali...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zimehimizwa kujifunza toka kwa China ili ziweze kupata maendeleo ya kasi

    Maendeleo ya kasi ya kiuchumi na kijamii ya China, yamekuwa ni mambo yanayojadiliwa kwa kina na wasomi wengi duniani, ikiwa ni pamoja na wale wa nchi za Afrika. Moja kati ya mambo ya msingi yanayotajwa kuwa ni kiini cha maendeleo hayo ni njia ya China ya kujiletea maendeleo, ambayo wataalam wa...
  15. JamiiForums Tanzania Ukiangalia hizi wasifu za baadhi ya nchi za Afrika upande wa Mawaziri wa Afya utagundua Tanzania tuna safari ndefu sana

    Wenzetu atleast wana heshimu professionals za watu
  16. JamiiForums Tanzania Kweli nchi hii inatafunwa, Rais Samia amekiri jinsi wakuu wa mashirika ya Umma, wanavyojidai, jinsi wanavyoiba pesa za Umma!

    Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 2000 wakati alipokuwa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wamasai wapewe maua yao kwa kuipenda nchi yao!

    Wamasai ni wazalendo, na masomo ya kiraia wametupa: "Ilikuwa Ngorongoro, tukayasikia Loliondo." Kwa hakika hawa hata kama wangekuwa Gaza, Mossad wangenyoosha mikono. Haipo shaka hawa ndugu wanaipenda nchi yao kuliko wapalestina! Wangekuwa chama, wasingeibiwa kura na katiba waitakayo...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa hilo la UMEME Nchi nzima hongera Serikali.

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Nachukua fursa hii kuipongeza Serikali kwa KUTIMIZA WAJIBU wake kwa kuhakikisha Tanzania nzima inao mtandao wa mwanga wa nishati ya umeme karibu Miji na Vijiji vyote. Tunaweza kuona ni jambo dogo lakini kwa wenzetu hiyo ni habari kubwa na maendeleo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Inasemekana NATO wamemtaka Zelensky akimbie Nchi, je ni kweli?

    Nasikia NATO wamemshauri Zele akimbilie Poland kujificha kunusuru maisha yake.
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Haya maandamano yanayoanza kushamiri ni dalili njema kwa afya ya nchi

    Polisi walitumia nguvu kubwa mpaka ya akiba kuzuia kongamano la vijana wa CHADEMA kule Mbeya kwa kuwatenda unyama na kuwatweza vibaya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA. Kabla hakujapoa, Ngorongoro ikainuka, wamasai wakajaa barabarani kudai haki yao ya kutambuliwa kama raia huru wa nchi hii ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…