nchi za kigeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Richard

    JamiiForums Tanzania Russia yatoa onyo kwa mabalozi na raia wa nchi za kigeni kuondoka Kyiv mara moja ili kuendeleza mashambulizi kwenye mji huo

    Baada ya mashambulizi ya mwishoni mwa juma lilopita, Russia leo imetoa onyo kwa mabalozi na raia wa kigeni walioko mjini Kyiv kuondoka katika mji huo kupisha mashambulizi ya makombora yanolenga vituo vyote vya kijeshi na kistratejia. Usiku wa kuamkia jumatatu mji wa Kyiv ulishambuliwa vikali na...
  2. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Wachina wakikutana nchi za kigeni hawapendani

    Sijajua ni kwanini wa China wakikutana nchi za nje haswa kikazi hawapendani na hawana ukaribu tofauti sana na watu wa jamii zengine kuna mtu aliwahi kuniambia kwamba hawataki kuwa karibu sababu wanaogopa kuigana biashara / mbinu za kutengeneza pesa
  3. Pakome

    JamiiForums Tanzania Watanzania tulipotembelea nchi za kigeni na kuwaeleza asili yetu, walifurahi sana wakatutania wajukuu wa Mwl Nyerere

    Watanzania tunapotembelea nchi za kigeni na kuwaeleza asili yetu, wanafurahi sana nakututania wajukuu wa Mwl Nyerere na hii ndiyo sababu kubwa inayonifanya niheshimu sana nchi ya Tanzania na nishindwe kamwe kukosea adabu Chama Cha Mapinduzi cha Babu yetu Mwl Nyerere Ni vigumu sana kutamka Chama...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Profesa Wajackoyah awa mtu wa kwanza kutoka nchi za kigeni kuwasili Arusha kumpokea Lema

    Taarifa mpya inaonyesha kwamba huko Arusha tayari Watu wa mataifa mbali mbali wameanza kuwasili, kwa lengo la kumpokea Nabii wa Mungu, Godbless Lema, anayewasili kesho kutokea Canada, Nchi aliyokimbilia baada ya kukwepa mtego wa kuuawa na wakubwa nchini Tanzania, baada ya kile kilichoitwa...
Back
Top Bottom