Burkina Faso inasema imeanzisha mfumo wa visa bila malipo kwa raia wa Afrika, kwa nia ya kuwezesha usafirishaji wa watu na bidhaa ndani ya nchi.
Uamuzi huo ulitolewa Alhamisi, wakati wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri ulioongozwa na kiongozi wa kijeshi Kapteni Ibrahim Traoré
"Kuanzia sasa, raia...