NCHI YANGU TANZANIA UNAUMIZWA
Tanzania ni nchi pekee duniani katika Karne ya 21 ambapo kiongozi anaweza kuwahutubia wasomi chuoni akisema "someni kwa bidii Ila mkimaliza mjue mtajiajiri wapi, serikali Haina mpango wa ajira kwa ajili yenu" na akapigiwa makofi hadi maprofesa walioajiriwa...