nauza

  1. I

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Bajaji ipo kwenye hali nzuri kabisa kwa Tsh 2,200,000 tu

    Habari za leo wakuu, Nauza
  2. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu aina ya Galaxy A5(2017)

    Haina tatizo lolote. Ina ukubwa wa 32GB Fingerprint ipo vizuri kabisa. Bei yake ni 145,000 Ipo Mabibo Dar es salaam. Mawasiliano: 0768048752
  3. L

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza gari yangu Harrier Lexus

    PRICE UPDATED: 6,800,000 Model: Toyota HARRIER Lexus Registration Number: A.... Colour:Silver Engine: Petrol 2994cc VTI Year 1999 Seat Capacity 5 Music redio Full AC Full documents (File) Clean Seats Trans Automatic Imported from Japan Kama upo serious , Whatsapp number 0764111116
  4. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza oppo A9 2020

    Ram 8gb ROM 128gb Betty 5000mAh Double line Chpset Snapdragon (11nm) Tsh 280,000 Inacrecks kidogo haina atizo lolote zaidi inapiga kazi freshi 0692402211
  5. JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Gari aina ya IST

    Habari wadau. Nina gari yangu aina ya IST naiuza. Ipo kwenye hari nzuri sana. Niliagiza ins kama week moja tu lakini nataka nibadilidhe gari nyingine. Bei ni milion 12.5 tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Tecno Camon X kwa 140,000/=

    SOLD
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Tecno Camon X

    SOLD
  8. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Mtungi wa gas kwa sh 20000 tu

    Nauza Mtungi wa mihani gas kwa sh 20000 tu. Eneo Kibamba Mbezi mwisho Dar es Salaam. 0659130177.
  9. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza miche bora ya mchaichai

    Wakuu habari zenu, Nauza miche bora ya mchaichai kwa bei ya shilingi 1,000, kwa yeyote anayetaka naomba tuwasiliane kwa namba ifuatayo 0785100139. Nipo Dar es Salaam. Karibuni sana.
  10. JamiiForums Tanzania Nauza bata, kuku na sungura nipo Chanika

    Habari za jioni wana jamvi kwa anaehitaji bata aina ya Muscovy (bata wa kawaida), kuku wa kienyeji na sungura Napatikana Chanika kwa Singa. Call 0746696878
  11. JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  12. JamiiForums Tanzania Nauza laptop

    ~Husika na Somo tajwa Aina: DELL Model: 630 RAM: 3GB HDD: 80GB Display: 13inch USB PORT: 4 HDMI: 1 VGA: 1 JACK: 3.5mm Wireless: yes Na sifa nyinginezo kibao ' ~Price 250k ( 250,000 ) NB: Inafaa kwa matumizi yote ' ipo katika hali nzuri as New Na haina tatizo lolote Mawasiliano...
  13. JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Toyota IST No. CTC

    Model: Toyota IST Cc: 1490 Year: 2005 Full ac Location: Kinondoni (Dar) Price: 6,000,000 Contact: 0717599884 Gari ni nimeitumia mwenyewe, kwa atakayevutiwa karibu tuzungumze
  14. JamiiForums Tanzania Nauza Notes za Microsoft Office

    Nauza notes za Microsoft word nimeelezea Kila kitu kwa picha hatua kwa hatua, Ni nzuri kwa watu wote wanaotaka kujifunza na waliojifunza. , Ufafanuzi Commands zote katika Lugha ya Kiswahili isipokuwa Majina ya tabs yamebaki kwa Kiingereza. Gharama Ni Tsh. 5000 piga simu 0685-513-806 ili...
  15. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza pikipiki iliyotumika

    Habari Jf. Nimeamua kusimama na hii biashara ya kuuza pikipiki used. Pikipiki zote ziko na document kamili. Unaweza fuatilia Police kwa kujiridhisha zaidi kuepuka usumbufu kwa baadae. Kuna san lg, fekon, boxer tvs Napatikana Dar es salaam. Mawasiliano yangu ni 0744033555 nitafute any time...
  16. J

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Vifaa vya Maabara ya Binadamu

    Umofia wana JF-GT, Heri ya mwaka mpya,, Nauza vifaa vya maabara ya binadamu hivi vinawafaa wanaopenda kuwekeza kwenye biashara ya Maabara (Diagnosis health center) Vifaa ni vipya kabisa na havijawahi tumika kabisa. Vifaa vilivyopo 1. Haemoglobin Tester 2. Microscope 3. Urine analyzer Machine...
  17. K

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza Boma langu lililojengwa kwenye kiwanja, ukubwa wa zaidi robo eka

    Salam kwenu wakuu. Picha ambatanishi ni boma la nyumba yangu,lipo Tanga Mjini-Neema area. Lina vyumba vitatu. Masterroom 1 Vyumba vya kawaida -2 Sitting room Dinning room Kitchen na store yake. Public toilet. Maji ya bomba yapo hapo hapo,bomba limepita mbele ya Kiwanja. Kumezungukwa na...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nauza boma langu lililo kwenye kiwanja cha zaidi ya robo eka!!

    Salam kwenu wakuu. UPDATES; Shukrani kwa wote mliochangia na hata waliosoma tu,JF iliwezesha kufahamiana miongoni mwetu na jambo langu limepata ufumbuzi!! Mbarikiwe!! Picha ambatanishi ni boma la nyumba yangu,lipo Tanga Mjini-Neema area. Lina vyumba vitatu. Masterroom 1 Vyumba vya kawaida...
  19. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa 70 kwa 70 Kigamboni Mwembe Mdogo

    Habari wadau! Nauza kiwanja changu mwembe mdogo kigambo mbele kidogo na ya Dege umbali kutaka Ferry nikama km 25 kufika kwenye kiwanja. 1.UKUBWA hatua 70 kwa 70 2.MUONEKANO Kiwanja kiko tambalale akuna milima wala mabonde kimenyooka 3.DOCUMENTS Hati za serekali...
  20. JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…