nauza

  1. JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Fuso

    FUSO INAUZWA✅ JIPATIE KWA BEI NDOGO OFFER YA SIKUKUU Mil. 19 Ukilipia Njoo na Dereva wako Gari ni nzima 100% Vehicle details Gari haina Deni lolote ndani ya Mwaka Mzima. ➡️TRA ✅ ➡️SUMATRA ✅ ➡️BIMA ✅ ➡️NO TMS DEPT ❎ Location; Sumbawanga
  2. G

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Fuso inauzwa Dar, Shekilango

    Engine na kila kitu viko safi sana. Napatikana kupitia hii # 0752725614
  3. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza iMac Desktop

    Processor 2.4GHz intel Core 2Duo Memory 4GB 800Mhz DDR2 SDRAM Graphics ATI RADEON HD 2400 XT 128MB Display 20-INCH Storage 250gb Bei tzs 250,000/= 0659504481 Nipo Mbagala
  4. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza WANHOO toyo bei ya kutupa

    Habari wakuu, Natupa wanhoo toyo kwa bei ya sh 1.7m only. lina tatizo la plate clutch tu, gear namba moja ina shida ila linaondokea gear number 2. Nauza kwa kuwa naenda mkoani soon, nilikuwa natumia kusambazia vinywaji basi, now limekaa tu mwezi sasa. Lipo GOBA njia nne. Aliye interested...
  5. L

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza mashine ya kusafishia taa

    Nina mashine ya kusafishia taa (headlamp restoration), hii hutumika kusafishia taa za gari zenye ukungu. ~ Bei yake naiuza 110,000, discount ipo. ~ Napatikana Mabibo, Daresalaam. Mawasiliano: 0621846107 (call/text/WhatsApp)
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nauza Diagnosis tool ndogo kwa ajili ya European Cars

    Habari wakuu, Nina diagnosis scan tool aina ya LAFOCH ML-168 kwa ajili ya Magari ya Ulaya mf: BMW, Benz, Audi na Volkswagen, au gari yoyote Kama Nissan, Toyota ambayo ni imported from Europe Kifaa hiki kinamfaa mtu kwenye gari lake binafsi ili akipata changamoto aweze kutrace tatizo mwenyewe...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nauza nguruwe dume niko Dodoma

    Habari wanajamvi Kama kichwa cha habari kinavyosomeka Mimi ni mfugaji wa nguruwe napatikana maeneo ya Ntyuka Dodoma. Nauza dume kubwa kabisa kwa mahitaji ya kufuga au Kuchinja Umri: mwaka mmoja Aina: largewhite *landrace Mawasiliano: 0672493720/ 0717201982
  8. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Mkuranga eneo la Kisemvule Machimbo

    Wakuu habari zenu, Ninauza kiwanja - Size: Urefu FT 60 upana FT 105 - Kipo Kisemvule mtaa wa Machimbo Kidubwa, maarufu kama viwanja vya Ustadhi. - Nyaraka nlionayo ni "Offer", kimepimwa na kipo eneo ambalo kuna nyumba nyingi sana zimeshajengwa. - Umeme unaosambazwa na REA. - Bei ya...
  9. JamiiForums Tanzania Nauza Bata Bukini wenye miezi 8 wakiwa wamepatiwa chanjo zote

    Nauza bata maji wako 8 kwa bei ya laki moja ya kitanzania (Tsh 100,000/-). Bata wana miezi mitano, mmoja ana miezi nane hivi. . Bei nauza kama bure haipungui hata senti moja.
  10. JamiiForums Tanzania Nauza Laptop pamoja na Camera

    Nauza laptop HP elitebook 8460w HDD 500 GB RAM 4GB (slot 2) CORE i7 2.7 ghz , 2.7ghz(turbo boost up to 3.4ghz) Windows 10 pro Graphics AMD firepro 1Gb 🔋 3hrs Bei 400, 000/= Very clean
  11. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Mastervolt

    Nauza Mastervolt Part no: 77031500 Type AC 1X6A Bei: 450,000/- Kwa kweli sijui Ina kazi gani sema imekuja na mzigo wa mtumba. Nim jaribu kucheki mtandaoni nijue Ina kazi gani ila bado sijajua.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja kipo Wazo Hill

    Ni kama mita 300 kutoka kiwanda cha Twiga cement wazo hill mkono wa kulia ukiwa unaenda Goba au Madale. Kiwanja kina ukubwa wa Square meters 1000+ bei sh 35m. Maongezi yapo. Mimi ni mwenye mali sitaki mtu wa kati (Dalali). Mawasiliano 0718219523
  13. JamiiForums Tanzania Mwanza: Nauza PS4

    PS 4 fat gb 500 zipo Gem 7. FIFA 2022 WRC7 Pes2021 Mortal 11 combart God of wall Need for speed heat Gta5 Pad 2 hazina kipengere Fika anza kucheza kabla hujalipia Price Tag read: 590,000 net ziite: 0713096076
  14. JamiiForums Tanzania Nauza vifaranga vya bata bukini

    Nauz vifaranga vya bata aina mbali mbali Kama vile bata Bukini, jumbo perkin, ruen, Indian runner . Na pia nauza bata wa Kienyeji ( Muscovy) Napatikana CHANIKA KWA SINGA Call 0783 29 11 07
  15. M

    JamiiForums Tanzania NAUZA Biography(Vitabu) za Nyerere, Mkapa na Obama

    Wadau, Nauza Biography za Viogozi wa zamani Mkapa, Nyerere na Obama zenye picha hapo chini. Hii ni baada ya kuwa nimemaliza kuvizoma.
  16. JamiiForums Tanzania NAUZA SIMU INFINIX SMART 5

    wakuu nauza simu infinix smart 5. Simu haina tatizo lolote.RAM 2, Storage 32 GB, MAH 5000 price yake 150,000 Location nipo Mbeya
  17. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza laptops Ram 4Gb, ssd 128, processor Intel Celeron sh 390,000/=

    Laptops dell-Ram 4Gb, ssd 128, processor Intel Celeron sh 390,000/= Zipo nyingi kama inavyoonekana kwenye picha
  18. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza dagaa nyama na wengineo

    Wadau habari za leo ! Nachukua nafasi hii kuwatangazia biashara ya dagaa wa maji chumvi kwa sampuli zao: 1. Dagaa nyama, 2. Dagaa wakavu/Lukumbu, 3. Lumbunga , na 4. Ng`onda pia wapo. -Mauzo ni kwa jumla, -Bei ni poa, -Msimamizi wa kila kitu ni mimi mwenyewe, naazingatia ubora na usafi kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza home appliances (tv, refrigerator, music system na air conditioner)

    Karibuni
  20. JamiiForums Tanzania Nauza milunda kwa ajili ya shughuli mbali mbali za ujenzi

    Ziko pisi nyingi Sana kwa ajili ya fensi n.k zenye urefu wa 6ft 7ft na 5ft. Pisi moja Ni shilingi 1000. Kila kipande kimekuwa treated. Mzigo upo pembeni mwa barabara ya lami ,mpakani mwa njombe na Songea. 0684682777
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…