natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta AI ya kutengenezea picha kwa ajili ya blog

    Wakuu nahitaji kutengeneza picha za kuweka kwenye blog
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mwenye application yoyote playstore ila aliitelekeza kwa kuona haimlipi

    Habari, kama wewe ni android developer na una account ya google console ambayo umeifungua kabla ya mwaka 2023. Nina uhitaji wa google console account / play store developer account. Njoo pm please
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi

    Mschana au mwanamk3
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta machine ya kukandia unga wa maandazi (mixer) ya kilo 12.5 hela mfuko wa shati

    HABARI WANA JAMII NATAFUTA MASHINE YA KUKANDIA MAANDAZI .HATA IKIWA USED AS NEW ITAKUWA POA. Kwa mawasiliano zaidi pm wanangu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira yoyote ndugu zangu betting imenishinda

    Ndo hivyo wakuu Hali sio Hali nimeamua nipige yowee mwenye maskio na asikie, maana jiwe limepigwa gizani na Mimi ndo nilikuwa nimejificha humo na jiwe ndo limenipata😓 Mimi ni kijana wa makamo tu zaidi ya vibarua Sina kingine cha kufanya naombeni kazi jaman, Sina ujuzi wowote ule zaidi ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo Tabora. Nimemaliz Kidato cha Sita (PCB)

    Mimi ni kijana wa kiume mkakamavu na mtii mwenye umri wa miaka 22 naishi tabora, nina elimu ya kidato cha 6 PCB. Naandika andiko nikiwa nina uhitaji wa kazi yoyote ya halali kwamfano:kuuza duka, shamba boy pia kama nikipata nafasi ya kujifunza fani za ufundi au uendeshaji wa magari na mitambo...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta Partner awe HIV+

    Natafuta partner (Mwanamke). Vigezo: Mwembamba na White. Mkristo au Muislamu. Elimu yoyote. Awe anafanya kazi. Umri 23-27 Kabila lolote. Asiwe na mtoto. Upande wangu: Elimu/ degree Kazi/ nimeajiriwa Umri/29 Naishi/ Mwanza Dini/ mkristo Maelezo zaidi njoo PM
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi wasifu wangu upo hapo

    Name: XX Age: 23 gender: MALE Academy: CERTIFICATE,GRAPHIC DESIGN Professional: DRIVER/VETA, NIT, RFC, JKT, PREPARATION OF AGRICULTURAL SEEDS. Experience : PASTA INDUSTRY, NIDA, SUMA JKT, MAGAMBA GOLD MINE'S, T, MARK SALES region : DAR ES SALAAM Contact : 0695581138 or 0613 654 307 Ila...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Medical Laboratory scientist

    Mimi ni kijana wa Kitanzania nahitaji kazi kwa hiyo fani niliyosomea ..uzoefu miaka 3 ...kazi temporary au parmanent. Popote Tanzania
  10. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya mkataba au hesabu

    Habari, Naitwa Device frabius ninamiaka 29,nakaa dar es Salaam Mikocheni natafuta gari Kati ya IST,RAUMU,SPACIAL AU WISH. Kwaajili ya kuwaendesha Waturuki kwa mkataba wa mwaka mzima. Namba yangu 0617146950
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kivule mpaka Msongola. Bajeti ni milioni 5 na kisipungue sqm 300

    Habari wadau. Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Kivule mpaka maeneo ya Msongola. Bajeti yangu ni milioni 5. Ukubwa wa Kiwanja kisipungue sqm 300. Kama kikiwa kikubwa zaidi nitashukuru. Kama unauza kiwanja maeneo hayo karibu unipe sifa zake. Pesa ipo mfuko wa shati
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Awe ni mkristo wa dhehebu lolote au muislamu,mimi binafsi ni mkristo Nina miaka 43,nipo hapa Tanzania natafuta single mama yoyote ambaye anahitaji mtu wa kumfariji na kujenga familia stable, pia asiwe mpenda vileo ,pombe bangi au sigara. Awe pia mtu aneyejishughulisha katika kazi zenye heshima...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya editor na cinematography

    Naitwa Rama Pepe naishi dar natafuta kazi ya kuedit na kushuti muvi mimi ni Editor na pia ni Cinematography mwenye uzoefu wa miaka 7 nafanya kazi mahali popote napatikana kwa namba 0699524998 Na hizi ni baadhi ya kazi nilizofanya zipo youtube https://youtu.be/78ZpRG10crc
  14. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kunioa 2024

    Habari za humu jf Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa Sifa zangu Trible:Chagga Elim Diploma Kazi: Biashara ndogondogo Dini:Mkristo Lutheran(KKKT) Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta Meneja wa kunisimamia katika kazi zangu

    Habari wakuu Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali Mpaka sasa nimesha andika vitabu zaidi ya 6 kama nilivyo weka cover zake hapo chini. Ntafuta meneja...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)

    Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl) Sehemu ya kazi -Dar es Salaam Majukumu yake -Kufanya usafi wa nyumba ya wastani -Kufua nguo za watu wawili tu -Kupika chakula cha watu wawili Mapendekezo -Napendekeza awe Mkristo ili aishi ndani ya familia pasipo kukinzana katika imani ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke hasa mtu mzima wa kuoa ambae yupo serious

    Jmn natafuta mke
  18. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote Arusha

    Habarini za jioni wadau wa JF, Mimi nimhitimu wa chuo mwaka 2013,Nina degree ya maendeleo ya jamii,naomba kwa mwenye connection yeyote ya kazi, sichagui Wala sibagui kazi yeyote nafanya. Asanteni
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote Nina Diploma ya Banking and Finance

    Natafuta kazi yoyote, Nina diploma ya banking and finance, ninaishi Dar es salaam, ni mwanamke.
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalamu wa magonjwa sugu ya staphylococcus (MRS)

    Wakuu, Natafuta specilist wa magonjwa ya kuambukiza (staphylococcus aureus infection -MRS) Nawapataje maana sijui kama kuna hiyo speciality
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…