natafuta mwanamke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Natafuta mwanamke tupendane tujenge maisha.

    Dini yangu Muslim Makazi dsm Mwanamke nimtakaye awe anaishi dar Asiwe mwanamke wa mambo mengi Asiwe na mtoto.
  2. D

    Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto

    Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto. Sifa zake Dini yoyote. Umri 25-35 Kabila lolote Rangi mweupe Elimu at least secondary education. Kazi yoyote descent Awe anaishi DSM Awe tayari kupima afya Sifa zangu Umri 41 Rangi black Elimu postgraduate degree Napatikana Dar Kazi kibarua kwa...
  3. Natafuta mwanamke Mbeya mjini

    Mi ni mgeni huku, nimekuja kuanza maisha. Nahitaji mwanamke wa huku mbeya mjini kwa mahusiano endelevu. Nimekuja huku JF coz mi sio mtembeaji sana wala muongeaji. Muda mwingi nipo ndani mwenyewe. Awe sehemu za mbeya mjini, mi nipo pembeni kidogo ya mji. Kama utakuwa interested nicheki kwa...
  4. Natafuta mwanamke ambaye ana allergies na nyama ili nikinunua niwe nakula mwenyewe

    Natafuta mwanamke ambaye ana allergies na nyama ili nikinunua niwe nakula mwenyewe
  5. S

    Natafuta mwanamke wa kuishi naye na kulea watoto

    Hello, mimi ni mwanaume mwenye watoto wa tatu, ni dereva Bajaji, nahitaji mwanamke wa kuishi nae na kulea watoto umri kuanzia miaka 27 hadi 35, sichagui rangi, dini wala kabila. Awe tayari kuishi Arusha
  6. Natafuta mwanamke wa kuoa awe HIV+

    Habari Mimi ni kijana mwenye miaka 30 Sifa zangu: Rangi: Mweusi sio sana Kimo: Mrefu wastani Elimu: Bachelor Degree ya Information Tech Kazi: IT Support (Sekta Binafsi) Mkoa kuzaliwa : Geita Kuishi: Arusha Dini: Mkristo Mwanamke sifa zake 1. Asiwe mfupi sana awe na kimo cha kawaida. 2.Awe...
  7. Natafuta mwanamke wa kuoa bikra

    Natafuta binti bikra ili Mungu akijalia awe mke wangu. Vigezo Umri: miaka 21 hadi 26 Rangi: Mweupe Dini: Mkristo na mwenye hofu na Mungu Elimu:Chuo kikuu Ambae anajijua ni bikra au anamjua binti ambae ni bikra karibu inbox tuyajenge. Nipo serious
  8. F

    Natafuta mwanamke wa kuishi naye

    Mimi ni kijana wa miaka 28. Nmeajiriwa sekta binafsi , kipato changu ni 400,000 kwa mwezi natafuta mwanamke wa kuoa kuanzia miaka 17 hadi 24 awe mzuri wa sura , awe rangi yoyote, asiwe na mtoto, awe na elimu yoyote, awe mkristo wa dhehedu lolote awe tayari kuishi Mahali nilipo yeyote anayeweza...
  9. A

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Habari wanawake wote wa humu JF na pia hongereni kwa upambanaji wa kujitafutia mkate wa kila siku. Mada: Natafuta mwanamke wa kuoa awe mwanamke mwenye uhitaji wa kweli na mwenye nia ya kujenga familia bora na imara. Sifa: Awe na umri kuanzia miaka 25 hadi 37. Dini yeyote ile - Mkristo, au...
  10. Natafuta mwanamke wa kuoa, awe sealed kama mimi😭😭

    Jambo la msingi ni hilo Yani mimi niko Sealed kama Box la sigara, halafu wewe nikukute Uko Open High way ya Mfugale.. Njoo tufunguane kama Champaigne😂😂
  11. Natafuta mwanamke wa kuchat nae awe mid 20-25yrs

    Nina free time ya kutosha kwa sasa natafuta ke wa kuchati nae mambo mbalimbali za mapenzi, pesa, ndoa mahusiano na mambo mengine ya kimaisha nitamshauri atanisahuri kama upo njoo pm
  12. M

    Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano yenye malengo

    Awe na sifa zifuatazo Awe na miaka kati ya 25 mpaka 30 Awe Mkristo Awe tayari kupima hiv Awe anaishi dar es salaam Elimu bachelor ya kozi yeyote ile Sifa zangu Nina miaka 33 Kazi; duka kariakoo Sina mtoto Elimu bachelor
  13. N

    Natafuta mwanamke wa kuoa - Mtwara mjini

    Habari ndugu zangu. Mtaniwia radhi kama nitakuwa nimekosea au utakwazika kwa ujumbe wangu. 1. Natafuta mwanamke anayehitaji mume wa kumuoa. Mwanamke ambaye yupo "intrinsic" na hilo jambo; 2. Umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 33; 3. ASIWE NA MTOTO - kwa maana nyingine SIHITAJI SINGLE MOTHER...
  14. E

    Natafuta mwanamke wakuoa mwenye yupo tayari kua mke

    Hodi humu ndani. Naitwa Johnson mwenye umri wa miaka 38, natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri miaka 35 nakuendelea, Ambaye tayari ashamaliza mambo ya ujana. Awe tayari kuishi mahali popote,awe mpenda maendeleo na mwenye kiu ya kuatamia maono nakuyafanya yawe kweli. Njoo inbox tuyajenge.
  15. Natafuta mwanamke wa kujenga nae maisha

    Nina uhitaji wa mwanamke umri usiozidi miaka 30. Awe na uwezo wa kusimamia biashara, asiwe single Maza, nipo serious. Karibuni
  16. T

    Natafuta Mwanamke wa kuzaa nae tu!

    Nina 25 years, nimeajiriwa ni mrefu, mweupe kiasi nahitaji mwenyewe sifa zifuatazo: 19 to 32 years Mweupe na beautiful Mrefu kiasi Sio mnene wala mwembamba sana Mwenye dimpoz Awe tayari kushiriki tendo Mwenye kujua kulea mtoto Nitamtunza kila kitu kuanzia ujauzito mpaka mtoto akifikisha 3...
  17. T

    Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

    Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa nataka mimi ndio niwe wake pekee na sitaki MAKOMBO, nina miaka 25, kazi yangu nimeajiriwa Hospitali kubwa jijini Dar es Salaam to, Namtaka mwenye vigezo vifuatavyo : awe Muslim mweupe 19 to 22 years -asiwe na kazi wala biashara yoyote awe amelelewa kimaadili...
  18. N

    Natafuta mwanamke

    Hello Natafuta mwanamke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea mambo mengine tutaongea akipatikana. Mimi naitwa John niko Dar kwasasa. Umri wangu miaka 35.
  19. Natafuta mwanamke wa kuoa

    kwema wa dada na mishangaz ya kati na maanisha wale wa 97 hadi 99, kama mada inavojieleza natafta mke mwenye tabia nzuri, mpole na mnyenyekevu pia mcha mungu. sifa hasiwe fake sana rang yeyote, mnene mwembamba ni sawa ila awe na makalio kidogo sio makubwa sanaaa.. kwenye swala la uchumi MIMI...
  20. M

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Hello Naitwa Octavian mwenye umri wa miaka 37.Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia 28 nakuendelea. Awe mkristu,kabila lolote. Kazi yangu nimejiajiri . Aliye tyr aje pm tuyajenge au anicheck whatsap +255776110821 karibu Sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…