natafuta kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Natafuta kazi ya ualimu wa daycare

    Habari za wakati huu wapendwa, Mimi ni binti wa miaka 27 Ninapenda kuwataarifu kuwa natafuta nafasi ya ajira kama mwalimu wa watoto wa awali (daycare) hapa Bukoba Nimekuwa na uzoefu wa zaidi ya miaka miwili kufundisha kwenye shule ya English Medium, ambapo nilifanya kazi kwa upendo, uvumilivu...
  2. Natafuta kazi

    Natafuta kama yoyote hata ya kiwandanj, waiter, barman, office assistant, no.0679222414 nipo dar
  3. M

    Natafuta kazi ya kufanya usafi ~Dar es Salaam

    Habari zenu wakuu, Natafuta kazi ya usafi katika maeneo ya dar es salaam. IKiwa unafahamu taasisi, kampuni au mtu binafsi anayehitaji mtu binafsi anayehitaji mtu wa kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na ya kuvutia kila wakati, naomba unifikishie taarifa au unijulishe. Nina uzoefu na uwezo wa...
  4. E

    Natafuta kazi

    Samahani wakuu Mimi ni registed medical doctor nipo mtwara natafuta hospital, polyclinic au dispensary au kijiwe chochote Cha afya...pia naweza kufundisha Clinical officer. 0620696357
  5. Natafuta kazi

    Hey
  6. NATAFUTA KAZI

    Naitwa Rich JM nipo dar, Yakaribia mwaka sasa natafuta ajira humu JF bado sijapata, ni bachelor degree holder of Accounting with IT. Nina experience na accounting na auditing kwani nimekua nikifanya kama intern kwa mwaka mmoja sasa kwenye kampuni za engineering na real estates kubwa tu hapa...
  7. A

    Nina tatizo la kutosikia vizuri, natafuta kazi

    Mimi ni kijana niliesomea uhasibu kwa ngazi ya Diploma, na pia nimesomea ICT kwa ngazi ya certificate. Nina changamoto ya usikivu hafifu. Hali hii ya kutosikia vizuri imekuwa inaninyima fursa za ajira sana hadi ikafikia kipindi napata msongo wa mawazo. Naomba mwenye uwezo wa kunisaidia...
  8. Natafuta kazi Mbeya mjini

    Natafuta kazi yoyote Mbeya mjini, Nina ujuzi wa ufundi mitambo (mechanical engineering) Mawasiliano: 0756704145
  9. Natafuta kazi ya Fundi bomba

    Habari Mimi ni Tech wa mambo ya Maji na nina Experience ya maswala ya maji safi na maji taka kwa miaka 4, kama Kuna Kampny Ina hitaji mwenye sifa hyo nipo tiyari kushikiri kutimiza majukumu kwa maendeleo na faida ya Kampny
  10. S

    Natafuta kazi Mbeya Mjini kama kuuza duka, ufundi mitambo na n.k.

    Natafuta kazi Mbeya Mjini kama kuuza duka, ufundi mitambo na n.k. Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) 0756704145
  11. S

    Natafuta kazi, njaa itaniua

    Habari za majukumu wanaJF naomba kwa yeyote atakayewiwa anisaidie nipate kazi yoyote halali njaa na majukumu vimenizingira Elimu yangu ni Diploma in General Agriculture nipo Kahama 0717697787
  12. Natafuta kazi yoyote Mbeya

    Natafuta kazi yoyote Mbeya kama kuuza duka, stationary na kazi zingine 0756704145 Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering)
  13. Natafuta kazi yoyote ya kufanya nipo wilaya ya kahama mjini

    Mimi ni kijana wa miaka 22 ,natokea wilayani kahama , natafuta kazi yoyote ile ya kufanya kwa anaye hitaji mfanyakazi au connection ya kazi mimi nipo tayari kufanya , namba zangu ni 0715308721
  14. N

    Natafuta kazi za mtandaoni

    Habari wakuu! Kama kichwa ķinavyojieleza mimi ni mtaalam wa kutumia computer na simu za mkononi lakini pia nina uzoefu wa kufanya matangazo mbalimbali mtandaoni, nina uzoefu wa kufanya content creator kwenye mitandao ya kijamii kama YouTube, Facebook, twitter, Tiktok n sambamba na hayo ni...
  15. Natafuta kazi ama connection ya ajira nina kauzoefu na uwezo pia

    Habari za wakati huu Wana-JA. Natafuta ajira kwa vyeti nina bachelor of arts in development studies (Taaluma ya maendeleo) ila kwa uzoefu nilipopitia ni kama yafuatayo: 1.Assistant Community Development officer (CDO) 2.Administration Officer 3.Assistant HR 4.Store keeper (Whare house)...
  16. Natafuta kazi Nina stashahada ya ufundi mitambo ( mechanical technician)

    Natafuta kazi Nina stashahada ya ufundi mitambo ( mechanical technician) Naishi dar es salaam Mawasiliano: 0756704145
  17. E

    Natafuta kazi

    Habari ndugu zangu natafuta kazi nipo dar kazi yoyote ndugu zangu nitashukuru 0746558348
  18. A

    Ninatafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku.

    Habari zenu wanaJF nipo Dsm natafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku. Iwe saidia fundi, bandarini, kiwandani au kazi yoyote ya halali. Elimu yangu ni shule ya msingi. Napatikaa Mbezi makabe. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  19. Natafuta kazi nimesoma Range management Niko tayari kwa mshahara wowote..

    I am Winfrida holding a Bachelor’s Degree in Range Management, currently seeking job opportunities in this field. I am committed, skilled, and ready to contribute to sustainable land and resource management.
  20. Natafuta Kazi, hata kama ni Intern. Nina Shahada ya Manunuzi

    Habari Wana JamiiForums Nilikuwa natafuta kazi japo nipate hata intern kusukuma maisha Elimu yangu ni Shahada ya manunuzi (Bachelor Degree in procurement and supply chain management) Pia nina Diploma in procurement and supply chain management Napatikana Mwanza Ila nipo tayar kufanya kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…