nape nnauye

Nape Nnauye
Nape Moses Nnauye is a Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament and for Mtama constituency since November 2015.

He was elected as a Member of Parliament for Mtama constituency in the October 2015 general election and was thereafter appointed by President John Magufuli as the Minister of Information, Culture, Artists and Sports in December 2015. He was relieved of his duty in a mini cabinet reshuffle by the president on 23 March 2017 and was replaced by Harrison Mwakyembe.

  1. J

    JamiiForums Nape Nnauye: Niliomba Ubunge na Mungu ndiye mpaji, amenipa!

    Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu. Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa. Maendeleo hayana vyama!
  2. JamiiForums GE2020 Nape Nnauye ateuliwa kuwania Ubunge jimbo la Mtama peke yake baada ya wagombea wengine kukosa baadhi vya vigezo

    APITA BILA KUPINGWA UBUNGE MTAMA Lindi: Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Samuel Warioba Gunza amemtangaza Nape Nnauye mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi kuwa mgombea pekee wa jimbo hilo. Pia soma => Uchaguzi 2020 - Nape Nnauye anaelekea kupita bila kupingwa...
  3. JamiiForums GE2020 Nape Nnauye anaelekea kupita bila kupingwa Jimbo la Mtama, mgombea CHADEMA alikamatwa jana huku ACT-Wazalendo wakiwa hawana mgombea

    Mgombea wa CHADEMA alikamatwa jana na watu wa TAKUKURU na kwa mujibu wa Nape Nnauye ni kuwa ACT-Wazalendo hawakuweka mgombea kwenye jimbo la Mtama. Ofisi ya Mkurugenzi imepigwa kofuli. Nimeshangaa kusikia kuwa Membe alishindwa kuweka mgombea ndani ya Jimbo analotoka.
  4. JamiiForums GE2020 Nape Nnauye, Uropokaji wako unakuponza sana. Aahidi kupiga watu Mabuti

    Unapomwambia PM kwamba Usalama wa taifa ubaki huko huko DSM kwamba ninyi mna vikosi vyenu una maana gani? Hivi sheria ya vyama vya si inazuia kua na vikosi vya ulinzi? Huu sasa ni sawa na ujangili ikiwa hivi mikosi haitakiwi halafu wewe unavyo. Acha kuropoka, kila mtu akisema ana kikosi chake...
  5. JamiiForums Aliyoyatamka Nape Nnauye baada ya jaribio la kuuawa Tundu Lissu

    Video clip hii inawakilisha silent sympathisers wa Tundu Lissu tuliomo ndani ya CCM. Tupo wengi tu. Kwenye clip hii Nape Nnauye anaonyesha kuguswa, kusikitishwa na kuwa na hofu kubwa sana baada ya Tundu Lissu kumiminiwa risasi kadhaa. Ni wana CCM wengi tuliguswa na tukio lile ambalo lilituachia...
  6. JamiiForums Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

    Mbunge wa Mtama Nape Nnauye amefika Ikulu jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuomba msamaha. Ameomba msamaha na kusamehewa kosa aliliofanya miezi michache iliyopita. Akizungumza akiwa nje ya Ikulu baada ya kuzungumza na Rais Magufuli, Nape Nnauye amesema "Kwanza nimekuja kumuona baba yangu...
  7. JamiiForums Mfahamu Christina Charles Malema

    Huyu ni diwani pekee mwanamke kuongoza kata kwa kuchaguliwa kwa kura 5789 mwaka 2010 tangu wilaya ya chunya ianzishwe mwaka 1941, awali alihudumu kama boharia wa duka la ujamaa la pembejeo yaani MBECU na baadae alikuwa karani wa kampuni ya tumbaku TLTC mpaka mwaka 2000 alipojitosa kwenye medali...
  8. JamiiForums Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

    Ni aibu kwa taaluma nzima ya usalama,kwa mwanausalama kumvamia kiongozi bila ya kujitambulisha na kuonyesha kitambulisho na kuanza kumtisha kwa bastola ili atii amri yako. Nakushauri kamanda Sirro umrudishe uyu kijana akasome vizuri sheria za usalama kuliko kulitia aibu jeshi la polisi. Haapa...
  9. JamiiForums Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Heshima Kwenu wakuu, Leo nmeamua kuwaletea update kutoka kwenye mkutano wa aliyekuwa Waziri wa Michezo wa awamu ya tano Nape Nnauye. Karibuni. ======= UPDATES; ======= 13:08hrs: Nipo hapa Protea hotel, Mheshimiwa Nape bado hajafika. Ntamsubiri hapa hapa. Ametokea mtu anayeitwa Iddi...
  10. JamiiForums TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    Katika kauli za Mawaziri, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye, ametangaza kwamba, Kuanzia tarehe 26 Januari mwaka 2016, TBC1 haitaonesha tena Mikutano ya bunge live kutokana na gharama za kuonesha live kufikia bilioni nne kwa mwaka. Badala yake TBC1 watarekodi na...
  11. JamiiForums Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Kumekuwepo na habari ambayo inavumishwa katika mitandao ya kijamii hasa hapa Jamiiforums kuhusu Elimu ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikati na Uenezi, Ndugu Nape Moses Nnauye. Taarifa hiyo kwa kiasi kikubwa inapotosha na kueleza yale ambayo si sahihi kuhusiana na CV ya Kiongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…