naomba kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Beach Boy

    Naomba KAZI yoyote

    Nina miaka 25 Elimu ni shahada ya maendeleo ya jamiii. Mahali ni Dar es salaam Naombeni KAZI yoyote ndugu zangu. Ya kutumia nguvu akili nk Ila isiwe kazi haramu hata kama ni haramu niambie niangalie risk zake kwanza. Ahsante sana
  2. I

    Naomba kazi ya udereva (PSV au binafsi) – nipo tayari kuanza mara moja

    Wakuu salam, Nina umri wa miaka 27, na uzoefu wa kusafirisha abiria. Nina leseni ya daraja C1 na barua ya uwakiki ipo. Sasa wakuu, niko bench, maisha yameanza kuninyoosha na harakati sizipati… baada ya yote, niseme shida yengu nini? Ikiwa kuna nafasi yoyote ya udereva, PSV, shule, kampuni au...
  3. boufer

    Nina ADO naomba kazi ya kuuza pharmacy au NURSE kwa Dispensary

    Heri ya mwaka mpya wana JF, kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza pharmacy au NURSE anicheki, nina cheti cha ADO na nimesoma Medical Attendant, nina uzoefu mkubwa wa hizo kazi zote zilizomention hapo juu, mawasiliano yangu 0672498183, KITUO CHA KAZI KIWE DAR ES SALAAM, asanteni
  4. Foffana

    Naomba kazi

    Habari za jioni wakuu Kijana mtiifu,mchapakazi na mwenye akili timamu.Nipo mbele yenu kuomba kazi yoyote halali ili niweze kupata pesa ya kuendesha maisha yangu Elimu yangu ni kidato cha 6 napatikana Goba Dar es salaam.Kazi ninayofanya kwa sasa ni kiwandani Mwenye mchongo wowote tushtuane...
  5. I

    Mwanaume haombi hela anaomba kazi, naombeni kazi ndugu zangu

    Mimi ni Kijana 25, Naomba KAZI yoyote ya nguvu na akili. Nipo Tabora ila naweza kwenda mkoa wowote kupiga KAZI. Nina shahada ya maendeleo ya jamii. Nina ujuzi wa kutumia computer (Microsoft package). Nina communication skill full package. Kwa yoyote ambae ameguswa na mimi karibu. DM
  6. B

    Nina elimu ya kidato cha sita, naomba kazi

    Habari zenu wakuu,.Mimi ni kijana wa makamo kidogo,born January 1995. Nina elimu ya kidato cha sita, chuo nilifika lakini sikumaliza niliishia mwaka wa pili (udom coed). Mkuu kwa mda sana nimehangaika huku na kule lakini mambo bado magumu hadi sasa nikaamua kujishughulisha na kazi za uvuvi.kazi...
  7. 4GPA

    Naomba kazi yoyote Mtwara

    Habari zenu wakuu, Nawasilisha maombi kwenu wakuu hali ni mbaya Kielimu nilichonacho bado hakinipi unafuu wa maisha, Naomba mwenye connection ya kazi yoyote mkoani Mtwara iwe kazi ya mikono iwe ya nilichosomea zote napokea, nina umri wa miaka 29 na elimu yangu ni DIPLOMA IN INFORMATION...
  8. FRJ255

    NAOMBA KAZI YA UTINGO WA MAGARI MAKUBWA

    Naomba unisaidie kushare Kwa Wadau wa usafirishaji na madereva. Mimi naomba kutembea na mtu kwenye gari hasa magari makubwa ili nipate uzoefu barabarani Nina lessen daraja D. Naishi Kiluvya-Pwani. Nipo tayari kujituma na kufanya kazi atakazo. Mawasiliano yangu Email. farajanh53@gmail.com
  9. Tech Max

    Naomba kazi Nina stashahada ya ufundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi Nina stashahada ya ufundi mitambo (mechanical technician) Mawasiliano; inbox
  10. Tech Max

    Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician) Mawasiliano inbox
  11. Tech Max

    Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician) Inbox mawasiliano
  12. Tech Max

    Naomba kazi ya ufundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi ya ufundi mitambo (mechanical technician) Piga : 0756704145
  13. A

    Naomba Kazi ya udereva boss Dar es salaam.

    Habari zetu wakubwa. Mimi nipo Naishi Dar es salaam. Nisaidieni connection ya udereva hata kumuendesha mtu binafsi ni Sawa bila shaka. Naweza kuendesha Manual na Automatic. Lessen yangu ni daraja A,D,E na nilipita VETA yaani cheni cha udereva ninacho lakini ni basic driving. Nilijiunga mafunzo...
  14. Martha Amosi Mwakalibule

    Naomba kazi ya marketing au sales, vitu ninavyoweza, ku offer katika kazi ni pamoja na kuwa na idea za ubunifu kukuza biashara, kutengeneza content,

    Habari mimi ni mwanafunzi wa chuo procurement and supply Natafuta kazi ya marketing au sales naamini nitafanya vizuri, hii yote niweze kumudu Ada na Familia yangu shukran 🙏.
  15. B

    Nina ujuzi wa QGIS, naomba kazi

    Wakuu, habarini za saizi, kama mada inavyojieleza hapo juu, nina ujuzi na programu ya QGIS (Quantum Geographic Information System) with a bachelor of Science in BUSINESS INFORMATION TECHNOLOGY. naombeni mnisaidie ni namna gani naweza kupata kazi hizi za GIS. je hapa Dar kuna kampuni lolote...
  16. Jackson QUECA

    Naomba kazi au connection za kazi

    Wakuu habari za majukumu ya hapa na pale.Naomba kama Kuna mwenye kazi au connection za kazi,mahali popote professional nimesoma ualimu,“Diploma for secondary education ”masomo ya phizikia,pamoja biologia.Pia ambazo siyo professional Kama —⟩Ufugaji wa kuku aina ya broiler. —⟩kilimo Cha bustani...
  17. P

    Naomba kazi

    Mimi ni mchumi kutoka chuo Cha ushirika Moshi(MoCU) TITLE: MR PROFESSION: ECONOMIST EXPERIENCE: FRESH GRADUATE LOCATION: MBEZI-DAR ES SALAAM Naomba kazi yoyote halali ambaye daily naweza pata kuanzia 10k . *Naweza kuandika (Research) * Naweza kufanya data analysis kwa kutumia SPSS na Excel...
  18. Msaga_sumu

    Naomba kazi au connection za kazi zote professional

    Wakuu habari za majukumu ya hapa na pale. Naomba kama kuna mwenye kazi au connection za kazi zote professional nimesoma kozi ya accounting with IT na ambazo si professional nafanya kwa moyo mmoja aniconnect nofanye kazi au kama ni kwakujitolea walau kwa malipo ya kujikimu. Nipo dar es salaam...
  19. Msaga_sumu

    Naomba kazi au connection na kazi

    Habarini wakuu, Naitwa Richard Mashauri Nimesoma degree ya uhasibu na teknolojia, nimejitahidi pambana kitaa na kazi mbalimbali ikiwemo ufreelancer azam pesa pamoja na kusupply mitungi ya gesi ila imetokea changamoto kwa sasa kwenye kazi yangu ya kusupply gas za kupikia, kama kuna mtu...
  20. Prof_rutta22

    Naomba kazi ya kutunza nyumba kwa Dodoma mjini

    Naitwa David, nina miaka 25 naomba kazi ya kutunza nyumba kwa Dodoma mjini. Mawasiliano +255624576521
Back
Top Bottom