nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. Inamaana jf bado imefungiwa na haijui nani ameendeleza kufungia kwani data zinaonesha ni nani kama sio mamlaka haramu isiyo heshimu haki za watu

    Inamaana jf bado imefungiwa na haijui nani ameendeleza kufungia kwani data zinaonesha ni nani kama sio mamlaka haramu isiyo heshimu haki za watu. Hali hii sio solution na haivumiliki nchi imevamiwa na matapeli na wapumbavu hii.
  2. Janga, kadhia, na gonjwa la kubet nani alaumiwe?

    Kwa sasa, betting ni janga kwa waafrika na neema kwa matapeli na watawala mafisadi. Je, chanzo zaidi ya ujinga na uvivu wa kutafuta ni nini? Alaumiwe nani lati wanaobet, wanaoendesha betting, na watawala wanaoridhia jinai hii? Nini kifanyike? Kama watu na taifa tunafaidika au kuathirika vipi?
  3. M

    Tumwamimi nani kati ya Rais Samia na wasaidizi wake?

    Tangu ghasia za kuukataa uongozi wa Rais Samia ile tarehe 29 Oktoba mpaka leo naona kama kila Kiongozi anaongea la kwake. Na hii ndio inazidi kuleta mkanganyiko zaidi. Kila anakopita Waziri mkuu Mwigulu Nchemba anasisitiza ghasia zile zilikuwa ni sababu ya vita vya kiuchumi. Yeye mkuu wa nchi...
  4. Kati ya Samuya, Kikwete, na Abdulii, nani anaongoza Bongo?

    Tangu yatokee maandamano yaliyosababisha mauaji ambayo Bongo hatujawahi shuhudia, kumekuwako na minong'ono juu ya ni nani anatawala Bongo yetu na bongo zetu. Kila usomapo, usikia majina matatau, yaani hayo hapo juu. Wa kwanza, wote tunamjua kama mkuu wa kaya. Pia, tunajua kuwa ana washirika...
  5. Je Rais Samia alifanyiwa vetting akiwa Rais tayar? Je ni nani ALIFANYA?

    Nauliza ALIYE fanya vetting ya RAIS kuwa Rais ni nani? Je aliyefanya vetting aliona kabisa ana sifa za kuwa Rais? Je alimfanyia akiwa tayari u RAIS? Vetting ya mama wanu irudiwe Mimi naona kama anasifa za ziada ambazo hazikubainika wakati anafanyiwa vetting, Rais ni mwema mnoooo
  6. Je, ni nani aliyeharibu CHADEMA kati ya Mbowe aliyepeleka wanachama Bungeni na Lissu aliyeondoa wanachama Bungeni?

    Je, ni nani aliyeharibu CHADEMA kati ya Mbowe aliyepeleka wanachama Bungeni na Lissu aliyeondoa wanachama Bungeni? HIi ni hoja nzito sana na sii ya kuchukuliwa kirahisi Ili Chama cha Siasa kikue lazima kiwe na idadi kubwa ya Wanachama wenye wadhifa mkubwa katika nchi Mbowe alizalisha viongozi...
  7. Robert Alex Kisunte ni nani haswa?

    Msomi na Mshauri wa Diplomatic & Military History Robert Alex Kisunte si msomi wa kawaida; kila somo lake ni safari ya kuelewa nguvu za dunia, mikakati ya kijeshi, na maamuzi ya kidiplomasia yanavyounda historia. Akitumia historia kama darasa, anafundisha jinsi vita na diplomasia vinaathiri...
  8. PostGE2025 Aliyetishia kukata watu vichwa kaishia wapi? Ameshtakiwa?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Inakuwaje watu ambao hawakuchaguliwa, kuteuliwa, au kuwa sehemu ya serikali kikatiba wanatishia Watanzania? Wamelipwa, kujituma, au kutumwa? Je, nani anawatuma na kwanini? Wanapata wapi uhalali wa kutoa vitisho ? Mbona hawakamatwi wala kukaripiwa? Kwanini serikali...
  9. Oktoba tunatiki au No reforms No election Nani waliibuka washindi?

    Oktoba tunatiki walikuwa wanahimiza watanzania wakapige kura, wakati No reforms No election walikuwa wanahimiza watanzania wasipige kura kama hakuna marekebisho ya Katiba na Sheria za uchaguzi. Baada ya uchaguzi kufanyika, jee kati ya pande hizo mbili , ipi wameibuka washindi?
  10. Nani anamfahamu mmilikiwa wa Cheche Times anaeneza sana chuki za kidini. Naombeni Tujuzane

    Nimekuwa nikiingia Facebook na Instagram nakutana na machapisho sponsored yenye chuki za kidini ambayo ni taarifa za kueneza chuki za kidini au upotoshaji. Mtu huyu wa Cheche Times analipia kabisa matangazo katika majukwaa ya Instagram na Facebook. Posts zake ni kashfa zaidi za...
  11. K

    PostGE2025 Kutofanyika kwa maandamano na kuwepo utulivu D9 ni nani anapaswa kupongezwa, Serikali au wananchi?

    Wakuu, Kutofanyika kwa maandamano na kuwepo kwa hali ya utulivi na amani nchini Tanzania siku ya tarehe 9 Disemba 2025 ni nani anapaswa kupongezwa, Serikali au wananchi ?
  12. PostGE2025 Ooh! Polisi waliua watu nyumbani kwao. Nani kauawa jana?

    Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu. Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale. Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka...
  13. DESEMBA 9: Ushindi wenye gharama, nani alishinda nchi Ilipofungwa?

    Wadau, Tumeshuhudia aina mpya ya "Uhuru Day." Badala ya sherehe, miji iligeuka kuwa "Ghost Towns" (Miji ya Kimya), ikiwa imejaa wanajeshi na polisi. Hakukuwa na maandamano ya wazi kwenye maeneo mengi, lakini biashara zilisimama, na hofu ilitanda. Uchambuzi wangu unaonyesha kuwa huu ulikuwa...
  14. M

    Nani anawatumia Gen z kutaka kuangusha dola? Au ndio Mapinduzi kama ya Cuba?

    Rais Samia alisema akiwa anawahutubia wazee wa Dar. Kuwa tar 29 oktoba kuna watu walipanga kuangusha dola. Ndio maana nguvu kubwa ikatumika kuua watu wasio na hatia. Nani anataka kuchukua kiti cha urais kupitia Gen z? Je , haya yanayonukia sio mapinduzi kama ya Cuba ili kuondo mafisadi...
  15. Gerson Msigwa tuambie Bilioni 200 za vijana alizotoa Rais amezikabidhi kwa nani? Tunazipataje? Au mpaka tuvae nguo za kijani?

    Gerson Msigwa najua umeifungia JF na wewe huingiii humu ila mie napitia hapa hapa kukutaka useme wazi hizo bilioni 200 ziko kwa nani tuzifuate? Hizo ni Kodi zetu zirudi kwetu, au mpaka tuvae nguoza kijani tuonekane CCM tukakutane na vibaka walioajiliwa Halmashauri wakiongozwa na wakurugenzi...
  16. R

    Nani anamiliki Internet? (WHO OWNS INTERNET):

    Nani anamiliki Internet3? For an expert in modern communication technology ie.digital communication Seems a silly question, but take your time to think about it! Dictatorial governments normally switch off internet! TCRA can switch off the internet ! Who Owns internet? Is it possible to have...
  17. G

    PostGE2025 Wanasiasa, raia, wanaharakati, wakosoaji wanalalamikia utekaji, tukimbilie kwa nani??

    Ndani ya vipindi tofauti kwa Mwaka 2024 na 2025 tumeshuhudia ongezeko la matukio ya Watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha, kutekwa nchini Tanzania na bado kumekuwa kukiripotiwa kwa matukio kadhaa ya aina hiyo kuendelea. Hali hii inanigusa kwa kuwa inavunja misingi ya haki, uhuru wa...
  18. M

    PostGE2025 Hebu tuongee ukweli nani anayoiharibu Tanganyika, Ni CCM au Wapinzani?

    Unajua watu wazima wanaziba ufa kwa kusema UONGO,wanayoiharibu inchi ni CCM na serikali kwa ujumla,hivi hakuna mtu asiyejua chanzo cha haya matatizo ni mama kujipitisha kugombea peke yake na tume ya uchaguzi ya mchongo. Kama uchaguzi ungekuwa huru na haki kuna mtu yeyote angeingia barabarani...
  19. 2025 Abu Dhabi GP: F1 Race ya Mwisho kwa huu mwaka itakayoamua nani awe World Driver’s Champion kati ya Norris, Verstappen au Piastri!

    Wakuu, Formula One Grand Prix kwa mwaka 2025 ndio imefika tamati weekend hii, kwa jumla ya GP 24 kuanzia March pale Australian GP na ya mwisho hii Abu Dhabi GP, uwanja wa Yas Marina. Hadi sasa msimamo wa michuano kwa upande wa kombe la madereva (Driver’s World Championship) unaongozwa na Lando...
  20. Hoja ya TZ kuhujumiwa na Mataifa ya Nje nani Muasisi na Mhusika?

    Great Thinkers, Umofia kwenu! Kwa miaka mingi kumekuwepo malalamiko kwamba Tanzania haijawahi kufikia viwango vya kweli vya demokrasia ya ushindani. Tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe mwaka 1992, mjadala umekuwa ule ule: je, mfumo wetu wa kisiasa umejengwa kwa namna inayoruhusu ushindani wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…