nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi hii psychology ya wanawake kuplay hard to get, nani huwafundisha?

    Kuna hii tendency umemtokea demu, au labda yeye ndo katokea kukupa sign kabisa... Labda uko zako restruant unapata zako msosi then anakuwa anakupa jicho flan hivi mischievous.. Then kama beberu usipofanya lolote unaonekana boya, haya basi unamtokea unachukua namba then unaanza process. Ila...
  2. JamiiForums Tanzania Vile vyumba vya dada poa kwenye majiji nani anavimiliki kwanini havibomolewi?

    Salama wakuu Ukipita kwenye majiji makubwa hasa uchochoro unaweza Kishangaaa kukutana na vyumba vidogo sana zaidi ya 100 ambavyo vinatumika kufanya shughuli za ukahaba mfano katika jiji la dar es Salaam kuna maeneo kama kimboka ,uwanja wa fisi ,mwananyama hospital,temeke Sudan temeke...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Rostam 'kupewa. tuzo ya juu kwa kuchangia uchumi nani anajidanganya na kumdanganya nani?

    Taarifa kuwa Rostam Aziz kapewa tuzo ya juu na waziri mkuu Lameck, ni matusi kwa taifa. Eti kapewa tuzo kwa kuchangia kukuza uchumi! Anachangiaje kwa kutuibia? Je, kuna wakubwa nyuma yake hasa bi mkubwa mwenyewe au ni kuzidiwa akili kwa watawala wetu tokana na ukosefu wa ubunifu, udhu, na...
  4. JamiiForums Tanzania Nani Anabisha Kwamba Jina Tanganyika ni Jina Tukufu?

    Hili jina lina utukufu fulani hivi na vyote vinavyotajwa na jina hili ni vitu muhimu kabisa na vina impact kubwa. Haya twende kazi" Tanganyika Law Society (hawa watu mziki wao mnaujua); International School of Tanganyika (hii shule iko proper sana); Tanganyika packers (yuko Mwamposa pale...
  5. JamiiForums Tanzania Ukiambiwa umwombee baraka kiongozi yeyote utamwombea nani?

    MUNGU HUWAINUA WANYENYEKEVU 1. Wimbo wa Hana (1 Samweli 2:1-10) Hii ndiyo tenzi kamili inayoanzia kwa maneno uliyotaja "Moyo wangu wamshangilia BWANA" . Kisha Hana akaomba na kusema: 1 “Moyo wangu wamshangilia BWANA, katika BWANA pembe yangu imeinuliwa juu. Kinywa changu chajisifu juu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Nani mwemye mamlaka ya kuthibitisha wamekamatwa na ushaidi wanatumika au kufanya makosa.Maana kila mtu kawa kambale kuwa msemaji.

    Nikama uwezi kuelewa yupi IGP,RPC,OCD,Mwanajeshi,polisi,RC,DC, Mwaipopo, mwenyekiti wa kikundi cha bra bra mpaka raisi na waziri wake. kila mtu anakuja itelenjesia zake na uthibitisho wake. Huyu alishasema wageni,pesa zimetumwa,watu wamelipwa,mtu kapewa usd milion 1,mwaka jana kasahau sinema...
  7. JamiiForums Tanzania Simba na nyani watoana jasho MBELE ya Civilian-Coin. Nani mwoga wa bunduki?

    Watch
  8. JamiiForums Tanzania Je unahisi huyu Waziri ni nani ???

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema Serikali iko tayari kuchukua hatua za kisheria dhidi ya kiongozi au mtumishi yeyote wa umma atakayebainika kufanya matumizi mabaya ya rasilimali za taifa, lakini amesisitiza kuwa hatua hizo haziwezi kuchukuliwa kwa msingi wa tuhuma zisizo na...
  9. JamiiForums Tanzania Hoteli ya Mapito Safari Camp, Serengeti, kulala Usiku mmoja ni Milioni 4.5 hadi Milioni 7. Nani mmiliki?

    Inadaiwa inamilikiwa na Mtanzania Patel. Lakini nimeongea na Mwarabu rafiki yangu, nilimuuliza kwanini Tangu Januari 2026 hii hotel inapokea Watu wengi kutoka Uarabuni hasa Oman? Gharama ya kulala pale usiku mmoja, inaanzia milioni 4 hadi Milioni 7 na kuendelea kutegemeana na Msimu. Akanijibu...
  10. JamiiForums Tanzania Ni nani mwenye jukumu la kupendezesha kijijini kwenu?

    Wengi hatuendi vijijini tulipo toka kutokana na labda mazingira sio rafiki. Inawezekana labda, bado kuna nyumba za nyasi, udongo, choo kisichokuwa na ushirikiano, hakuna umeme, au mazingira ni machafu. Ingawa huku mjini tunajimwambafai kuwa tuko vizuri, kwa kuendekeza starehe, kujifanya...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi aliewaambia ajira mpya lazma wawatetee mbogamboga ni nani?

    Ukikuta uzi kuna mada nzuri inajadiliwa utakuta kijana wa ajira mpya anajipa mamlaka ya kutetea hata kama anatetea upumbavu Hii mindset kawaambia nani? Nani kasema lazma mtetee ujinga? Kwani huo mshahara ni hisani? Nihitimishe kusema Tanzania watu tunaojielewa ni 0.23% tu katika wasomi wote...
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji kampani Leo, nani yupo tutokee viwanja

    Niko bored, Nani yupo tayari tutoke,awe mwanamke mwenzangu au mwanaume ni sawa,hata tukiwa sita au kikundi ni sawa pesa ya bili chini ya laki mbili ninayo. Nahitaji sura mpya,Mawazo mapya na nijifunze vitu vipya ,nitatokea kinyerezi,kuelekea Mawasiliano Ubungo,hapo tutapanga tukutane...
  13. JamiiForums Tanzania Nani wako nyuma ya hizi ID mpya hapa JF maana zinapost non-sense za kiwango cha juu sana

    Kila siku kuna ingizo jipya Nani yuko nyuma ya hizi ID au ni mpango maalum wa kupoteza maboya decoy NB : Jf is threat to the throne
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hivi anaevunja amani ya nchi ni nani hasa; yule anaetaka haki yake ya kikatiba ya kuandamana kwa amani au yule anaekataa katakata kumruhusu aandamane?

    Yaani imefikia kwamba katika uongozi wa Raisi Samia na CCM yake, wao wakisikia tu maandamano wanatafsiri kuwa ni uvunjifu wa amani. Hata siku moja sijasikia wakisema tutalinda amani ili kuhakikisha watu wanaandamana bila vurugu. Raisi Samia na viongozi wote wa serikali na CCM, maandamano yeyote...
  15. JamiiForums Tanzania Umemtambua nani hapa?

  16. JamiiForums Tanzania Nani anamnyonya mwezake? Tanganyika au Zanzibar? Kwanini Watanganyika hawateuliwi kuwa viongozi Zanzibar? Tanganyika ipo wapi?

    Naona dalili za Muungano kuvunjika zinanukia. Kila kona ya Tanganyika ni minog'ono juu ya Wazanzibari kuwanyonya Watanganyika kwenye kila sekta. Mfano, teuzi nyingi kwa sasa wanapewa Wazanzibari hata kwenye masuala ambayo sio ya muungano. Mbaya zaidi Watanganyika hawateuliwi kuwa viongozi...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA, ni nani anayewalisha akina Hilda Newton, Pambalu na Viongozi wengine waliokimbilia Kenya?

    Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza? Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni...
  18. JamiiForums Tanzania Nani anaweza kunisaidia kupata uthibitisho wa safari ili nipate passport??

    Naombeni msaada ndugu zangu, Nahitaji passport kwa matumizi ya Baadae je nani anaweza kunisaidia kupata uthibitisho wa safari. Au huwa mnatumia njia gani kupata pasipoti?
  19. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Heche nani unamdai katiba mpya?. Wananchi au viongozi na serikali haramu msiyoitambua?

    Kuna vitu mpaka unajiuliza hivi hawa wapinzani uchwara wanavuta bangi ya Msumbiji, Malawi au hii hii ya Arusha. Katiba mpya sawa . Mnazunguka kudai katiba mpya. Kwenye madai kuna pande 3 . 1. Mdai 2.Mdaiwa 3.Msuluhishi, mpatanishi, mwamuzi. Nambari tatu si lazima. Huyu mdaiwa wa katiba mpya ni...
  20. JamiiForums Tanzania Nani anafurahia maisha kati ya alieoa au alie kuwa single?

    Ukiwa kwenye ndoa ukitaka kuwa na furaha lazima na mwenza wako awe na furaha lakini ukiwa pekeako unafurahia uhuru wako wewe unachagua nini? Ukioa uwezi kulala bila ruhusa ya mwenza wako lakini ukiwa pekeako unachagua wewe muda gani ulale bora kipi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…