nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nani anaweza kucheza namba ya Chamalone pale Simba?

    Naingia wasisi kwani Chamalone binafsi simwamini Tena maana anatusababishiaga magoli ya kizembe, yule jamaa aliyecheza alipokuwa majeruhi ni hatari sana mzee baba, hajasababisha tufungwe goli kizembe, kwanza pasi zake za uhakika kuliko Chamalone! Akicheza Chamalone kwa wale Waarabu kule...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unaweza jiuliza hali iliyoko ya nchi ya kuelekea kupoteza umoja imeletwa nani

    Bila mihemko na kwa msaada wa historia hii tokea uhuru tunaweza jiuliza hali iliyoko ya nchi ya kuelekea kupoteza umoja imeletwa nani. 1. Samia na Waislam 2. Nyerere na Wakristo Tukizingatia kuwa ubora wa Serikali huamuliwa na falsafa au imani ya walio ndani ya Serikali. Kwa maana The Quality...
  3. JamiiForums Tanzania Alipambana Kuilinda Katiba Mtu Awe Madarakani Kama Isemavyo, Lakini Aliyepiganiwa Anasema ni Kitabu tu. Nani Tumlaumu?

    Nimekuta mjadala mkali sana na mwisho ni kutuhumiana. Kwa maelezo yake, kulikuwa na mizengwe lakini alitumia power yake KATIBA iheshimiwe na aliyetajwa na katiba aingie madarakani. Tukampongeza. Lakini baada ya muda aliyepiganiwa akaanza dharau ya hiyo katiba na kuiita kuwa ni KITABU tuu kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Isaya anatuambia huko kwenye mbingu mpya tukuwa tunazaa na kulima Yohana naye anatumbia vingine nani tumuamini?

    Isaya anatuambia huko kwenye mbingu mpya/Yerusalemu mpya Kutakuwa na maisha kama ya hapa duniani tu yaani anasema watu watajenga nyumba watalima Wazee hawatakufa kabla ya wakati (hivyo kumbe kuna kufa tena kwenye mbingu hii) Na watazaa watoto kama kawaida haya yote yameandikwa na nabii isaya...
  5. JamiiForums Tanzania Wananchi, Hivi nchi ni mali ya nani hasa?

    Kama kuna kitabu ningeshauri kila mwananchi akisome kwa sasa ni tamthilia ya "Animal Farm" ya George Orwell (1945) Hii ni simulizi ya wanyama walioamua kuuasi na kuupindua utawala wa mkulima katili ili waishi maisha ya kijamaa yanayozingatia usawa walioyaita Animalism wakiwa na kauli mbiu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo hao waliokudanganya issue ya Wachina Kariakoo nani, na wamechukuliwa hatua gani?

    Nianze kumpongeza Waziri Jafo kwa kwenda Kariakoo na kukuta wachina bado wanafanya kazi za wazawa Wako waliokutwa hawana hata vibali vya kuishi vya kazi, Mh. Jafo akasema alikutana na watu walioteuliwa kuhakikisha kazi za wazawa hazifanywi na wachina Na wanaouza jumla kwa wazawa wawe na...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ungependekeza nani awe Katibu Mkuu wa CCM baada ya Dkt Nchimbi kuanza majukumu ya Ugombea Mwenza na hatimaye Umakamu wa Rais?

    Ndugu zangu Watanzania, Mpaka sasa kila mmoja wetu anafahamu ya Kuwa Mheshimiwa Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi Ndiye Mgombea Mwenza Wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Lakini pia Ni ukweli ulio wazi kuwa Balozi Dkt...
  8. JamiiForums Tanzania Kati Ya Vyombo Vya Dola na Viongozi Wa Dini Nani Hapaswi Kujihusisha Na Siasa?

    Mimi nijuavyo vyombo vya dola kama polisi, jeshi, na idara za usalama vinapaswa kuwa huru na kutenda kazi kwa misingi ya sheria bila upendeleo. Kujihusisha na siasa kunaweza kusababisha ubaguzi na matumizi mabaya ya madaraka dhidi ya wapinzani wa kisiasa au raia wa kawaida. Taasisi za serikali...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ushindi 99% tulopata kwa local government ilitupasa kumwambia CHADEMA chagueni tume awe nani Kisha tuingie dimbani tungeshinda asubuhi

    Sijui huu uoga ni wa nini Kwanini mtu tulomshinda kwa ushindi mkubwa hivi atupe hofu CCM inakubalika kwa 99% hata mwenyekiti wa tume angekuwa Lema bado tungewashinda Sasa hofu yetu ninin Hadi kutumia nguvu nyingi KIASI hiki kudhibiti watu wasio na nguvu yeyete sio ya umma Wala...
  10. JamiiForums Tanzania Ni nani anayefaidika na hizi kesi zetu Yanga huko CAS? Kuna watu wanapiga pesa kupitia huu upuuzi.

  11. JamiiForums Tanzania Tusimlaumu RPC Muliro, Hata RPC Sirro Aliwahi Kuwakana Polisi wa Makonda Uvamizi wa Clouds Hawajui. Jee ni Hawa ni Nani Anawamiliki?

    Nimeanza kushtuka kuwa tunapoteza muda wetu bure kumuita muongo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Muliro anaposema viongozi wa Chadema waliotekwa, kupigwa na kwenda kutupwa Ununio sio polisi wake halali. Hali hii iliwahi tokea March 2017 wakati RC wa Dar Paulo Makonda alipovamia Studio za Clouds na...
  12. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi ni nani?

    Mfanya kazi ni nani ? Au ni mtu yoyote mwenye cheque number ?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaosoma Bachelor of Archaeology ili waje kuwa wakina nani?

    Unakuta kijana kabisa anaenda Chuo Kikuu kusoma BA Archaeology ili iweje? Dunia ya Leo kweli?
  14. JamiiForums Tanzania Nani anaruhusu ujenzi wa vituo vya mafuta kwenye makazi ya watu?

    Wakazi wa kata ya soweto Manispaa ya moshi wanaoishi kwenye maghorofa sita ya Shirika la Nyumba la Taifa (HNC)kiwanja namba 89 Kitalu L barabara ya Arusha,wamepaza sauti wakipinga ujenzi unaoendelea kwenye makazi yao. Wnahofia usalama wa maisha yao na mali zao endapo utatokea mlipuko wa moto...
  15. JamiiForums Tanzania Tumjibu mshairi Bi Shakira anauliza: Mkuna na mkunwaji, muona raha ni nani?

    Wajuvi wa kupambanua njooni mtoe majibu kwa kutumia lugha za staha. Anayepata raha zaidi ni yule anayekunwa au yule anayekuna. Nyimbo zilipendwa ya Bi Shakira kutoka Tanga Nina jambo nataraji, nami nipate baini Nina jambo nataraji nami nipate fahamu Mkuna na mkunwaji, muona raha ni nani...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Huyu Matha Karua anajihusisha kwenye kesi za Tanzania kama nani haswa?!

    Huyu Bibi wa kenya Martha Karuq mbona anataka kutupanda kichwani?! Anapata wapi ujasiri wa kujihusisha na kesi za uhani nchini Tanzania? Tafadhali mamlaka zetu zisipuuzie hili jambo
  17. JamiiForums Tanzania Vp? Ungemchagua nani hapa?

    Mmoja peke yake.
  18. JamiiForums Tanzania Nani mmiliki wa Mwendokasi?

    Wakuu Siasa na biashara ni sumu...ni nani wanamiliki kampuni hii ya DART? Bila shaka wana nguvu kuliko serikali Hii ni dalili nzuri ya kuonesha kufeli kwa serikali...
  19. JamiiForums Tanzania Ni Nani amewahi kushinda kesi baada ya kupelekwa kamati ya maadili haki na Madaraka ya bunge?

    Toka hii kamati imeanzishwa imekua kama ya kulisafisha bunge na upande wa Serikali tu. Wameshawai kupelekwa wengi mpaka Pasco, Luhaga na wengineo chungu mzima lkn wote imeonekana Wana makosa hata katika kesi ambazo ni wazi kabisa bunge limekosea. Hivyo basi sijashangaa kuona mbunge Mrisho Gambo...
  20. JamiiForums Tanzania FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Fountain Gate FC🆚Young Africans SC 📆 21.04.2025 🏟 Tanzanite Kwaraa 🕖 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko KIKOSI CHA FGFC kinachoanza. Kikosi cha Yanga Kinachoanza. Updates Kipindi cha Kwanza. 00' Mpira umeanza Yanga ndio wameanza mpira uko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…