nairobi

Nairobi () is the capital and the largest city of Kenya. The name comes from the Maasai phrase Enkare Nairobi, which translates to "cool water", a reference to the Nairobi River which flows through the city. The city proper had a population of 4,397,073 in the 2019 census, while the metropolitan area has a population of 9,354,580. The city is popularly referred to as the Green City in the Sun.Nairobi was founded in 1899 by the colonial authorities in British East Africa, as a rail depot on the Uganda Railway. The town quickly grew to replace Mombasa as the capital of Kenya in 1907. After independence in 1963, Nairobi became the capital of the Republic of Kenya. During Kenya's colonial period, the city became a centre for the colony's coffee, tea and sisal industry. The city lies on the River Athi in the southern part of the country, and has an elevation of 1,795 metres (5,889 ft) above sea level.According to the 2019 census, in the administrative area of Nairobi, 4,397,073 inhabitants lived within 696 km2 (269 sq mi).Home to thousands of Kenyan businesses and over 100 major international companies and organizations, including the United Nations Environment Programme (UN Environment) and the United Nations Office at Nairobi (UNON), Nairobi is an established hub for business and culture. The Nairobi Securities Exchange (NSE) is one of the largest in Africa and the second-oldest exchange on the continent. It is Africa's fourth-largest exchange in terms of trading volume, capable of making 10 million trades a day.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Napendekeza Samia aapishwe in Kampala au Nairobi

    Kwa alivyofunga bao la kisigino, napendekeza, kwa usalama wake, Samia aapishiwe ima Kampala au Nairobi.
  2. JamiiForums Tanzania Ukilinganisha haya maghorofa Mbweni Dar es salaam na Ngong Nairobi bado bei ya nyumba Dar ipo juu Sana

    Chini ni video mbili ya maghorofa ya ki fahari. Yote yako sokoni, kwenye mitaa ya kishua na fully furnished. Video ya kwanza hapo chini ni ghorofa liko Mbweni JKT ambalo liko sokoni Kwa shilling za kitanzania 1.3 Billion. Video ya pili chini ni ghorofa liko Ngong Alkeri Nairobi kwenye gated...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania Ombaomba Bandia Akamatwa Nairobi Pangani Kenya

    Raia wa Tanzania ambaye ni mtoto alikamatwa Kenya na umma maeneo ya Pangani Nairobi kwa kujifanya ombaomba huku miguu yake ikiwa shwari. Hii ni baada ya umma kunugunika kuhusu uongezekaji wa raia wa Tanzania ambao ni ombaomba mitaani hio. Nchini Kenya, wenye ulemavu hujulikana kwa number...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi yaongoza kwa kaswende na kisonono

  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi yatajwa kuwa jiji la tatu lenye hewa chafu zaidi barani Afrika

    Nairobi yatajwa kuwa jiji la tatu lenye hewa chafu zaidi barani Afrika
  6. JamiiForums Tanzania Natamani kujua gharama ya ndege binafsi iliyomtoa Lissu Dodoma mpaka Nairobi baada ya kushambuliwa na risasi ili tujue ukweli

    Kuna MTU amesema ndege ya kumsafirisha lissu ilikuwa in a we za kuwa $9200 Kwahiyo ndo hiyo pesa , ndo Tibaijuka na Ndugai ,pamoja na Chadema ndo wanasema hawakuwa nayo ?..
  7. JamiiForums Tanzania JF STORY TIME: Ugaidi katika Westgate; Moja ya Siku ya Giza zaidi jijini Nairobi

    Jumamosi yenye shughuli nyingi, Septemba 21, 2013, Mall ya Westgate lilikuwa imeshamili wanunuzi, familia, marafiki, na wafanyakazi. Majira ya saa 12:30 jioni, watu wanne wenye silaha waliojifunika nyuso zao kutoka kwa kundi la wanamgambo wa Kisomali al-Shabaab walivamia jumba hilo la maduka...
  8. E

    JamiiForums Tanzania UN kuhamishia makao makuu ya UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi, Tanzania tuko wapi?

    Umoja wa Mataifa unatarajia kuhamishia ofisi zake za kimataifa za UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi kufikia mwaka 2026, hatua itakayoiweka mji mkuu wa Kenya katika hadhi sawa na New York, Geneva, na Vienna kama miongoni mwa miji minne pekee duniani inayohifadhi makao makuu ya mashirika...
  9. JamiiForums Tanzania UNICEF, UNFPA, and UN Women are relocating global offices (partially or fully) to Nairobi by 2026.

    Why not arusha Tanzania? I hope ex president kikwete will help solving this equation!, Nairobi security status is known to be unstable!.. Tanzania deserve this honour!
  10. JamiiForums Tanzania Abdullah Al Faisal: Mhubiri wa siasa kali aliyekamatwa Nairobi 2010

    Abdullah al-Faisal (alizaliwa kama Trevor William Forrest) Asili: Alizaliwa mwaka 1963 huko St. James, Jamaica. Alisilimu akiwa na umri wa miaka 16, na kuchukua jina la Kiislamu: Sheikh Abdullah al-Faisal. Alisomea Uislamu nchini Saudi Arabia katika Chuo Kikuu cha Imamu Muhammad bin Saud...
  11. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jiji la Nairobi lafungwa, polisi watanda kila kona

    Wakati Watanzania wakiadhimisha siku ya Sabasaba ikiwa ni maadhimisho ya kimataifa ya Biashara, kwa Wakenya siku hiyo inakumbukwa kuwa ni ya kiharakati, ikienda hadi miaka 1990 ambapo baadhi ya wanasiasa walifanya mkutano wa kihistoria katika uwanja wa Kamkunji jijini Nairobi, kushinikiza...
  12. JamiiForums Tanzania Kenya inafanya uchaguzi mwaka 2027,fainali za mataifa ya Afrika (CAF) 2027 zitachezwa Nairobi, je itawezekana na jinsi wameanza kuvurugana?

    Mechi ya fainali ya kombe la mataifa ya Afrika itapigwa Nairobi. Lakini tunazijua siasa za Kenya zilivyo na machafuko, maandamano na kuuana. Uchaguzi wa taifa la Kenya ni 2027.Sioni kama hii fainali itapigwa Kenya. Tanzania naiona ikibeba fursa
  13. JamiiForums Tanzania Kenya's economy compared to Tanzania in 2025, Nairobi beats Dodoma

    The International Monetary Fund (IMF) ranks Kenya as a middle-income country, while Tanzania is considered a low-income country In 2025, the Bretton Woods institution projects Kenya's economy would expand by 4.8%, while Tanzania's would grow by 6% Kenya's GDP is expected to soar to $132 billion...
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Boniface Mwangi apokelewa kwa shangwe Nairobi

    Kundi moja la wanaharakati jijini Nairobi wamemkaribisha kishujaa mwanaharakati Boniface Mwangi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Wilson akitokea Ukunda, baada ya kurejeshwa Kenya kwa barabara kutoka Dar es Salaam na maafisa wa polisi wa Tanzania
  15. JamiiForums Tanzania Polisi Kenya wakiwa na Silaha wazingira Ubalozi wa Tanzania Nairobi kuzima maandamano ya Wanaharakati kisa Boniface Mwangi kushikiliwa Tanzania

    Jeshi la Polisi nchini Kenya limepelekwa nje ya Ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi leo Mei 22, ikiwa ni hatua ya tahadhari kufuatia taarifa za maandamano yaliyopangwa kufanywa na wanaharakati wanaoshinikiza kuachiwa huru kwa mwanaharakati maarufu Boniface Mwangi. Soma, Pia: Wakenya, akiwemo Mke...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaunti ya Nairobi yafungia kanisa la freemason kwa kutoka na deni la mamilioni ya pesa

    Serikali ya Kaunti ya Nairobi imefunga Jumba la Grand Lodge linalotumika kama Ukumbi wa ibada kwa wa waumini wa Freemasons wa Afrika Mashariki lililopo katikati mwa jiji kutokana na na malimbikizo ya deni la ardhi kiasi cha Shilingi milioni 19 za Kenya Operesheni ya utekelezaji hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa mauaji ya Mbunge Ong'ondo Were aliyepigwa risasi na kuuawa Nairobi wamepatikana haraka ila wa Lissu ulishatupiliwa mbali

    Kuna zidi kunuka huko kenya inasemekana kuna wabunge wanahusika.Ila kwetu itelejensia ni CCM. https://www.youtube.com/watch?v=_rM8NExBTGw Mbunge Ong’ondo Were alipata majeraha matano ya risasi, huku risasi zikiharibu viungo muhimu vya mwili wake kama vile moyo, mapafu, ini na mshipa wa aorta na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kama alikwenda kumjulia Hali Nairobi hospital, Kisha ubelgiji, atakwenda pia kumpa pole pale Ukonga.

    Salaam! Alikuwemo kama makamo wa kiongozi Mkuu wakati ule, lakini kwa kuwa Yeye kama Yeye binafsi ni mtu asiyependa mtu kuonewa na kuumizwa, alifunga safari Hadi Nairobi hospital kumpa pole ndugu yetu alipojeruhuwa na mishale ya wasijulikana. Haikuishia hapo, ndugu yetu alipokimbia kwenda...
  19. JamiiForums Tanzania Bahasha Iliyobeba Kitabu Kutoka kwa Ally Dar es Salaam Kwenda kwa Ali Nairobi

    BAHASHA ILIYOBEBA KITABU KUTOKA KWA ALLY DAR ES SALAAM KWENDA KWA ALI NAIROBI Asalaam Aleikum Warahmatullah Wabarakatuh Sheikh Salim, Ahsante sana kwa kuniletea kumbukumbu ya Balozi Chirau Ali Mwakwere aliyoihifadhi ya Ally Sykes. Tulikuwa sote msibani na wewe ndiye yliyonifahamisha kuwa...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkutano wa kujadiliana kwa pamoja fursa mpya kutokana na uchumi wa China wa CGTN Kiswahili wafanyika Nairobi

    Mkutano wa “Kujadiliana kwa pamoja Fursa Mpya kutokana na Uchumi wa China” ulioandaliwa na Idhaa ya Kiswahili ya Kituo cha Kimataifa cha Televisheni cha China (CGTN) cha Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) umefanyika tarehe 6 mjini Nairobi, Kenya. Katika mkutano huo, wataalamu wa masuala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…