naibu waziri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naibu Waziri Uwekezaji amesema mwenye duka ana jukumu la kuhakikisha bidhaa husika ipo katika hali inayotakiwa kabla hajamuuzia mlaji

    DKT. EXAUD KIGAHE - MWENYE DUKA ANAJUKUMU LA KUHAKIKISHA BIDHAA HUSIKA IPO KATIKA HALI INAYOTAKIWA KABLA HAJAMUUZIA MLAJI Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.) ametoa rai kwa wazalishaji wa bidhaa zote za viwandani kuongeza jitihada za uzalishaji wa bidhaa kwa...
  2. Naibu Waziri Mhe. Atupele Mwakibete Awaagiza TPA Bandari Kwala Ianze Kazi

    NAIBU WAZIRI, MHE. ATUPELE MWAKIBETE AWAAGIZA TPA BANDARI KWALA IANZE KAZI Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Sekta ya Uchukuzi Mhe. Atupele Fredy Mwakibete ameiagiza mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA) kuhakikisha inaanza kutoa huduma kwa kutumia Bandari Kavu kwa kuanza na Bandari ya...
  3. Stephen Byabato, Naibu Waziri wa Nishati Azindua Mpango wa Miaka Minne wa Masuala ya Jinsia wa TANESCO

    STEPHEN BYABATO NAIBU WAZIRI WA NISHATI AZINDUA MPANGO WA MIAKA MINNE WA MASUALA YA JINSIA WA TANESCO Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amezindua Mpango wa miaka minne wa masuala wa jinsia wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ambao utawezesha masuala mbalimbali ikiwemo kuboresha...
  4. Naibu Waziri Utalii Mary Masanja awainua kiuchumi wanawake wa Sengerema

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amechangia Mizinga 100 ya Nyuki (Milioni 10) na Mitungi ya gesi 150 (Milioni 12,750,00) kwa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Sengerema kwa lengo la kuwainua kiuchumi na fedha taslimu shilingi milioni...
  5. Wakandarasi Wamgomea Naibu Waziri wa Afya

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewaagiza Wakandarasi kutoka kampuni ya Luba, MUST na Ardhi ambao waligomea wito wake wa kufika katika eneo la mradi wa ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida kufika kwa Mkuu wa Mkoa huo ili kujieleza kwanini mradi huo haumaliziki ndani ya...
  6. Naibu Waziri Byabato Ashiriki Mkutano wa Nishati Nchini Namibia

    NAIBU WAZIRI BYABATO ASHIRIKI MKUTANO WA NISHATI NCHINI NAMIBIA Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato ameshiriki Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano kati Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Namibia uliofanyika Jijini Windhoek, Namibia tarehe 10 Machi 2023. Pamoja na mambo...
  7. Naibu Waziri Masanja aongoza kikao cha taasisi za wizara ya maliasili na utalii

    NAIBU WAZIRI MASANJA AONGOZA KIKAO CHA TAASISI ZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja ameongoza kikao cha kimkakati cha kufanya mapitio ya taarifa mbalimbali za utendaji kazi za Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa lengo...
  8. Naibu Waziri wa Maji atoa wiki 2 kwa mkurugenzi, Rais Samia apigilia msumari ''hi kero nisiikute''

    ENG. MARYPRISCA MAHUNDI - NAIBU WAZIRI WA MAJI ATOA WIKI 2 KWA MKURUGENZI, RAIS SAMIA APIGILIA MSUMARI ''HI KERO NISIIKUTE'' Mhe. Eng. Mahundi akiwa Usa River Ausha amesema kuwa Wizara ya Maji imepeleka neema ya miradi ya Maji ili kutimiza dhamira njema ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  9. J

    DC aliyetumbuliwa atoa waraka mzito kwa Naibu Waziri mpya wa TAMISEMI

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi ameandika waraka mzito kuhusu utendaji dhaifu wa watumishi wa Halmashauri ambao wanahujumu miradi huku wakiendelea kukingiwa kifua na mamlaka husika. Na basillamwanukuzi Hongera sana @dndejembi kwa kuamniniwa na Rais kua Naibu Waziri...
  10. T

    Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

    Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya
  11. David Silinde ni Naibu Waziri Utumishi na Utawala Bora

    David Silinde ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora. Unaposema Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, maana yake watumishi wote wa umma na pengine mashirika yote ya umma. Utawala Bora ni taasisi za dola kama TISS na TAKUKURU. Je, ni bahati mbaya Silinde kuwepo katika wizara hiyo nyeti...
  12. Naibu Waziri Masanja atatua mgogoro wa mpaka kati ya kijiji cha Buger na hifadhi ya taifa ziwa Manyara

    NAIBU WAZIRI MASANJA ATATUA MGOGORO WA MPAKA KATI YA KIJIJI CHA BUGER NA HIFADHI YA TAIFA ZIWA MANYARA Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ametatua mgogoro wa mpaka kati ya Hifadhi ya Ziwa Manyara Mkoani Arusha na wananchi wa kijiji cha Buger katika Jimbo la Karatu...
  13. Video ya Dkt. Mollel kuhusu watanzania kuwa wajinga

    Kuna Post inasambazwa kwa nguvu kubwa kwenye mitandao inayomhusisha Naibu Waziri wa Afya, Mollel na imeleta taharuki kubwa sana kwa wananchi, ombi langu kama kuna mwenye Video Clip ya maneno hayo aitupie hapa ili kumaliza huo utata. Vinginevyo isije ikaleta tasfiri tofauti kwamba kuna mkakati...
  14. Naona hazina ya kiuongozi kwa Naibu Waziri, Atupele Mwakibete na Steven Byabato, wajibidishe, wawe wachapakazi na wanyenyekevu

    Katika manaibu Waziri ambao nikiwaangalia naona taifa Lina hazina ya uongozi, ni hao vijana wawili, natamani waendelee kupata mentorship ya kiuongozi, wajibidishe kwa wananchi waliowapa kura, hao ndio base yao, na watanzania kwa ujumla. Uongozi wa kitaifa uwalee na kuwapa mafunzo ya aina...
  15. Naibu Waziri: Madereva hatarishi wafutiwe leseni za udereva

    Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini ametoa maelekezo hayo kwa Makamanda wa Mikoa kuwafutia na kuwanyang'anya leseni madereva hatarishi ambao wamekuwa hawafuatia na kuzingatia sheria za usalama barabarani licha ya Elimu ya mara kwa mara ambayo imekuwa ikitolewa na Jeshi la Polisi...
  16. Naibu Waziri atajwa bonde la Ihefu

    Ni aliyepiga simu kuelekeza ng'ombe 293 waliokamatwa Ihefu wasiuzwe. JAMHURI limemtaja 'live', yeye aruka Kimanga, aanza kutafuta mchawi aliyevujisha. Chanzo: Gazeti la Jamhuri, Desemba 27,2022-Januari 2, 2023
  17. Inashangaza kuona Naibu Waziri anaeshutumiwa kuwaamuru askari wa uhifadhi wawaachie ng'ombe waliokamatwa bonde la Ihefu bado yupo ofisini

    Salaam wanajamvi, Juzi kulikuwa na mkutano ulioitishwa na wahariri wa vyombo vya habari mkoani Iringa ambapo mgeni rasmi alikuwa ni mh Makamu wa Rais. Mkutano huu dhima yake mahususi wahariri walilenga kumpatia Mh Makamu wa Rais taarifa juu ya kile walichobaini nini chanzo cha kukauka kwa...
  18. Naibu Waziri na Waziri Makamba wajiuzulu. Ni kwa kulidanganya Bunge kuwa mgao utaisha Desemba 2022

    Nipo hapa home umeme umekata. Na hii ni Desembe 3. Mlisemea Kinyerezi 1 itakuwa imekamilika. Sasa mbona mmedanganya bunge? ==== Walichokisema November 2, 2022 Serikali imesema makali ya mgao wa umeme nchini yanaweza kupungua mwezi ujao wa Novemba baada ya kukamilika kwa miradi ya umeme...
  19. Manyara: Naibu Waziri Pauline Gekul atuhumiwa kuchochea migogoro ya ardhi

    RC Makongoro Nyerere ametoa tuhuma hizo dhidi ya Gekul na kumtaja pia Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji, Babati, Abdulrahaman Kololi kwa kuwatuma wananchi kuvamia shamba la mwekezaji Amemwagiza RPC George Katabazi kuwakamata waliovamia shamba wahojiwe hadi wawataje wanaowatuma, na kudai kuwa...
  20. Naibu Waziri Viwanda ataka wahitimu waache kulalamika, wajiajiri

    Naibu Waziri Exauds Kigahe amewataka Wahitimu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kutumia elimu waliyoipata kujiajiri ikiwemo kuanzisha biashara badala ya kuwa sehemu ya kulalamikia ukosefu wa ajira. Amesema “Ni jukumu la kila mhitimu kuukubali na kuuchangamkia zaidi msukumo wa Sayansi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…