NDOTO: 16
TUME ILIYO NA NAFSI
Nilijikuta ndani ya jengo refu lililojengwa kwa vioo—ukuta kila upande ulikuwa ni uso wa wananchi. Nilitembea hadi katikati ambapo meza ya duara ilizungukwa na viti vya ngozi.
Katikati ya meza hiyo kulikuwa na kiumbe wa ajabu—si binadamu, si mashine—lakini...
Kukubaliana na Kikwazo cha Mabadiliko: Uchanganuzi wa Tabia za Binadamu na Uundaji wa Mabadiliko ya Kudumu
Ikiwa wewe ni kama watu wengi, kuna pengo kati ya mtu ulivyo sasa na mtu unayetamani kuwa. Kuna vitu vidogo unavyofikiria unapaswa kufanya na mambo makubwa unayotakiwa kufikia. Kutoka kwa...
karibuni
kuacha
kuacha pombe
kujenga tabia mpya
kujiboresha
kujitambua
life habits
maamuzi ya maisha
maendeleo binafsi
mafanikio binafsi
motivation
nafsi
nguvu ya akili
nyingine
pombe
psychology
sayansi ya tabia
self improvement
tabia
tabia njema
tunakwama
ubongo wa binadamu
umalaya
wapi
"Akatupa vile vipande vya fedha hekaluni, akaondoka; akaenda akajinyonga."
(Mathayo 27:5)
Ni mstari mfupi, lakini wenye kishindo cha kimya kinachopasua nafsi.
Yuda hakusaliti kwa ujinga,alisaliti kwa kumeza ahadi ya muda na kupuuza kilio cha ndani.
Na leo, kivuli chake kinatembea katikati yetu...
Nawaomba serikali ya jamuhuri ya muungano kutambuwa mh Lissu sio mwanadam ila ndani yake ana nguvu za ziada baada ya jaribio lakutaka kumuua ndani ya mji mkuu dodoma kushindwa bila shaka mnakumbuka yale yalitokea ambayo hayakuwahi tokea tangu tupate uhuru.
Huwotaji jicho la tatu kuona haya ila...
Asubuhi hii ya Pasaka, tunapoamka tukisikia mlio wa mataifa ukisherehekea ushindi dhidi ya kifo, tunakumbushwa kuwa Pasaka haimaanishi tu ufufuo wa Yesu, bali pia ni mwaliko wa kufufuka kwetu—kiroho, kiakili, na hata kijamii. Katika mwangaza huu wa asubuhi takatifu, tunapaswa kutafakari: Je...
feki
gen z
jitafakari
kizazi cha miaka ya 90
kukua
kukwama
mtume petro
nafsi
pasaka
pasaka 2025
tafakari ya pasaka
ufufuo na maisha
umri
utu
utu uzima
waislamu
wakristo
yesu kristo