Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.
Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.
CHADEMA wataingia huu mtego?
Mzee Clemence Mwandambo anasema Katika nchi zenye kuwajibika leo hii IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kujiuzulu nafasi zao, waache ofisi wazi waingie wengine.
Anaendelea kwa kuongeza kuwa, Huwezi kushughulikia maharage yaliyoungua unamwagia maji kwenye sufuria harufu...
Na Dkt. Geus Mbadika Nyaisanga
Dar es Salaam, Tanzania
Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025 uliandika ukurasa mwingine muhimu katika safari ya kidemokrasia ya nchi tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.
Mamilioni ya Watanzania...
Utawala wa awamu ya 5 wa Mh. Magufuli ulijaa futuhi, propaganda na ukatili wa kila aina.
Alipambwa na vyombo vyote vya habari kwa hofu kuu. Mpaka wakaiita serikali yake ni serikali ya viwanda ilhali ndiyo serikali iliyoua channel ya ukuaji wa viwanda. Upotevu wa fedha usio wa kawaida ulioonekana...
Watangazaji waandamazi wa Clouds Redio wakijibu swali linalouliza Je, ukipata nafasi ya kuwa rais kwa saa 24 ungetamani kufanya nini au ungebadilisha kitu gani? binafsi nimependa REFORMS na katiba mpya.
Kwenye ile clip ya Muliro na Mafwele, Mafwele ametamba na kutoa idadi ya wanajeshi wa JWTZ waliowateka ambao bado wanawashikilia, akawataja idadi ya madaktari waliowateka na kuwashikilia, akataja idadi ya walimu waliowateka na kuwashikilia, amewataja wahasibu waliowateka na kuwashikilia...
Wazima huku ndani maisha ya mtaani ni kupambana sana ndio, kwa hapa nilipofikia naomba hata itokee nafasi ya kupata intern iwe taesa ama wapi
Kwa taifa nishafanya kila kitu chao kuanzia training mpaka interview.
Naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia huko taesa tufahamiane
I salute you kinsmen
Tayari miloud kashatimuliwa
Tuache kuzunguka bure huyu alikuwepo yanga majuzi tu hakuna haja ya kumrudisha tu maana sidhani kama bado anasahau team yetu maana alikuwepo juzi tu
Makocha wa kiarabu huwa ni makocha wazuri sana kama huyu bwana
Hakuna haja ya kuhangaika huyu...
Unaambiwa adui muombee njaa na Enemy of my Enemy is my Friend.
Man U leo akimpiga Liver, gepu la namba 1 na yeye tatu litazidi kua kubwa. Hapo hatupati tena.
man City sio tishio kabisa.
I salute you kinsmen
Kwa kweli mwanzo mimi nilikuwa moja ya watu niliomtetea folz sana nyie mashahidi
Aleyn Tate Mkuu ngara23 vibertz na wengine wote nyie mashahidi
Ila huyu jamaa kwa kweli alizidi hateteki!
Folz ameuharibu sana mpira wa yanga
Yaani yanga ya kutegemea cross tu kweli...
Kuna yeyote kafanikiwa maana siku ya pili hii naona bila bila. Ujumbe wananiambia ni check specific academic qualifications sasa kila nikicheki naona. Ziko sawa. Kuna yeyote kufanikiwa? Msada tutani
Nimekaa tu na kutafakari kuhusu ujumbe huu hapo chini. Waliomo serikalini wamekubaliana na hali hiyo? Wanapata nini hasa kinachowafumba kiasi hicho wasihoji wala kuchukua hatua?
Watadhalilishwa hadi lini? Wameshakufa au kufwa wa kutosha. Wanaona na kujua. Wana mkakati ambao hatuujui au tuwaite...
Kwa walio na uwezo wa kuona mambo kwa jicho la tatu wataona Dkt. Bashiru atakuwa kiongozi mkubwa sana wa Taifa na anaweza kurejeshwa kwenye ukatibu Mkuu kiongozi au ukatibu Mkuu wa CCM. Hili ni mara ya pili nalisema juu ya Dkt Bashiru
Nasikitika sana kuona watu wanamtaja afande mafwele kushiriki ktk kila utekaji na wakati huohuo wakishindwa kuchukua hatua dhidi yake.
Hivi kweli ndugu wa waathirika wameshindwa kuungana na kushughulika na Mafwele wala ndugu zake ili kulipiza?
Kwa hali hii kweli mtaweza kuandamana hiyo tarehe...