nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natamani hii nafasi ya WHO kama tunaweza kugombea tena Dkt. Peter Kisenge aIgombee

    Sina hakika kama tunaweza kugombea tena hii nafasi ya WHO aliyopata mpendwa wetu marehemu Dr. Ndugulile na kama tunatuhusiwa kugombea tena kuna huyu Dr Peter kisenge wa pale Jakaya Kikwete. Natamani hii nafasi aombe naamini atapata huyu mtu ni mtu sana kwa sasa hapa Tanzania katika Madaktari...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Neema Rusibamayila Kimambo: Huyu ndiye anafaa kugombea nafasi iliyoachwa wazi na Dkt. Ndugulile

    Kwa sasa ni WHO Representative huko Malawi. Aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Kinga Wizara ya Afya hadi 2016. Moja kati ya achievements zake kubwa ni kuiwezesha Tanzania kufikia Millenium Development Goal #4 inayohusu kupunguza vifo vya akinamama na watoto. Malengo ilikuwa yafikiwe mwaka...
  3. JamiiForums Tanzania Nashauri taifa limteue Paul Makonda kuwa mrithi wa Faustine Ndugulile pale WHO

    Wakuu, Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu. Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za watu nashauri huyu ndo akawakilishe taifa huko WHO kama Mkurugenzi Pia kwa kuwa tulihakikishiwa kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ofisi ya uhamiaji watangaza nafasi mpya za kazi, November 2024

    Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Askari wa Uhamiaji kwa Vijana wa Kitanzania wenye sifa zifuatazo: 1. SIFA ZA MWOMBAJI Awe ni raia wa Tanzania; Awe hana ajira...
  5. P

    JamiiForums Tanzania LGE2024 TANZIA Mgombea CHADEMA nafasi ya Ujumbe Kata ya Gongo la Mboto afariki kwa kipigo cha polisi

    Wakuu, Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Kata ya Gongolamboto, Mtaa wa Ulongoni A, Mgombea nafasi ya ujumbe Modestus...
  6. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kituo cha Afya Temeke

    Nafasi za Ajira Kituo: Wakuru Specialised Clinic Mahali: Temeke, karibu na Hospitali ya Temeke Wanahitajika wafanyakazi wafuatao: Daktari Bingwa (Internal Medicine) Nurse (ANO) Laboratory Technician Pharmacy Technician Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali piga simu kupitia namba: 0783070792.
  7. JamiiForums Tanzania Top 20 countries zenye uwezo mkubwa wa kivita. Je, Tanzania tupo nafasi gani?

    Source: Gobal Firepower Link; 2024 Military Strength Ranking Top 20 countries; 1. United States of Ameirca 2. Russia 3. China 4. India 5. South Korea 6. United Kingdom 7. Japan 8. Turkey 9. Pakistan 10. Italy 11. France 12. Brazil 13. Indonesia 14. Iran 15. Egypt 16. Australia 17. Israel 18...
  8. JamiiForums Tanzania Chuo cha Afya Nyaishozi kinatangaza nafasi za kazi zifuatazo

    Nafasi Tutors (Diogonostic radiography na Nursing), Receptionist na Networking Sifa za Mwombaji Elimu ngazi ya diploma na kuendelea Maombi yote yatumwe kupitia Email: info@nyaishozicollege.ac.tz au Whatsapp: 0745009792
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Micky Jnr anachochea sana moto Tanzania wapokonywe nafasi yao AFCON apewe guinea?

    I salute you kinsmen. Huyu jamaa kwa sasa amezidi kututibua nyongo watanzania kwa kiasi kikubwa sana Inasemekana kuwa Tanzania wanaweza kupokonywa nafasi yao kushiriki Afcon na akapewa Guinea sababu hasa ni kuwa jamaa wameandika barua CAF kuwa. Haya yote ni nonsense kabisa Guinea wanatapa...
  10. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa UVCCM: Msifanye makosa, chagueni CCM katika nafasi zote za Mitaa, Vijiji na Vitongoji

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Cde. Seth Bernard Masalu, anawaomba wakazi wa Mwanza wote na watanzanania kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji utakaofanyika Novemba 27, 2024 kwa Kuwachaguwa Wagombea wote wa Chama cha Mapinduzi katika nafasi zote...
  11. JamiiForums Tanzania Unapojijua wewe ni mchepuko, tulia kwa nafasi yako. Kiherehere cha kutaka kurasimisha ili iweje sasa?

    Mara mbona uniweki status, mara meseji za uko wapi sasa hivi, mara mbona haunipigii mara kwa mara, mara mtoto wangu anaumwa, mara kodi ya nyumba inakata kesho (kwani ulikuwa unaishije kabla yangu👽).
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kulikoni imebaki wiki moja lakini hakuna nafasi zilizotangazwa sa Usimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Tulishazoea miaka ya nyuma, nafasi zinatangazwa kwa ajili ya wanaotaka kusimamia Uchaguzi. Leo ni takribani wiki moja kabla ya uchaguzi, hakuna tangazo lolote la Tume Huru ya Uchaguzi kuhusu nafasi za kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Je safari hii Tume ina watu wake tayari?
  13. JamiiForums Tanzania Nasema hivi, kama upo nafasi unapata maslahi ya kukutosheleza wewe, familia na akiba yako, basi ishikilie, maana kwa hali hii wewe ni special

    Acha majivuno ndugu, acha umwamba, acha "usimba", sio wewe, ni hio bahati pekee ya mafanikio, kuwa grateful sio kwa aliekupa mchongo tu hata kwa sisi tunaojipitisha tu maana njaa zetu zikikupata hata ghafla utageuka chizi. Mfundishe mkeo asiwadharau wake za wengine kisa wamesuka njia moja ya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mkulima ahoji mtuhumiwa wa ufisadi kuzindua kampeni za CCM Shinyanga

    MTANZANIA, THOMAS NKOLA maarufu Mkulima amehoji sababu za Chama cha Mapinduzi kumruhusu Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) anayetuhumiwa kwenye kashfa mbalimbali za ufisadi kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani Shinyanga. Mjumbe huyo wa...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kujua mahali naweza pata nafasi Quality assurance officer

    Habari wana JF katika jukwaa letu hili pendwa, Nina shahada ya sayansi katika kemia UDOM. Sijabahatika kupata kazi serikalini kama mnavojua ugumu ulivo lakini nimefanya kazi katika kitengo cha ubora ( Asst lab tech na Quality supervisor) katika kiwanda cha kuchakata samaki ambapo kimsingi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya afisa mauzo na masoko

    Habari, Tafadhali pokea kiambatishi chenye tangazo la nafasi ya kazi tajwa.
  17. JamiiForums Tanzania Aliyefutiwa Uraia Afrika Kusini, Chidimma aibuka mshindi wa pili Miss Universe 2024

    Malkia wa urembo wa Miss Universe Nigeria, Chidimma Adetshina, ameibuka mshindi wa pili katika shindano la Miss Universe 2024 lililokamilika Mexico City Jumamosi usiku. Miss Denmark, Victoria Kjaer Theilvig ndiye aliyeibuka Miss Universe mwaka huu 2024. Chidimma Adetshina ambaye awali...
  18. JamiiForums Tanzania Shetani, kwa nini haukuomba msamaha yaishe? Ulipewa nafasi ya kujirudi au basi tu na wewe ulikuwa mhanga wa Matrix? Au ni kiburi chako tu?

    Eeh Mungu nisamehe kama ninakufuru!! Like nini haswa kilikuwq nyuma ya shetani kuasi. Alipata hamasa binafsi au kulikuwapo na mamlaka nyingine iliompa hamasa ili washirikiane kumpindua Mungu pamoja kwa ahadi ya vikubwa zaidi ya vile mwenyezi Mungu alivyokuwa amempa. Is lucifer, satan? Au...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa Draft ndio mchezo unaoshika nafasi ya pili kwa kupendwa nchini Tanzania, Serikali ikae na wadau kuanzisha na kuendeleza mchezo huu

    Ukiondoa mpira mguu, mchezo wa draft ndio mchezo ambazo unachezwa katika wilaya zote nchini, hakuna wilaya hapa nchini utaenda utakosa wachezaji wa mchezo huu, nenda wilaya yoyote draft lipo na wachezaji wapo, Dar es salaam ndio balaa, kule manzese, mbagala, kinondoni ndio kuna mafundi wakubwa...
  20. JamiiForums Tanzania LGE2024 TAMISEMI yasema CCM imefanikiwa kuweka Wagombea Mitaa yote, upinzani wameweka Wagombea 30,977 katika nafasi 80,430

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), kimefanikiwa kuweka wagombea katika nafasi zote za vijiji, vitongoji na mitaa huku upinzani ukiweka wagombea 30,977 sawa na asilimia 38 ya nafasi zote 80,430...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…