nafasi za kazi

  1. JamiiForums Tanzania Niko posta natafuta kazi yeyote. Naishi Magomeni

    Naomben mwenye kunisitil anisitili ndugu zangu. Pakuishi ninapo lakin sina kazi ndugu zangu Naombeni mwenye kunisaidia anisaidie kazi yeyote tu Asanten sana MUNGU AWABARIK SANA Mara nyingi nakuwa niko ST Joseph nikipiga Ibada
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hivi siku hizi kuna recruiting agency ya kuaminika?

    Zamani hizi recruiting agency zilikua na msaada sana kwa watafuta ajira lakini siku hizi nyingi zimekua na ubabaishaji. Siku hizi zimeibuka recruiting agency ambazo zinaomba fedha kwa watafuta ajira na wengi wao ni matapeli, wanakuambia toka Tshs kadhaa tukupe nafasi na ukisema huna wakate...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nafuta ofisi ya kufanyia field management of social development

    Mi naomba kuuliza wakuu ,hivi mfano course ya Bachelor Degree in Management of Social Development ni ofisi zipi unaweza kufanyia field practice
  4. JamiiForums Tanzania Kazi za ovyo ovyo ndizo zenye Pesa, ila tambua faida na hasara zake

    Katika jamii yetu, mara nyingi kazi zinazochukuliwa kuwa "za ovyo ovyo" au zisizokuwa na hadhi ya juu zimedharauliwa. Watu wamekuwa na dhana kwamba kazi kama hizi hazina mbele wala nyuma, hazilipi, na haziwezi kumtoa mtu kimaisha. Lakini ukweli ni kwamba, dunia ya sasa imebadilika, na mara...
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi( 3)

    " New executive Lodge available Vacancy,front desk, house keeping and food production. Ukonga Dsm.Contact 0756001053
  6. JamiiForums Tanzania Tangazo la Nafasi za kazi

  7. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Wonderwell Daycare and Nursery School

    Uongozi wa Wonderwell Daycare and Nursery School Daycare iliyopo Mikocheni unawatangazia nafasi za kazi kwa walimu wakike waliobobea kwenye taaluma ya makuzi ya watoto. Shule ni mpya na Usaili utafanyika kuazia jumatatu, mwalimu afike shuleni akiwa na nakala za vyeti vya kitaaluma na wasifu...
  8. JamiiForums Tanzania Project Accountant at TWCC September, 2024

    Job type: Full-time TITLE: Project Accountant (1 Position) Organization: Tanzania Women Chamber of Commerce (TWCC) Duty Station: Dar es Salaam Type of Contract: Full Time Reporting To: Finance & Administration Manager Appointing Period: 3 years Starting Date: October 2024...
  9. JamiiForums Tanzania Laboratory Supervisor at Médecins Sans Frontières September, 2024

    Job type: Full-time JOB VACANCY – LABORATORY SUPERVISOR Title: Laboratory Supervisor Duration: 12 months (Fixed Term Contract) – Full time position (100%) Direct Reports: Project Medical Referent. Location: Nduta Camp and Kibondo (Kigoma Region) FOR NATIONAL STAFF ONLY...
  10. JamiiForums Tanzania Supplies Officer at Kairuki University (KU) September, 2024

    Job type: Full-time KAIRUKI UNIVERSITY VACANCY ADVERTISEMENT Applications are invited from suitably qualified and experienced Tanzanians to fill the position of Supplies Officer at Kairuki University (KU). Summary Description: Responsible for purchase of goods or services that meet the...
  11. JamiiForums Tanzania HIV Program Officer at UCSF September, 2024

    Job type: Full-time Job Description: HIV Program Officer Organization Overview The Global Programs (GP) Office in Tanzania is an affiliate of the University of California, San Francisco (UCSF), providing targeted HIV/TB strategic information (SI) technical assistance through the PEPFAR-funded...
  12. JamiiForums Tanzania Loan Officers – 5 Posts at MetroCredit Limited September, 2024

    Job type: Full-time Positions: Loan Officers – 5 Posts MetroCredit Limited METROCREDIT LIMITED (MetroCredit) is a young company incorporated in Tanzania in 2018 under the Companies Act, 2002 intending to provide financial services to Micro and Medium entrepreneurs. The company is inviting...
  13. JamiiForums Tanzania Project Manager at Istituto Oikos September, 2024

    Job type: Full-time ISTITUTO OIKOS International cooperation NGO seeks Project Manager Istituto Oikos (www.istituto‐oikos.org) founded in Milan in 1996, operates in Europe and in developing countries to promote the responsible management of natural resources and to spread more sustainable...
  14. JamiiForums Tanzania Procurement Assistant at Medical Teams International September, 2024

    Medical Teams International holds strict child and vulnerable adult safeguarding principles and a zero-tolerance policy for misconduct related to sexual harassment, exploitation and abuse in the workplace and other places where the organization’s activities are rendered. Parallel to technical...
  15. JamiiForums Tanzania Laboratory Attendant III at CUHAS September, 2024

    The Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS), owned by the Tanzania Episcopal Conference (TEC), provides training for over 3,500 students. CUHAS currently offers the following programs: Doctor of Philosophy (PhD), Master of Medicine (MMed), Master of Public Health (MPH), Master...
  16. JamiiForums Tanzania Tutor 4 – Positions at CUHAS September, 2024

    The Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS), owned by the Tanzania Episcopal Conference (TEC), provides training for over 3,500 students. CUHAS currently offers the following programs: Doctor of Philosophy (PhD), Master of Medicine (MMed), Master of Public Health (MPH), Master...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba anayejua muungozo wakujiunga SIDO

    Wakuu, ninakaribia kutimiza mwaka tangu nihamie sehemu hii ninayoishi sasa. Lakini hali niliyokutana nayo hapa inaniumiza sana, hasa kutokana na biashara ninayotaka kuanzisha. Biashara hii inahitaji niandae bidhaa, lakini sina ofisi na kwa mkoa huu ninapoishi, gharama za kuwa na ofisi ni kubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi truck drivers Lithuania

    Wale truck drivers wenye kauzoefu kiasi karibuni ofisini kwetu tuwaunganishe mkaendeshe trucks along europe, kampuni iko Lithuania mshahara ni kuanzia euro2300 plus bonus kutakuwa na training ya mwezi mmoja utalipwa kipindi chote cha training. Vigezo Leseni daraja CE Police clearance Mambo...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi 600 Walimu wa ufundi mashuleni

    Fursa kwa walimu wa ufundi Kusoma zaidi: https://www.jamiiforums.com/attachments/ajiraleo-com_tangazo-la-kazi-septemba-17-pdf.3099151/
  20. M

    JamiiForums Tanzania Msaada aliyewahi kufanya usaili kwenye nafasi hizi

    Habari wakuu naomba msaada kwa aliyewahi kuitwa Interview ya written au oral katika nafasi hizi: 1. Admission Officer II (NACTVET) 2. Editor II (TIE) 3. Quality Assurance Officer II (NACTVET) Naomba msaada wa TIPS za interview kuhusu hizo nafasi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…