nafasi za kazi

  1. A

    KERO Waombaji "Ajira Portal" tunakaa muda mrefu bila majibu, bora wasitangaze nafasi za kazi kama hawajajipanga

    Kero yangu sisi tunaoomba ajira kupitia Mfumo wa Ajira Portal, tunakaa muda mrefu bila kuitwa kwenye interview. Kwa mfano niliomba ajira Ajira Portal, Shirika la Posta since last year Mwaka 2025 mpaka leo Machi 2026 hakuna shortlist wala kujua lini tutafanya, the same to Mamlaka ya Viwanja vya...
  2. E

    Nafasi za kazi kwenye company ya microfinance

    Habar wanahitajika vijana 2 wa kufanya kazi katika company ya kukopesha hela wa kike 1 na wa kiume 1, umri wasizidi miaka 24 Kituo cha kazi ni Zanzibar (Pemba) Mshahara ni 170k kwe mwez na posho ya 5k kila siku. Sehem ya malazi kw watumishi ipo. Kwa mawaziliano zaid wasiliana kw simu no...
  3. Foffana

    Matajiri mbona hamtangazi nafasi za kazi?

    Heshima yenu Wakuu Niruke moja kwa moja kwenye mada Humu kuna maCEO, MaHR, watu wana mabiashara yao makubwa wengine wana maconnection mbona hamtangazi hizo nafasi wadau tuingie mzigoni? Mnaenda kutafuta wafanyakazi kwenye platforms nyingine za ovyo mnaacha kuchukua vijana machachari wa JF...
  4. Seran

    Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Hello members Naomba kushare nafasi mbalimbali za kazi ninazokutana nazo huko mitandaoni, sihusiki directly ila naona wahitaji ni wengi na mnaoniulizia ni wengi pia. I hope hii itawasaidia wahitaji. Best Regards, Seran🖤
  5. Nangose 1

    Kwanini Taasisi za Serikali ambazo ni Autonomous hazitoi nafasi za kazi..?

    Baada ya kufuatilia vizuri nimegundua kuwa taasisi za Serikali ambazo zinaweza kujiendesha zenyewe bila kutegemea bajeti za Serikali (Autonomous Institutions) Huwa hazitoagi ajira ama mpya au kuhamia. Hivi hizi Taasisi huwa zina-replace vipi watumishi wanaostaafu au changamoto zingine...
  6. Manezra

    Internship Opportunities for Computer Programmers

    CLICK THIS LINK TO APPLY
  7. srinavas

    NAFASI ZA KAZI YAS - DIRECT SALES AGENTS

    Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojielezea hapo juu, Ninahitaji vijana kwa ajili ya kufanya mauzo ya Ku Push products za Yas Business kama Vile Yas Routers, SME and Individual Bundles, Home Fiber, Mjasirianali Box, SME KINARA na zingine nyingi.. Zote hizi ni bidhaa za Yas Business Ajira hii...
  8. Halmashauri ya Jiji DSM

    Nafasi za kazi Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

    TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
  9. Mtu_imara

    Nafasi za kazi ulinzi

    Assalamualaikum Nafasi za kazi ya ulinzi na dereva dsm na dodoma Whatsapp nikupe vigezo na malipo 0614951696 natoa connection tu siitaji pesa
  10. Jamii Opportunities

    Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma yatangaza nafasi za kazi 17,710

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya na MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 17,710 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili; Ili kuweza kutazama nafasi zilizotangazwa pitia
  11. Prof_Adventure_guide

    Nafasi za Kazi: Digital Marketing Officers (Tourism & Hospitality Sector)

    Ninahitaji watu 5 pekee (wadada na wakaka) wenye uelewa na passion ya marketing (hasa digital marketing) ili kuendeleza sekta ya utalii na kuhakikisha wageni wanapatikana kila mwezi. 🔑 Muundo wa Kazi Kazi yako kuu ni marketing & client acquisition — kuhakikisha wageni wa kimataifa na wa ndani...
  12. Analogia Malenga

    Hizi nafasi za kazi za PAPU zinazopitia TCRA hazina infomation za kutosha rekebisheni

    https://www.tcra.go.tz/uploads/documents/sw-1757859650-PAPU_Vacancies_1032107643381814476641029946369102376331757853088906.pdf Angalia kiunga hapo juu kuhusu hizi nafazi za Pan African Postal Union (PAPU) zinaonekana kabisa ni mpunga mrefu maana ni P3 na P4, maombi inabidi yapitie TCRA, hata...
  13. Mjusi Sharobalo

    Tangazo la maombi ya kazi Dar es salaam

    Natanguliza salamu. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 mwenyeji wa Dodoma, kwa sasa napatikana Tabata Dar es salaam. Natafuta kazi ya aina yoyote ile sibagui kazi. Elimu yangu ni shule ya msingi, nilikatisha elimu yangu kwa sababu ya changamoto za kimaisha zilizopo inje ya uwezo wangu...
  14. Jamii Opportunities

    Yas Tanzania Announces 11 Vacancies in August 2025

    Yas Tanzania, a dynamic leader in the fintech industry, is driving innovation and financial inclusion across Tanzania. With a mission to empower communities through cutting-edge financial solutions, Yas Tanzania has established itself as a trusted name in the region. This August 2025, the...
  15. Jamii Opportunities

    7 KCB Bank Tanzania Jobs Announced – August 2025 Vacancies

    KCB Bank Tanzania Announces 7 Exciting Job Vacancies – August 2025 Introduction KCB Bank Tanzania, a key player in the financial services sector, continues to strengthen its workforce as part of its commitment to innovation, customer excellence, and sustainable growth. With a strong presence...
  16. Jamii Opportunities

    Civil Engineer (KTE) at Taifa Gas August 2025

    Job Opportunity at Taifa Gas Taifa Gas is currently seeking qualified candidates for a Civil Engineer position at their Kigamboni, Dar es Salaam, Tanzania location. Below are the details for this exciting opportunity. Position Details Job Title: Civil Engineer (KTE) Working Station...
  17. Jamii Opportunities

    Procurement Intern Opportunity at Frostan August 2025

    Procurement Intern Opportunity at Frostan Frostan is currently seeking a qualified candidate for a Procurement Intern position based in Iringa. Below are the details of the opportunity, including requirements, application instructions, and deadlines. Position Details Role: Procurement Intern...
  18. Holoholo-Baba Kijacho

    Mwenye connection ya kazi katika mashirika binafsi naomba anisaidie kupata kazi katika mashirika hayo

    Wakuu Mimi ni muhtimu wa kidato cha nne mwaka 2019 na ufaulu wa dalaja la pili alama 19,sikuendelea na shule kutokana na changamoto za kifedha. Wakuu,nipo chini ya miguu yenu kuwaomba kati katika mashirika binafsi tajwa hapo juu! Hata cheo tu cha chini kulingana na elimu yangu kinatosha...
  19. Jamii Opportunities

    Art Initiative Program Procedure and Promotion Assistant –Readvertised at School of St Jude August, 2025

    Want to work for one of the largest charities of its kind in Africa? Are you passionate about promoting art? Are you skilled in sales, marketing, and connecting with people from diverse backgrounds? Do you want to make a difference by supporting young artists and their work on both a local and...
  20. Jamii Opportunities

    Registered Nurse at Kafika House August, 2025

    We are looking for a Qualified Registered Nurse Job Overview We are seeking a dedicated and skilled Registered Nurse (RN) to join our Patient Care Team. The RN will provide compassionate pre- and post-operative care to pediatric patients, ensuring they receive the highest standard of treatment...
Back
Top Bottom