nachingwea

Nachingwea is a district in the Lindi Region of Tanzania. The district is bordered to the north by the Ruangwa District, to the east by the Lindi Rural District, to the south-east by the Mtwara Region, and to the south-west by the Ruvuma Region.
According to the 2002 national census, the Nachingwea District had a population of 162,081.The district has a hospital, a teacher's training college, a secondary school, four primary schools, a nursery school, and a day care centre. Nachingwea Airport and an army barracks also are in the district. The district was one of the centres for the groundnut scheme in the 1950s.The Nachingwea Medal is named after this place.

View More On Wikipedia.org
  1. PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu: Watendaji na Watumishi wa umma acheni tabia ya kuzoea matatizo

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amewaonya watendaji na watumishi wa umma waache tabia ya kuzoea matatizo hasa katika sehemu zinazotoa huduma kwa wananchi. Ametoa onyo hilo jana (Jumapili, Desemba 21, 2025) wakati akizungumza na wagonjwa na watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea mkoani...
  2. GE2025 Mgombea ubunge Nachingwea adodosha mistari ya Hip Hop mbele ya Rais Samia, Samia naye aitikia

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Nachingwea mkoani Lindi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Liwaka ameonesha umahiri wake kwa kuchana mistari ya Hip Hop mbele ya Mgombea urais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokuwa kwenye kampeni Ruangwa mkoani Lindi.
  3. R

    GE2025 Wanachama CCM Jimbo la Nachingwea Lindi, Wamerudisha Kadi za uanachama baada ya Mgombea ubunge waliyemtaka kuondolewa kwenye kinyang'anyiro

    Wanachama wanaodaiwa kuwa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Nachingwea mkoani Lindi, wameonekana wakirudisha vifaa mbalimbali na kadi za chama hicho, chanzo kikielezwa kuwa mgombea ubunge waliyemtaka ameondolewa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi hiyo Chanzo: Habari Digital
  4. PreGE2025 Mossi Mzee Nampembe, amejitokeza kuwania nafasi ya udiwani wa viti maalum UWT Kata ya Nachingwea, Lindi

    Katibu wa Chama cha Makandarasi Wanawake Kanda ya Kusini, Mossi Mzee Nampembe, amejitokeza rasmi kuwania nafasi ya udiwani wa viti maalum kupitia Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) katika Kata ya Nachingwea, Wilaya ya Lindi mkoani Lindi. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya...
  5. PreGE2025 Teddy Mayunga maarufu kama afande wa TOBOA TOBO achukua fomu ya udiwani viti maalum Nachingwea

    Teddy Mayunga maarufu kama afande wa TOBOA TOBO achukua fomu ya udiwani viti maalum NACHINGWEA
  6. PreGE2025 Mchimbaji wa Madini atoa TSh. Milioni 4.5 kulipia bima ya gari la CCM Nachingwea

    Mfanyabiashara na Mchimbaji mdogo wa Madini na Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kuruthum Issa Runje, amechangia kiasi cha Shilingi milioni 4,555,183 kwa ajili ya kukata Bima ya gari chama hicho Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
  7. PreGE2025 Tundu Lissu apokelewa kwa furaha na Vifijo Nachingwea. Je, ni ngome ya CHADEMA?

    Tundu Lissu apokelewa kwa furaha Nachingwea. Je, ni ngome ya CHADEMA? Hakika CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani. CHADEMA wanaendelea kutoa elimu ya No reforms no Election kanda ya kusini.
  8. PreGE2025 Mwenyekiti Halmashauri ya Nachingwea ataja Miundombinu duni kuwa chanzo cha ucheleweshaji wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo

    Tarehe 20 Machi, Adnan Mpyagila, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Nachingwea, amefanya ziara ya kutembelea miradi ya ujenzi wa shule za sekondari. Ameangalia ujenzi wa Shule ya Sekondari Kata Mtua ,Kata Chiumbati, Rugwa Boys (mabweni), Shule ya Kata ya Nachingwea, na Shule ya Naipanga Sekondari...
  9. Serikali yatoa siku tatu wawekezaji wote wa kigeni kuondoka maeneo ya mgodi wa madini Nditi, Nachingwea

    Serikali imewapa siku tatu wawekezaji wote wa kigeni kuondoka katika maeneo ya mgodi wa madini Nditi uliopo wilayani Nachingwea mkoani Lindi na kuwaacha wachimbiji wadogo katika eneo hilo kwani ni eneo la rashi. akizungumza mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mohamed Moyo akiwa ameambatana na kamati...
  10. PreGE2025 Nachingwea Girls wamshukuru Waziri Mkuu kwa fedha ya futari

    Uongozi wa Shule na Wanafunzi wa Sekondari ya Wasichana ya Nachingwea iliyopo Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, wamemshukuru Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa kwa kuwapa kiasi cha Shilingi Milioni 4 kwa ajili ya futari Soma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa Milioni 4 kwa wanafunzi wa...
  11. PreGE2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa Milioni 4 kwa wanafunzi wa Nachingwea Girls

    Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh.Kassim Majali ametoa shilingi 4,000,000 kwa wanafunzi wa shule ya Msingi Nachingwea Girls iliyopo wilayani Nachingwea. Majaliwa ametoa fedha hizo machi 6 alipotembelea shuleni hapo na kuongea na wanafunzi wa shule hiyo. Aidha amesema kuwa shule...
  12. PreGE2025 Lindi: Mbunge wa Viti Maalum achangia bati 90 ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Nachingwea

    Tarehe 3 Machi 2025 Maimuna Pathan, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, amekabidhi bati 90 kuunga mkono juhudi za ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Nachingwea. Bati hizi ni sehemu ya michango ya Pathan katika kuendeleza maendeleo ya Wilaya ya...
  13. MANAWASA yakiri Mji wa Nachingwea una changamoto ya upatikanaji huduma ya maji

    Februari 25, 2025 Mwanachama wa JamiiForums.com alidai Mji wa Nachingwea una changamoto ya huduma ya maji kwa zaidi ya miezi minne, hali ambayo imekuwa kero kwa Wananchi wengi, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Masasi – Nachingwea (MANAWASA) imetoa ufafanuzi: Kusoma alichoandika...
  14. A

    KERO Responded Kuna shida ya Maji Wilaya ya Nachingwea mwezi wa nne sasa

    Kumekuwa na shida ya maji Wilaya ya Nachingwea kwa miezi minne sasa maji yanatoka kwa kusuasua wakati huohuo Mamlaka ya Maji (MANAWASA) haijatoa sababu za msingi za uwepo wa hali hiyo au wala hawajaeleza kuhusu uwepo wa mgao. Hii shida huwa inajirudia kila Mwaka, mwaka huu kuna uhaba wa mvua...
  15. KERO Huduma ya maji wilayani Nachingwea ni changamoto; yakitoka ni machafu na kwa muda mfupi hukatika

    Habari wanajukwaa wenzangu na Mamlaka zote zinazohusika. Kumekuwa na sintofahamu sasa ya muda mrefu kuhusu nini hatima ya Wakazi wa Nachingwea katika upatikanaji wa Maji na Salama. Tunaomba mamlaka zinazohusika ziingilie kati kwani mitaa mingi ya wilaya ya Nachingwea haina maji (kumaanisha...
  16. PreGE2025 DC Nachingwea awaonya wahandisi miradi kujengwa chini ya kiwango

    Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amewataka Wahandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea kusimama miradi yote kwa ubora unaotakiwa kulingana na thamani ya fedha zinazotolewa na Serikali. Akizungumza katika ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali alisema kuwa haridhishwi viwango...
  17. KERO TANSECO Wilaya ya Nachingwea mnaikosea sana

    Tanesco Tanesco Tanesco Nimewaita mara tatu kuomyesha Msisitizo. Hii wilaya ya Nachigwea mkoa wa Lindi kwanini mnakata umeme mara nyingi kiasi hiki na Bila Taarifa kamili. Mfano leo mshakata zaidi ya mara 10 na watu wanatumia vifaa je vikiungua mtaweza kulipa. Kama mnakata ni bora mkate...
  18. DC Nachingwea agawa Sukari, Maziwa na Unga kwa ajili ya Siku ya Afya na Lishe

    Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amegawa mahitaji ya mapishi kwa vitendo kwa ajili siku ya Afya na Lishe ya kijiji, hayo ameyafanya Novemba 22, 2024 alipokua katika kikao cha tathimini ya mkataba wa Lishe robo ya kwanza kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Mahitaji hayo ni sukari...
  19. K

    KERO Responded Idara ya Utumishi - Halmashauri ya Nachingwea inatuzungusha kutupa Barua za Ajira sisi Watumishi wapya

    Naomba kuwasilisha kero sugu iliyopo katika Halmashauri ya Nachingwea upande wa Idara ya Utumishi, kumekuwa na mikingamo mingi na mazingira tata katika utoaji wa barua za uthibitisho na barua za ajira kwa sisi Watumishi wa Serikalini. Hizi barua hazitolewi kwa wakati na mpaka sasa, kawaida...
  20. LGE2024 Wilaya ya Nachingwea jumla ya vituo 525 vitatumika kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu

    Msimamizi wa Uchanguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wilaya ya Nachingwea mhandisi Chionda Kawawa ametangaza rasmi jumla ya vituo 525 vitatumika kupiga kura katika uchaguzi wa mwaka huu tarehe 27/11/2024. Akizungumza na KITENGE TV Mhandisi Kawawa amesema kuwa wamejipanga kuhakikisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…