Polisi wa Kiislamu nchini Nigeria wamewakamata Waislamu tisa kwa kutofunga Ramadhani. Polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini la Kano nchini Nigeria wamewakamata Waislamu tisa siku ya Jumatano ambao walionekana wakila chakula katika siku ya kwanza ya mfungo wa Ramadhani mwaka huu. Kano ina...
Taarifa ninazozitoa hapa zote ni takwimu rasmi za Serikali. Kwa nini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kulinda/Kusimania Uchaguzi na kulinda Usalama wa Raia kwa wakati mmoja.
Vituo vya Kupigia kura nchi nzima vipo 99,895 ambapo Tanzania bara kuna vituo 97,348, Tanznaia nzima ina...
Tanzania imepiga hatua kubwa sana kwenye digital payments. Kuna makampuni mengi sasa yanatoa huduma za malipo ya kidigitali, API integration, na hata disbursement kwa makampuni na wajasiriamali wadogo.
Baadhi ya makampuni yaliyopo sasa ni:
ClickPesa
Celcom Pay
Pesapal
DPO
AzamPay
Zenopay...
Tujiulize kwa uzito na dhamira safi: Kwa nini matukio ya utekaji yameendelea kuwa siri nzito inayoumiza jamii, na kwa nini wahanga wakubwa ni wale tu wanaothubutu kusema wazi kuhusu mfumo wa uongozi? Hii sio coincidence—ni pattern ya hatari.
Kama taifa, hatuwezi kuendelea kufumba macho huku...
Katika ulimwengu wa leo wa kidijitali, kuwa na tovuti au blog si anasa tena — ni hitaji. Na unapofikiria kuanzisha tovuti, jina moja linalojitokeza mara kwa mara ni WordPress. Lakini WordPress ni nini hasa, na kwa nini limetawala ulimwengu wa uundaji wa tovuti?
WordPress ni Nini?
WordPress ni...
Napenda kufahamu ethiopia wanategemea kitu gani kwenye kukuza uchumi wao pia ni sector gani kwao inayoongoza kuwaingizia pesa nyingi.
Swali kwa wachumi ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP) hadi wanaenda speed sana yaani miaka kama 3 au minne nyuma tulikuwa...
Mafuriko makubwa yamesababisha vifo vya maelfu ya watu katika mji wa Derna, mashariki mwa Libya, na kusomba baharini vitongoji na wakazi wengi huku maelfu ya watu wakiwa hawajulikani walipo.
Chanzo cha mafuriko
Baada ya kuzipiga nchi nyingine za Mediterania, Dhoruba kali inayofahamika kwa jina...
Mimi ningepinga uharibifu wa mazingira unaofanywa kwa kisingizio cha maendeleo. Ninakerwa mno na ukataji wa miti ovyo ili kujenga barabara au miradi kama ule wa bwawa la Nyerere.
Ningekemea mno uharibifu wowote wa mazingira bila kujali sababu gani imefanya hivyo. Yaani hata miradi yote...
Binadamu wote ni jasiri! Hata mimi na wewe, sote ni majasiri na wakati mwingine vile viwango vyetu vya uvumilivu vinapokoma, nafsi na miili yetu hufika ukomo wa kuona maumivu kufaa kuvumilika tena, na hatimaye hujikinahi na kuona sawa tu kwa lolote! Na hapo mtu hukubali hata kukabiliana na kifo...
Mnamo Novemba 21, 2022, The Chanzo ilifanya mahojiano maalum na Mkurugenzi wa JamiiForums Maxence Melo kuhusiana na haki ya msingi ya binadamu ambayo watu wengi hawaifahamu: haki ya kusahaulika.
Melo, ambaye ni moja kati ya wadau wakubwa wa haki za kidijitali nchini Tanzania, amesema haki hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.