mzima

Mzima Springs are a series of four natural springs in Tsavo National Park, Kenya. They are located in the west of the Park, around 48 km from Mtito Andei. The source of the springs is a natural reservoir under the Chyulu Hills to the north. The Chyulu range is composed of volcanic lava rock and ash, which is too porous to allow rivers to flow. Instead, rain water percolates through the rock, and may spend 25 years underground before emerging 50 kilometres away at Mzima. The natural filtration process gives rise to Mzima's famously clear stream, which flows through a series of pools and rapids. Two kilometres downstream from the springs, the stream is blocked by a solidified lava flow and disappears below the surface again.
Mzima is one of Tsavo's most popular wildlife attractions owing to its resident populations of hippos and Nile crocodiles. Mzima's isolation makes both species are dependent on its waters: other sources are too distant for them to reach by overland travel. The hippos also sustain an entire food chain. They browse the surrounding savannah by night and return to Mzima's pools by day, where their dung fertilises the water. Fruiting trees such as date and raffia palms, waterberrys and figs grow beside the water, using their submerged roots to absorb nutrients. Their fruits are a source of food for vervet monkeys and a variety of birds. Below the water's surface, the invertebrates which feed on the hippo dung are preyed on by fish and cormorants.The springs were made famous by wildlife film-makers Alan and Joan Root's 1969 nature documentary Mzima: Portrait of a Spring, which featured underwater footage of the hippos and crocodiles. They were also the subject of the Survival Special Mzima: Haunt of the Riverhorse in 2003, which featured the first footage of a hippo infanticide.In 2009, a prolonged drought proved catastrophic for Mzima's wildlife. Starving game animals were driven to permanent water sources in their thousands, bringing them into competition with the resident hippos. The grassland surrounding the spring turned to desert and hippos began starving to death. In September 2009, only five remained, down from 70 in 2003, and journalists reported seeing carcasses floating in the pools.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watu wa kusini( Lindi na Mtwara) ndiyo watu wanaongoza kuwa na akili Tanzania mzima

    Ndiyo huo uhalisia watu wa kusini hasa hasa Lindi na Mtwara ndiyo watu wanaongoza kuwa na akili Tanzania mzima yaani hawa watu wa kusini ndiyo gamer changer Tanzania mzima tu ila ndiyo hii nchi watu wanakaza mafuvu tu kutokana na ubinafsi wao wewe mtu kama Mkapa ona baada ya kukabidhiwa nchi tu...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ipp acheni ukabila crew yenu mzima ni wachaga watupu

    Hawa Ipp media ni wana ukabila sana aisee yaani crew yao mzima ni wachaga kwanzia MD mpaka mfagizi ni wachaga watupu hivi kwamba watu wa makabila mengine hawapo mpaka muajiri wachaga tu? Sio kama ukabila ni nini? Na watu wengi sana wakija kuomba ajira hapo kwenu lazima muulize ni kabila gani...
  3. JamiiForums Tanzania Sudan Kusini wamepata wapi u special wa kutrend dunia nzima na kukubalika namna hiyo na kuwa kivutio namna hiyo?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hawa watu wa sudani kusini ambao walikuwa na njaa na kufukuzwa na waarabu wenzao wa Sudan mbona wamemugeuka kuwa maarufu ghafla sana Wametoa wapi u special huo maana saiz kila ukingia mtandaon ni wao tu Kwa wale wapenda madem ukitoa mimi...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hivi hii imekaaje wakuu? Unakuta mwanaume mzima anasema "lol". Mimi naona kama sio sawa

    Hivi hii imekaaje wakuu unakuta mwanaume mzima anasema "lol" mimi naona kama sio sawa
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu hebu tujitathimini hivi Karne ya sasa ni yakushangaa nyumba ya mtu tena kwa mtu mzima? Hii ni aibu!

    Tunatia aibu kwakweli unaona kabisa mtu mzima amesoma lakini bado anashangaa nyumba za watu kwa kulalamika as if amekatazwa naye kujenga nyumba Kama hyo anayoishangaa, hebu vitu Vingine acheni viwapite. Eti oooh! Marehemu kaacha nyumba kubwa Sana, ww inakuhusu Nini? Eti oooh siasa inalipa kwani...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna matamko huyategemei toka kwa Jaji wa Rufaa, anatoa haki Mahakamani! 37 millions wamejiandikisha kweli?

    Judge mzima huna aibu unasema 37 wamejiandikisha......... By all intent and purposes haiwezekani watu wote wajaiandikisha........ duniani haijawahi kutokea. Nchi za Ulaya, particularly Western, ambazo database za watu wake ziko perfect 100% unaweza ku quote data hizo ukazifaya automatically that...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia kataa hizi aibu, Ripoti ya Uchunguzi: Hitilafu na Utofauti Kati ya Matokeo ya Wilaya/Mikoa na Tangazo la Kitaifa la CCM, Mkutano wa Mtandaoni

    “Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.” Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
  8. JamiiForums Tanzania Kumtisha Samia, ni kumtishia mtu mzima nyau!

    Huu ni ukweli mchungu ambao hata kama kuna watu hawaupendi, itabidi wauvumilie mpaka 2030! Tusimung'unye maneno, Samia urais anautataka, na amewekeza kuhakikisha anaupata! Kwenye siasa hakuna bahati mbaya! Kilichotokea kwenye mkutano mkuu, hakikuwa bahati mbaya! Ulikuwa ni mkakati uliopangwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mke wangu kakasirika kisa nimekataa asinipake mafuta mwili mzima

    Yani mapenzi muda mwingine shida sana, amekasirika kwa jambo la ajabu sana. yeye analazimisha kua asubuhi nikitoka anipake mafuta mwili mzima, ila mimi sipo comfortable kabisa. Anaona ni nini namficha na yeye ni mke wangu. Hili hapana
  10. JamiiForums Tanzania DPP akikaa Mwaka mzima au hata miwili hajaamua kuhusu hii Kesi ya Uhaini, Ni sawa tuu? Kuna Sheria inambana.?

    Maana jana Hakimu Mkazi kasema hakuna sheria inayoipa nguvu mahakama ya kumamuru DPP atoe maamuzi kuhusu hii Kesi. Sasa mimi nauliza Wanasheria Ukomo upo kisheria?, au hilo file linaweza kukaa kwa DPP hata Miaka 2, 3 hadi 5 bila kufanyiwa maamuzi.?? Kama ni hivyo mfumo wetu wa utoaji haki una...
  11. JamiiForums Tanzania Simba ikimfunga Yanga leo nipigwe Ban ya Mwezi Mzima

    Hizi teams zina mambo ya kipuuzi sana lakini nashukuru YANGA MATAKWA YETU YOTE YALITIMIZWA ILI LEO TUIFUNGE SIMBA KWA UHAKIKA KABISA... SIMBA HAWAWEZI ISHINDA YANGA HII AMBAYO INAPIGA MTU BAO 3,4,5,6 bila huruma kabisa.
  12. JamiiForums Tanzania Siasa Sio Netflix – Ni Maumivu ya Mwili Mzima!

    "Ukiwa mwanasiasa, jifunze kwa team Hatuchezi Ng’oo, ukilala chali, unaamka chali, hakuna kuegemea ubavuni! Maumivu yana GPS, yanakupata popote ulipo. Siasa si sinema, ni gym ya roho." — Alloyce, P.R.
  13. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa idara ya habari anaandika hivi. CHAUMMA jitajidini muwe na namna ya kuvutia kwenye uandishi wenu

    Mmmh Mkurugenzi mzima wa idara ya habari anaandika hivi. CHAUMMA jitajidini muwe na namna ya kuvutia kwenye uandishi wenu
  14. JamiiForums Tanzania Ukiwa Mtu Mzima Utagundua Kwamba Salamu Ya Shikamoo Ni Mtihani

    Hiyo namba ndio mwaka wangu wa kuzaliwa,ulivyokuwa na hamu ya kujua Etugrul Bey ana miaka mingapi utapiga hesabu bila aibu ujue nina miaka mingapi,usijichoshe hii may nimetimiza miaka 46,je kuna mwenye shida na hilo? Nakumbuka nikiwa Chuoni kuna mtu wa Library kipindi hicho alikuwa kwenye 40's...
  15. JamiiForums Tanzania Mabadiliko yafanyike kwa Jamii nzima ya watanzania

    Naomba namimi nichukue nafasi hii kutoa mawazo yangu: Nimekutwa nikiona na kusikia reforms ambazo zinaendeshwa na kuenezwa nchi nzima na chama cha siasa kimoja hapa nchini. Watanzania wenzangu niseme kuwa tunakotaka kufika sio kwa namna hii tutajikuta tumeumizana sana hata hao viongozi nao ni...
  16. JamiiForums Tanzania Ishi ndoto zako, mbinu za kujiepusha na magonjwa ya Figo na mfumo mzima wa Mkojo

    Habari wakuu, nimewaandalia video fupi kuelezea juu ya mbinu za kujiepusha na magonjwa hasa yatokanayo na kufeli au kudhoofika kwa Figo na mfumo wa mkojo kwa ujumla, hope utaelimika na kuiishi uwe na afya njema.
  17. JamiiForums Tanzania Mwenza ana madoa meusi ya vipele mwili mzima kuna usalama hapa?

    Msaada wakuu naona hapa mwenza ana madoa meusi ya vipele mwili mzima kuna usalama hapa? Ni kama aliwahi kuwa na vipele vikubwavikubwa vikapona. Mule kulikokuwa na vipele kumebaki madoa meusi kama amezimiwa sigara. ni mwili mzima. Eti wakuu kitaalamu hii imekaaje? Chukulia ingekuwa ni wewe...
  18. JamiiForums Tanzania Maisha ya mtu mzima na urafiki unaobadilika polepole

    Mtu anatoka kazini, anarudi nyumbani. Anafanya shughuli zake. Labda aende dukani.Akiwa njiani, salamu kwa majirani—hakuna mazungumzo marefu.Ni maisha ya kawaida, ya utulivu. Ule urafiki wa “buda niko base, pita” umeisha. Sasa ni “tupange weekend” lakini weekend ikifika kila mtu ana shughuli...
  19. JamiiForums Tanzania Zijue faida za kuoga mwili mzima kiafya

    Je wewe ni miongoni mwa watu wanaokwepa maji, kila ukiwaza kuoga unapata uvivu na kuogopa baridi? Kuoga kuna raha yake na kuna manufaa makubwa katika maendeleo ya mwili wa binadamu. Sasa leo hii tuangazie umuhimu wa kuoga, sio kuoga tu yaani kuoga mwili mzima kiafya na kiakili. Hizi hapa faida...
  20. JamiiForums Tanzania Unakuaje Mtu Mzima Katika Kundi Lako la Marafiki Kila Ukiambiwa Usimamie Ishu Fulani Hata 2000 Kila Siku Huna

    Tunaelekea wapi kama wanaume? Kuna kundi la wanaume ambao kwa namna ya kushangaza wamezoea kuishi ndani ya unyonge—unyonge wa kutokuwa na hata shilingi mfukoni. Hali ni mbaya kiasi kwamba hata mtu ambaye humjui binafsi, ukimuangalia tu unajisikia kero. Kwa nini? Kwa sababu umaskini wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…