mzigo mzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Body language.. Facial expression vinatambulisha mzigo mzito aliobeba moyoni

    Macho yanaongea .. Sura inasema.. The guilty are afraid...! Yaliyomo moyoni mwa mtu akishindwa kuyadhibiti hujitambulisha kwa uwazi kwenye macho na taswira kupitia sura yake! Furaha Huzuni Fadhaa Sintofahamu Maumivu Uoga Uongo Ukweli Bashasha Kimuhemuhenk Hali zote hizi huweza kutambuliwa kwa...
  2. Duh, kama hizi ndio faida za bia/pombe, basi akili zetu zinahitaji "reforms"

    Duh, kama hizi ndio faida za bia/pombe, basi akili zetu zinahitaji 'reforms'" Kaa siti ya mbele, nikusimulie vituko na mikasa ya kweli iliyosababishwa na wanywa bia/pombe, halafu ujibu swali langu: "vituko na mikasa hii ndio faida za bia/pombe?" SEHEMU YA KWANZA(I) Visa na vituko vifuatavyo ni...
  3. Kuzaliwa ni mzigo!: mzigo mzito sana ambao hakuna aliechagua kuubeba

    Sitakaa kuja kulaumu mtu kwa njia ya maisha aliochagua maana hata kama asingechagua wangemchagulia tu. LIFE'S A B+++H AND THEN YOU DIE.
  4. Umewahi kutana na mtu ambaye mawazo yake muda wote yamekaa kingono tu?

    Katika safari ya maisha, mara nyingi hukutana na watu wa tabia tofauti, kila mmoja akiwa na changamoto zake. Wapo watu ambao mawazo yao yanaweza kuelekezwa kwenye masuala maalum kama kazi, familia, au maendeleo binafsi. Lakini pia wapo ambao, kutokana na sababu mbalimbali, maisha yao huzungukwa...
  5. Hawa wazeee wa Yanga watahazarishe naona watabeshwa mzigo mzito

    Hapo vipi. Kwa mpira waleo siwashauri yanga wawelete wale wazee uwanjani watakuja kuwasababishia kisukari na presha. Kwa mpira wa leo waliocheza Simba dhdi ya APR ilyoifunga Yanga juzi bao 3 kwa 1 naona Yanga watapasulia kama mayai pale uwanjani
  6. Nimeutua mzigo mzito jana usiku

    Nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mrefu (aliyenizidi), mwenye shepu yake. Kusema kweli, amejaliwa kwa kiasi fulani. Nimekuwa naye kwenye mahusiano kama miezi miwili hivi. Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji. Nimepambana...
  7. Feminism imewaongezea Wanawake mzigo mzito zaidi kuliko walivyotarajia

    Anaandika, Robert Heriel Angalizo; lugha itakayotumika inaweza isiwe nzuri. Hivyo Kama ni mwepesi WA mihemko basi unashauriwa kuishia hapahapa. Endapo utaendelea kusoma, na ukapata madhara yoyote ya kihisia au kisaikolojia basi sitakuwa sehemu ya lawama. Nafahamu ili familia ianguke basi Mama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…