mzee

An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku naye analinda kula yake kupitia MNF pale Rotana Johari Buildings amesahau matamko yake amelipwa Trilioni ngapi Watz M60 tumchangie?

    Kwa kifupi tu Andrew Nyerere mwenye Ubini na ihalali wa yale majengo alishamaliza kila kitu na ndiyo maana familia ya ndani ya Baba wa Taifa wapo kimya. Butiku asitake kula matapishi yake tuko imara kwa data aliwahi kuiponza Taasisi ya TPO leo anaona maslahi ya wanaye ni bora kuliko Taifa hafai...
  2. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku utukome. Ni heri ukae kimya kujitunzia heshima yako kuliko kukubali kufanya Upotoshaji

    Tunakuomba sana Mzee Butiku utukome. Mlishindwa kuwadhibiti Mafisadi na sasa wamewameza hadi nyie huku wakiharibu maisha yetu sisi Watanzania wengi na vizazi vyetu vinavyokuja. Tunakuomba acha kutumika kufanya propaganda na upotoshaji. Watanzania tuko very serious mwaka huu kulikomboa hili...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mzee Warioba una jukumu kubwa la kusuluhisha hili Taifa, wewe pekee ndo mzee unakubalika na umma

    Baada ya Kauli ya mzee Butiku, ambaye naamini atakuwa ametumwa na watu wa mfumo ili kumkana afande Tesha, mimi nimuombe tu mzee Warioba kuwa yeye peke yake kwa sasa ndiye akiongea kitu umma utamsikiliza, namshauri asichukue upande, asimame kama msuluhishi na ajiepushe kuuza mtaji huu muhimu...
  4. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku alituasa vijana tujihadhari na watawala wahuni leo hii naye kageuka kuwa Muhuni.

    GT Waafrika tunashida kubwa sana vichwani mŵetu that is why hatusongi mbele njaa inatufanya tuwe vigeugeu. Mzee Butiku alishawahi kukemea hadharani dhidi ya viongozi makanjanja na wahuni akisema vijana tusiwe waoga hata kama uhai wetu utakuwa hatarini. Ninachokiona wahuni wamemweka mfukoni...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Mzee Mbembe: Rais Samia alitupeleka Korea kujifunza, Oktoba tuka Tiki tu!

    Mwigizaji maarufu kama Mzee Mbembe amesema, Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imewafanyia makubwa wasanii nchini ikiwemo kuwapa fursa ya kusafiri nchini Korea Kusini kujifunza zaidi kuhusu teknolojia mpya za uandaaji filamu na tamthilia pia kuhusu masoko na mbinu mpya...
  6. JamiiForums Tanzania Mzee Yusufu Makamba kwenye Kampeni Mwaka huu

    Hajaonekana. Mzee wa kulamba asali. Nadhani itakuwa yupo reserve anasubiria kufanya Kampeni mkoani mwake Tanga. Huyu Mzee wa Pwani ana maneno sana nadhani atatumika kwa wakati wake kumnadi mgombea Urais wa CCM. Huyu ni MwanaCCM kindaki ndaki, kada mzoefu ambaye tunamwitaji aongezee nguvu...
  7. JamiiForums Tanzania Mzee pekee mwenye uhalali wa kushauri na kuliokoa Taifa la Tanzania ni Mstaafu Joseph Sinde Warioba

    Mwenye uhalali wa kulikosoa na kulisahihisha Taifa kwa sasa ni Mzee Joseph Sinde Warioba kwa maana hafungamani na mtu yeyote, chama chochote na koleo anaita koleo na kijiko anakiita kijiko, Mungu akupe maisha marefu Mzee Warioba.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete kwenye hili umekosea kiapo chako na historia itahukumu

    Mzee wangu Jakaya Kikwete naomba nikwambie wewe pamoja na wengine mmelikosea taifa na kwa lolote litakuja tokea historia itahukumu. Wewe ni Rais pekee ulie baki ktk marais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Wewe ndie rais pekee unaye pokea taarifa za siri kama mstaafu. Unajuwa shida ya...
  9. JamiiForums Tanzania Yani ex wangu ndani ya mwezi mmoja tu wa kuanza kutembea na mzee mwenye nyumba tayari nishapandashiwa kodi

  10. JamiiForums Tanzania Nakuonea Huruma Mzee wasira

    Hilo kundi unalolipigia debe siyo kundi lako toka zamani na hata Leo. Zaidi tu ni kwamba wote mpo kwenye kapu Moja la CCM. Walikuweka hapo kimkakati tu. Kuisogeza lake zone ambayo ni zone pendwa kwa walaji. Na wajua kabisa kwamba wewe upo mwishoni ama kwa kutupa taulo mwenyewe au kwa kazi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Hongera Jenerali Mabeyo, bila wewe tusingefika hapa

    Mh. Salvatore Mabeyo hongera sana, kama si wewe tusingefika hapa tulipo, nikuombe kwa muda utakaopewa na Mungu wa kuishi uandike kitabu na ueleze yote uliyoifanyia Tanganyika. Kutoka kwenye Uvungu wa moyo wako utuambie yote mema na mabaya ili utuachie Historia sahihi ya utumishi wako.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

  13. JamiiForums Tanzania Ajali kazini: Shetani mwekundu amezidiwa nguvu na kudondoka

    Chombo cha mkuu wa anga Kamanda ni shabiki kindakindaki wa mashetani wekundu "Manchester United" toka mwaka 1940😅😅😅 Kwa ambao hamuujui "UNGO" hebu tazameni hapa Hili dege wanaweza kupanda hadi watu 50😅😅😅
  14. JamiiForums Tanzania Mzee Mshana jr msaidie jamaa yetu

    Jamaa yangu juzi kafunga 40yrs old, Analalama ameanza kuumwa viungo vya mwili vibaya mno, anadai miguu yake imekufa ganzi Muda MREFU unyayoni, Analalama mwili wake wote kuwa Kuna vitu vinamchoma choma km sindano anaishia kujikuna Kuna. Ngozi yake aina ushirikiano na mwili miguu imempauka km...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Siku Mzee wa Minyama (Maulid Kitenge) alipokutana na Minyama yenyewe ya mama mkwe wa Marioo (Bibi yake Amara)

    Alikuwa anajiita Mzee wa Minyama, sasa juzi alikutana na Minyama yenyewe ya mama mkwe wake Marioo na Bibi yake Amara.
  16. JamiiForums Tanzania Mzee Baraka Shamte: Wanaosema uteuzi wa Samia haujafuata katiba ya CCM, hawajaisoma

    MZEE BARAKA SHAMTE AUNGURUMA KUHUSU KANUNI NA KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI Mzee Baraka Shante ni Mtoto wa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Zanzibar kabla ya Mapinduzi na Kada Mbobezi wa CCM na miongoni mwa waanzilishi wa Afro Shirazi Party Youth League Wing. Baraka Shamte amesema wanaosema uteuzi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Mzee Cheyo ana familia kweli? na kama ipo wajitafakari kwa hali hii aliyonayo wanamruhusu vipi kufanya siasa badala kupambania Afya yake

    Naomba Familia ya Mzee Cheyo imzuie Ndugu yao kuangaika na mambo ya siasa ambayo hayana tija kwake. Namshauri apambanie Afya yake kwanza. Itakuwa aibu mzee wao kupata madhara na kumsababishia matatizo zaidi ya kiafya. https://www.facebook.com/share/v/1Akh38Vb5f/
  18. E

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete hajapenda kuzungumza leo msibani

    Polepole una nongwa ,,mzee wetu kaona akae kimya
  19. JamiiForums Tanzania Mzee wangu hashimu alianzisha chauma kama Mzee wangu Leo alivyofungua Gest house wapate pesa za uzeeni

    Salumu mwalimu Tanzania Bara usifanye kampeni ila fanya uko kwenu zanzibari ila bara ni aibu. Mzee rungwe alifungua au kuanzisha chauma Ili awe anashiriki uchaguzi anapata ruzuku maana mafao yoteeee aliongaaaaa Mzee wangu Leo yaani Jina la Babangu ni Leo ndio maana Mimi naitwa sifii Leo yee...
  20. JamiiForums Tanzania Kanisa la Waadventista wa Sabato Linaogopa Kumchukulia Hatua Mzee Wassira

    Kwa mujibu wa mwongozo wa kanisa la Wasabato, yapo mambo 13 yanayoweza kupelekea mshiriki wa kanisa kuchukuliwa hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kufutwa ushirika. Jambo la 2 katika orodha hiyo ni kuvunja sheria ya Mungu kwa kujihusisha na ibada ya sanamu, mauaji, KUVUNJA SABATO n.k Mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…