Mzee wa Upako Anthony Lusekelo amewataka wanaosema kuwa Rais Samia anakosolewa sababu ni Muislam, wajibu hoja na siyo kuleta mambo mengine ya udini. Ameongeza kuwa Udini ni mbaya na haufai kwenye nchi yetu, huko tumeshavuka
Lusekelo amesema, katika kura 98% alizopata Samia kuna kura za...
Antony Lusekelo maarufu kama Mzee waupako afunguka mazito baadhi ya waumini wake kupoteza maisha kwenye maandamano ya October 29.
"Niwape pole sana watanzania hakuna mtu ambaye hajaguswa na jambo hili, mimi mwenyewe kuna wanaumini wangu walipigwa risasi Kimara"
Mchungaji Antony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako atoa ujumbe wa pole kwa watanzania kwa mauaji ya mamia ya raia siku ya uchaguzi Oktoba 29 na 30 nchini Tanzania, anasema hata yeye hakuwahi kufikiria kama tunaweza kufika hapa tulipo.
Soma: Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) akiimba...
Wakiguswa wengine mnakaa kimya hayawahusu. Leo ni kwako nadhani utajifunza kitu hapa chini:
Martin Luther King Jr. > Quotes > Quotable Quote
(?)
“Injustice anywhere is a threat to justice everywhere. We are caught in an inescapable network of mutuality, tied in a single garment of destiny...
Wote mnaoishi Dar es salaam huku mnalia maisha magumu ni mafala,aliwahi kusema Anton Lusekelo mzse wa upako
Ukipita barabarani ni foleni za magari lakini wewe huna hata pikipiki we ni
Majumba yote jiji zima lakini huna hata kiwanja wewe ni
......
Jiji lina watu milioni sita,ukibuni product...
Habari,ninauza kiwanja kilichopo wilaya ya ubungo, Kata Makuburi, kipo karibu na kwa mzee wa Upako. Karibu Km 1.5 kutoka Mandela road. Ni mwendo wa dk 20 kwa miguu kutoka kituo cha daladala ubungo riverside.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM 2700, kimepimwa, kina nyaraka za serikali ya mtaa (Hati...
Wakuu kwenye hii barabara ya kwenda Ubungo Makoka kupitia kwa Mzee wa Upako, kuna kipande kama mita 300 kinaongezwa kwa kiwango cha lami inaenda miezi minne mpaka sasa hakijamalizika.
Jamaa wakijisikia wanafunga barabara hamna gari kupita, njia mbadala ni milimani na ndogo magari hayapishani...
Habari za asubuhi wakuu.
Siku ya jana, Mzee Wa Upako yaani Mchungaji Anthony Lusekelo alitengeneza headlines nchini kufuatia interview alyofanya na Jambo TV Online ambapo alizungumzia upepo wa kisiasa ulivyo nchini ikiwemo ishu za utekaji, ukosoaji unaendelea dhidi ya Rais Samia na mengineyo...
Katika kipindi hiki cha vuguvugu la kisiasa nchini Tanzania, sakata la kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa Chadema waliokusanyika Mbeya Agosti 11, 2024, lilizua gumzo kubwa. Mchungaji Anthony Lusekelo, maarufu kama Mzee wa Upako, naye hakuachwa nyuma katika kutoa maoni yake kuhusu...
Wakuu habari za muda huu.
Uwanja wa siasa Tanzania umeanza kuchangamka na hii ni baada ya mchungaji maarufu kutoka Tanzania, Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee Wa Upako kugusia sakata la Shadrack Chaula (24) kushtakiwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia.
Anthony Lusekelo: Tuache nchi ipumue...
Mtumishi wa Mungu Anthony Lusekero (Mzee wa Upako) amefunguka jana Septemba 4, 2024 kupitia Global TV na kueleza kuwa mpaka sasa hakuna Msemaji aliyefikia kiwango cha Haji Manara.
Leo sijui kumetokea nn kwenye mitandao Ya kijamii yaani clipu fupi fupi za mzee wa upako na dudu baya wakitema nyongo zao juu ya bunge hili la spika Tulia
Mzee wa upako yeye alifika mbali kwa ssa hivi yeye hawezi kupoteza muda wake kulitazama bunge hili , kwani wabunge waliopo hawajui lolote...
Mimi ni miongoni mwa watu wanaozichukia sana hizi huduma za watu binafsi za kidini. Kama kweli wana hizo nguvu za kuleta utajiri, kuondoa magonjwa n.k basi wote wakusanywe uwanja taifa waombee watanzania wote wawe matajiri na wapone magonjwa yanayowasumbua.
Suguye anakusanya kucha na nywele za...
Nimekuwa nikimsikia huyu mchungaji Lusekelo maarufu kama mzee wa upako akieleza baadhi ya kweli zinazoongewa kwa mihemko na Wakristo wanafiki wanaokuwa mahakimu kuhukumu wengine wanaodhani ni wadhambi kwa jinsi wanavyolisoma na kulielewa neno.
Nakubaliana naye kuwa kunywa pombe sio dhambi...
Amesema katazo la kuoa wake wengi ni propaganda za wazungu ambapo wao wapo tayari wanaume waoane lakini sisi kuoa wake wengi waone kosa.
Ameongeza siku ya mwisho mwanaume mmoja atakuwa na wake saba.
Huyu mzee asaidiwe.
Inaonekana wazi kuna pepo la uzushi limeweka kambi kwa ubongo wa wake.
Hivi huko Dar hakuna nabii mwenye upako kama wa daddy wetu pale kisongo hemani achukue jukumu la kumfungua na kumuweka huru mzee wa upako?
Manabii wa Dar hemu acheni uvivu, kuna mtu anahitaji msaada...