mwl nyerere

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Tundu Lissu ni kama Nyerere, wakati anapigania uhuru watanzania wengi walikuwa wajinga hata alipotetea demokrasia asilimia 20 walimwelewa Nyerere

    Takwimu ziko wazi kipindi Nyerere anapigania uhuru asilimia kubwa ya watanzania walikuwa wajinga Kuwatetea kundi lenye watu wajinga wanaijiita machawa au mazuzu ni gharama kubwa sana. Nyerere alifanya kazi ngumu sana kuongoza kundi la watu wajinga kuhusu uhuru Aliutumia Kwa bidiii kipaji...
  2. Pakome

    Nyerere hakutaka jambo lolote aliloanzisha libadilishwe, Rais aliyetaka kubadilisha alijiingiza kwenye matatizo makubwa

    Ni vigumu sana kuzungumzia Chama Cha Mapinduzi pasipo kumhusisha Mwl Nyerere Hii ni kwasababu Chama Cha Mapinduzi kinaishi kwa kufuata misingi ya Mwl Nyerere Mambo yote aliyoanzisha Mwl Nyerere hakutaka kuona yakibadilishwa Raisi yeyote yule aliyemfuata na akajaribu kubadilisha basi alijikuta...
  3. M

    Kero na ubaya wa Muungano, lawama apewe Mwl Nyerere.

    Tatizo na sababu za kuutaka muungano, ilianzia kwenye maasi ya jeshi wakati huo 19/1/1964. Jeshi liliasi, na Nyerere akijificha kigamboni kunusuru maisha yake. Miezi mitatu tu baadae akamshawishi hayati Karume Rais wa Zanzibar wakati huo, waunganishe nchi. Nyerere aliona atakuwa salama kama...
  4. Kipenzi Changu

    Mwalimu Nyerere anatupa taabu sana kuirudisha Tanganyika yetu

    Mtu makini na mwenye maono asingeweza kuiua Tanganyika kwa kufukia fukia mambo kwa koti la muungano. Kwenye muungano Nyerere alichemka big time, matokeo yake anatupa taabu vijana kuurudisha muungano wetu. Hata waliopo kwenye madaraka tukiwahoji hawana cha maana cha kujibu zaidi wanatupia mpira...
  5. Pakome

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale linapolinganishwa kinidhamu, watu wake ni wapole na wakaribu na hii ndiyo sifa kubwa tuliyo nayo...
  6. Pakome

    Watanzania tulipotembelea nchi za kigeni na kuwaeleza asili yetu, walifurahi sana wakatutania wajukuu wa Mwl Nyerere

    Watanzania tunapotembelea nchi za kigeni na kuwaeleza asili yetu, wanafurahi sana nakututania wajukuu wa Mwl Nyerere na hii ndiyo sababu kubwa inayonifanya niheshimu sana nchi ya Tanzania na nishindwe kamwe kukosea adabu Chama Cha Mapinduzi cha Babu yetu Mwl Nyerere Ni vigumu sana kutamka Chama...
  7. The Burning Spear

    Julius Nyerere (1987): Msingi wa Amani ni HAKI! Bila haki, huwezi kupata utulivu wa kisiasa

    GT Haya sasa wale wajinga wajinga ambao hamtaki kutamka.neo haki sikilizeni hii. Kiufupi HAKI ni matendo na AMANI ni Matokeo Mfano Heshima ni matokea lazima kuna matendo lazima uyafanye kupata heshima
  8. Mafyangula

    GE2025 Dkt. Nchimbi: CCM itaendelea kupambana na maadui watatu aliowatangaza Mwl Nyerere ambayo ni ujinga, umasikini na maradhi

    Emmanuel Nchimbi amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), kitaendelea kupambana dhidi ya maadui watatu aliowatangaza Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere ya ujinga, maradhi na umaskini kwa nguvu zote. Dk Nchimbi ambaye ni mgombea mwenza wa urais wa CCM amesema hata Rais Samia Suluhu Hassan anaishi...
  9. Carlos The Jackal

    Butiama ya Mwl Nyerere iko ziwani lakini Maji hawana, Hadi Hospital Mpya ya Wilaya Haina Maji, Ikataeni CCM, Msishiriki Uchaguzi

    Nyinyi WATIAMA, Niambieni Baada ya Hayati Magufuli Kufa, kitu gani Samia kawafanyia?. Barabara ni Magufuli. Hospital ni Magufuli. Ujenzi wa Chuo Kikuu ni Magufuli. Magufuli angalau alijitajidi sana, angekua hai Maji yangekuwepo 24hrs. Miaka Minne ya Samia, Hata Maji safi na Salama yamemshinda...
  10. Mr Dudumizi

    Hivi ilikuaje mwl Nyerere hakumpa heshima hii Mugabe?

    Habari wanaJF wenzang Mwl Julius K. Nyerere aliwapenda na kuwaheshimu wapigania Uhuru wote wa Bara letu la Africa. Katika kuonesha heshima na upendo huo kwao, mwl Nyerere aliamua baadhi ya barabara na mitaa ya nchi yetu kuipa majina ya wapigania Uhuru hao wa nchi zetu za Africa. Hapo chini ni...
  11. M

    Jicho la tatu la mwl Nyerere kuhusu sifa za nchi corrupt na viongozi wake

    Sifa ya Serikali corrupt, sio maneno yangu nimecopy and paste kwa mwl mzee wetu Julius Nyerere Enzi za uhai wake but still Bado anaishi hata sas 1: haikusanyi Kodi 2: inamzigo wa madeni (i.e deni la taifa) 3: inatumwa na wenye mali 4: inawafanyia kazi wenye mali 5: inafukuzana na vijitu...
  12. M

    Nyerere alituingiza kwenye muungano kwa maslahi yake, kuwa Rais Nchi Mbili na Mwenyekiti wa chama katika Pande Zote, Hakujali athari ya vizazi vijavyo

    Tatizo kubwa sana ambalo limekuwa jinamizi kwa mataifa mengi ya Afrika ni hili moja: maamuzi makubwa ya kitaifa huchukuliwa kwa kuangalia faida ya muda mfupi, bila kutafakari athari za muda mrefu kwa kizazi kijacho. Katika kipindi hicho cha kihistoria, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere...
  13. Getrude Mollel

    GE2025 Kama Nyerere angekuwa hai, angemuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwa zaidi ya nusu karne sasa jina la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere limebaki kuwa mwanga wa siasa na dira ya taifa let. Baba wa Taifa alijijengea heshima kama kiongozi shupavu, mwenye maono ya mbali na mpenda watu. Aliamini katika haki, mshikamano, elimu kwa wote na mapambano dhidi ya rushwa...
  14. mngony

    GE2025 Ni hatari kwa mustakabali wa Umoja wa Kitaifa, kwa Mgombea kuandika bango la kuomba kura kwa lugha ya kikabila, Mwl Nyerere asingekubali litokee

    Inasikitisha kuona sasa tunaomba kura kwa lugha za kikabila? Je tunataka wenye kabila letu tu watuchague au kuwaonesha kuwa ni wa nyumbani? Kabila limekuwa kigezo? Hii ni hatari sana, nchu yetu haina ukabila na watu wamechanganyikana. Sasa mimi Mngoni niko Ngara ukitumua...
  15. OMOYOGWANE

    Kwanini Mwl Nyerere alipiga marufuku waTanzania kuangalia Tv?

    Hili ni swali mtu yeyote mwenye Majibu achangie Imagination zangu Baada ya uhuru wa Tanzania watu wengi hawakuwa na elimu wala shughuli yeyote ya kiuchumi, ujinga na umasikini ulikuwa kwa asilimia 99% Nyerere akaona kuwaruhusu watu hawa kuangalia Tv ni kulizika Taifa mchana kweupe Akaamua...
  16. OMOYOGWANE

    Ukweli ni Upi? Imani ya Kidini ya Mwalimu Nyerere

    Wakuu mpo? Hili ni swali kwa wadau wote, Nyerere alileta ujamaa ili wa Tanzania waishi pamoja walime pamoja wale pamoja na kufanya shughuli zao kwa ushirikiano Yeyote aliyeonekana kuwa na ukwasi alionekana ni shetani Nyerere hakupenda sifa kama maraisi wengine kwa sababubsifa na utajiri vipo...
  17. Erythrocyte

    Mwalimu Nyerere aliposema Ikulu ni Mzigo alimaanisha nini?

    Kwa Mujibu wa mambo ya Kweli ni kwamba, Unapokuwa Ikulu kwa maana ya kuwa kiongozi mkuu wa Nchi, wewe unakuwa Mtukufu, yaani hakuna njaa wala gumu lolote kwako binafsi, familia yako, marafiki zako pamoja na wapambe wako. Yaani wewe ndiye mwajiri Mkuu na ndiye mlipaji mkuu, kwa kifupi wewe...
Back
Top Bottom