mwimbaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Namtambulisha Msanii wangu wa AI-Dianah. Mwimbaji waa R&B za Kiswahili... Hapa nimeweka parts za cover za nyimbo zake.

    Sweet - Nandy Cover Ukimwona - Diamond cover Kivuruge - Nandy Cover Siachane nawe - Baraka Cover
  2. D

    Namtambulisha Msanii wangu wa AI-Dianah Mwimbaji waa R&B za Kiswahili, nimeweka parts za cover za nyimbo zake

    Sweet - Nandy Cover Ukimwona - Diamond cover Kivuruge - Nandy Cover Siachane nawe - Baraka Cover
  3. Papaa Mobimba

    PreGE2025 Songea: Viongozi watatu CHADEMA, Mwimbaji nyimbo za chama na Wanachama wawili wakamatwa na Jeshi la Polisi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kusini kimesemea viongozi wake watatu, mwimbaji nyimbo za chama na wanachama wawili wameshikiliwa na Jeshi la Polisi Wilaya ya Songea Mjini. Taarifa ya awali iliyotolewa leo Aprili 21,2025 na CHADEMA makao makuu, imewataja viongozi hao kuwa...
  4. Victor Mlaki

    Maneno aliyoyaongea Nabii Mkuu kipindi anampa gari Muimbaji wa nyimbo za injili yalikuwa ndiyo zawadi na siyo gari: Mwimbaji alishindwa kutafsiri

    Rejea maneno haya ya nabii Mkuu wakati anampa Mwimbaji gari "Mimi napenda kuuona uzuri wa watu na kuuyoa nje". Kwa haraka sana gari hapo limekuja la kiwakilisho tu katika ulimwengu wa vitu (material world) ila ukweli ni kuwa yule Mwimbaji alipewa mguvu ( energy). Waliomshauri kuchoma gari...
  5. Waufukweni

    Mama mzazi wa Martha Mwaipaja alia kwa uchungu, akithibitisha kuwa mwanae huyo hamsaidii kutokana na mzozo na mdogo wake Beatrice

    Mama mzazi wa Martha Mwaipaja amezungumza na kuthibitisha kuwa yale yaliyosemwa na mdogo wake, Beatrice Mwaipaja kuwa muimbaji huyo wa 'Hatufanani' hamsaidii. Akizungumza kwa uchungu kwenye mahojiano na Wemu Online TV, Mama huyo amesema alizaa watoto watatu wakiwemo Martha na Beatrice...
  6. Mr Why

    Elshamah Washira mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya anayetia mashaka kutokana na tabia zake

    Waimbaji wa nyimbo za Injili waendelea kuchafua tasnia ya nyimbo za Injili kwa kuharibikiwa kila kukicha hasa katika maswala ya ngono Tata Hivi karibuni tumesikia mwimbaji wa Injili Martha Mwaipaja katika sakata lake la kujihusisha na uchafu wa ngono tata zisizohusisha jinsia mbili tofauti kwa...
  7. Mwl.RCT

    Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?"

    Zingatia swali "Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?" na akaleta upinzani mkali. Unachotakiwa kufanya: - Taja jina la Mwimbaji husika na wimbo wake japo mmoja. Video: Whitney Houston - I Look to You https://www.youtube.com/watch?v=5Pze_mdbOK8
  8. Mwl.RCT

    Je, ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupambanishwa na Whitney Houston?

    Zingatia swali "Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?" na akaleta upinzani mkali. Unachotakiwa kufanya: - Taja jina la Mwimbaji husika na wimbo wake japo mmoja. Video: Whitney Houston - I Look to You https://www.youtube.com/watch?v=5Pze_mdbOK8
  9. Waufukweni

    Miriam Mauki: Hakuna mwimbaji wa Injili anaye lipwa kama Rose Muhando

    Mwanamuziki na mratibu wa matamasha, Miriam Mauki amesema hakuna mwimbaji anayelipwa kama Rose Muhando katika tasnia ya muziki wa injili Tanzania lipokuja suala la kufanya matamasha. Soma Pia: Show ya Mtoko wa pasaka ya WASAFI MEDIA Roze Muhando simsikii kwenye promo Video: Wasafi Sunday Worship
Back
Top Bottom