mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. Mwigulu Urais 2025 ameanza kujipanga leo, Tozo zimeshusha umarufu mdogo wa Samia kwa kiasi kikubwa

    Nilikuwa namsikiliza anayejiita Dr (Phd) Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha na Mipango akihojiwa na ITV kipindi cha Kipima Joto. Nilichosikitika sana... Nasikia Alipata First Class ya Degree yake ya kwanza ya Uchumi na anayo PhD! Amesema Burundi na Zambia wana population ndogo sana kuliko sisi...
  2. L

    Mwigulu apongezwa Iramba, achinjiwa maksai Mwekundu, licha la kulalamikiwa miamala!

    Weekend hii Dr. Mwigulu amekumbuka kwenda kutoa shukrani jimboni kwake na kama kawaida kaendelea kuongea misamiati ya KiNyiramba huku akiwaona wasikilizaji wake kama hawana uelewa wowote ule. Pamoja na kukwepa kugusia mambo ya kodi ya miamala lakini agenda kubwa ilikuwa ni kujiimarisha jimboni...
  3. L

    Dr. Mwigulu apongezwa Iramba licha ya kulalamikiwa kuhusu kodi za miamala!

    Weekend hii Dr. Mwigulu amekumbuka kwenda kutoa shukrani jimboni kwake na kama kawaida kaendelea kuongea misamiati ya KiNyiramba huku akiwaona wasikilizaji wake kama hawana uelewa wowote ule. Pamoja na kukwepa kugusia mambo ya kodi ya miamala lakini agenda kubwa ilikuwa ni kujiimarisha jimboni...
  4. Waziri Mwigulu anatufanya Watanzania wote wajinga, atawezaje kutujaza wananchi shilingi trillion 5 mifukoni mwetu?

    Hii siyo hadithi ambayo nimejitungia, bali nimemnukuu Waziri Mwigulu Nchemba, wakati akizungumza kwenye uzinduzi wa benki mpya biashara Tanzania (TCB) siku 2 zilizopita, eti serikali yake ina mpango wa kutujaza wananchi shilingi trillion. 5 mifukoni mwetu, katika mzunguko wa pesa katika bajeti...
  5. Msimlaumu sana Mwigulu, pengine anafuata tu maelekezo

    Wakuu, nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Nimepita mitandaoni, nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Mwigulu kuhusu tozo ya miamala. Naunga mkono mashambulizi, lakini nadhani tunakosea tunayemwelekezea mashambulizi hayo. Wanasema kila zama na kitabu chake. Wakati wa enzi za Mwendazake, taifa...
  6. Tungekuwa na Katiba inayotaka Mawaziri wasiteuliwe, Mwigulu Nchemba angetufanyia dharau namna hii?

    Msomi wa hadhi ya Phd ya uchumi bila aibu anaongea mbele ya luninga ya taifa kuwa serikali ikilipa madeni kutakuwa na mzunguko wa pesa hivyo mzigo wa tozo za miamala ya simu utakuwa stahimilivu. Hii ni dharau kubwa. Mkandarasi akilipwa madeni na serikali kweli pesa inaingia kwenye mzunguko...
  7. Waziri Mwigulu Nchemba, nani kakutuma umchonganishe Rais na wananchi wake? Hautafanikiwa...

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na mambo mengine, ni mkuu wa nchi na mkuu wa Serikali. Kuongoza nchi na Serikali ni kuongoza watanzania wote: furaha na karaha zao huelekezwa kwa Rais. Mazuri yao na mabaya kwao wananchi husemwa kuwa yametokana na uongozi wa Rais aliye madarakani...
  8. Kodi ya Miamala ya Simu: Swali kwa Waziri Mwigulu baada ya maelezo yake TBC

    Jana nilimsikiliza Waziri Mwigulu pale TBC nikapata mashaka sana na kuona ameamua kudanganya kutaka kuupooza umma. Akijaribu kufafanua amedai kuwa makato ya tozo hizi yanaenda kwenye huduma za afya haswa afya ya mama na mtoto. Ningependa atoe ufafanuzi wa asilimia ngapi ya tozo itaenda huko...
  9. T

    Ushauri kwa Dr Madelu Mwigulu Nchemba, kuwa na Tozo za ubunifu

    Kama ulivyo kawaida ya salamu yetu, Mama anaupiga mwingi. Majibu: Mama Endelea kukamua Ushauri wa BURE kwa Mwigulu Ebu tafuta tozo hata kdg kwa watu Hawa, wape leseni kisanya hicho kidogo kitasadia 1. Mafundi ujenzi wawe na leseni 2. Mafundi bomba 3. Mafundi umeme 4. Vinyozi 5. Mafundi...
  10. Waziri Mwigulu si ulisema ni Vocha tu? Imekuwaje?

    Mh Waziri, Nilisikiliza Hotuba ya Bajeti Na kuelewa kuwa makato yanaendana na kiasi cha vocha unayoweka na nikaona sio mbaya ...solidarity fund.. Hotuba ile sikusikia ni tozo kwenye huduma za kutoa na kuweka katika mitandao ya simu.,au wengine mliisikia hii? Sikiliza huu utetezi wa Mh Waziri...
  11. L

    Dr. Mwigulu kushukuru na kupongezwa Jimboni kwake Iramba juma lijalo

    Mamba aliyepo kwenye kina kirefu kuanzia Jumamosi ijayo atakuwa Jimboni Iramba akitembelea kata na tarafa zake kwa ajili ya kupongezwa na wanaCCM kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Fedha na pia kuwashukuru wapiga kura wake wa Chamani kwa kumwezesha kuingia bungeni na hatimaye kuteuliwa katika nafasi...
  12. Mwigulu Nchemba hakubaliki? Mbona kila Wizara anazodolewa?

    Alipokuwa Wizara ya Mambo ya Ndani zilizuka taharuki. Miili kuokotwa fukweni baharini. Watu kupotea na kutoweka. Mpaka leo hajawahi kutoa majibu sahihi. Sasa hivi amepewa mikoba Wizara ya Fedha. Kila kukicha analaumiwa, kabuni kodi za ajabu ajabu tu. Mara ukiongeza salio kodi, ukitumia mobile...
  13. Bado tunajiuliza nani alitudanganya kati ya Kamanda Sirro na Mwigulu Nchemba?

    Wakati Tundu Lissu kabla hajashambuliwa kwa risasi alikuwa analalamika kuwa kuna gari inamfuatilia. Sisi ambao siyo wanaintelijensia tulikaaa kimya kusubiri majibu ya wataalam na viongozi. Na haya yalinenwa na wakuu wetu: Waziri wa mambo ya ndani, wakati huo Mwigulu Nchemba, alisema kwamba...
  14. Mwigulu awahakikishia Mabalozi kuwa Serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa

    Waziri wa Fedha Mh Mwigulu Nchemba amewahakikishia Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na Jumuiya ya Kimataifa kwamba Serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa ili kusisimua uchumi na kuondoa malalamiko yaliyotolewa na jumuiya hiyo.
  15. B

    Katiba Mpya: Tulipo, Uzoefu Utumike - Katiba Ipo

    Inajulikana kuwa katiba mpya inahitajika na wengi. Wapongezwe Chadema kwa kuchukua jukumu la kuanzisha na kuratibu msukumo wa kurejelewa kwa mchakato huu muhimu wa kupatikana kwake. Hatua hii isiyokuwa na chembe ya ubinafsi iliyojaa dalili zote za hatari, ni ya kupongezwa sana na kila mpenda...
  16. Rais Samia tuwe wawazi, uteuzi wa Mwigulu ulichemka

    Dude is very smart bookwise ila wizara ya fedha sio mahali pake. Wizara ya fedha inahitaji a practising economist. Mwigulu uchumi aliuweka kando zamani siku hizi amekuwa mwanasiasa. Hapa ilitakiwa aina ya watu kama hayati Dr. Mgimwa au Makamu wa Raisi Dr. Mpango. Serikali inawajua watu wengi...
  17. Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

    "Mtu anayetuma 1000 hadi 2000 anakatwa Tsh.10, anayetuma 20,000 hadi 30,000 anakatwa 960, Mil. 1 hadi Mil. 3 ni 9000 na Mil 3 na kuendelea ni 10,000, kwa anaetuma 100,000 hadi 200,000 anakatwa 2500, kama unaweza kutuma 10,000 kwanini usichangie shughuli za maendeleo?” "Mimi naunga mkono dira ya...
  18. Dkt. Mpango muoneshe Waziri wa Fedha wapi ulikuwa unapata pesa za kufanya miradi ili asiumize wananchi

    Naomba utawala huu uwe makini sana katika maamuzi yanayokwenda kugusa maisha ya Mtanzania kwa sababu Watanzania bado wanamachungu sana na majonzi sasa Serikali iliyopo badala ya kutufariji inatuongezea tabu. Muwaulize wenzenu walikuwa wanakusanya wapi kodi mnasababisha mfumuko wa bei usio wa...
  19. Serikali imekosa ubunifu, inachofikiri ni kuongeza kodi tu

    Ukimuangalia Mpango na Mwigulu wote akili zao zinafanana, wanachofikiri kila siku ni kuongeza kodi. Kwa akili hizi hatuwezi kwenda mahali popote. Tanzania ili iendelee lazima tuwe na ubunifu na lazima tutumie pure capitalism ili nchi iendelee kivipi;- Kushusha corporate tax kutoka asilimia 30...
  20. Swali je Inawezekana Mwigulu katupiwa jini ''Sakizi'' ? linakufanya ufanye vitu vya ajabu

    Wadau nahisi huyu Waziri katupiwa hilo Jini angewahi au awahishwe kwa mafundi.. Jini Sakizi ukitupiwa linafanya maajabu ajabu tu yaani mtu akikuudhi unaweza hata muua hapo hapo Watu waliwahi tupiwa mifano yake kama Ditopile alichukizwa tu na Dereva wa Daladala kusimamisha bus barabarani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…