mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu anaweza kuwa mzalendo namba 3 baada ya Nyerere na Magufuli, tumtafakari kwa 2030

    Nimemsikiliza Katika hotuba yake ya Maono ya 25 - 50 na jinsi alivyoelezea 00 - 25 naona anatembea mule mule mwa Baba wa Taifa mwalimu Nyerere na Shujaa Magufuli yaani Miundombinu, Afya na Elimu Tuzidi kumuombea dhidi ya Wachawi, Washirikina na Wazandiki wote Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka!
  2. JamiiForums Tanzania Kumbe Mwigulu Nchemba ni so fluent in English! Nilikuwa sijui maana nina kasumba fulani hivi

    Nilikuwa naamini Mwigulu Nchemba na wale wale wa kingereza cha is and was kama cha JPM cha kutamka catalyst kila pahala kana kwamba anajua neno hilohilo tu. Jana nilimsikia Nchemba akitema madini kule Ulaya sikuamini macho yangu. Polepole anasubiri maana nilimsikia kule Malawi nikaona hamna...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mpambe wa Mwigulu, Iramba hana weledi wowote wa kiuongozi zaidi ya siasa tu

    Huyu ni Mwenyekiti wa Hkamshauri ya Wilaya ya Iramba - Innocent Msengi. Huyu kama bosi wake Mwigulu alirudia shule ya msingi zaidi ya mara tatu - awali akiitwa Masaganya Zengo - then likaja la Mandi Kapendo lakini alilotumia mwishoni kabisa akisoma Tumaini Sekondari alimalizia na la Innocent...
  4. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, bingwa wa uchumi ever seen here in Tanzania

    Huyu jamaa ni msomi na mahiri mno wa uchumi ndio mana huwezi kukuta anakosolewa na profesa yeyote wa uchumi maana wanamuogopa sana. Maprofesa wengi waliunga unga lakini Mwingulu straight kutoka Mzumbe na alipiga first class UDSM wakati maprofesa wengi hawana hii. Profesa kama Semboja degree yake...
  5. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaikopesha Tanzania Tsh. Trilioni 1.2 za Miradi ya Maji na Afya

    Kazi inaendelea, Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania na Wizara ya Fedha Kupitia Waziri Mwigulu zimesaini mkopo wa Dola mil. 560 sawa na shilingi Trilioni 1.3. Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa ni kwamba mkopo huo ni kwa ajili ya Miradi ya Maji na Afya ya mama na mtoto. ==== Wizara...
  6. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Msihofie Mikopo, riba yake ni ndogo

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba akiwa Dar es salaam leo ameishukuru Benki ya Dunia kwa kuwa Mdau Mkuu wa Maendeleo ya Tanzania kwa kutoa mikopo nafuu na misaada mbalimbali inayotumika kutekeleza miradi inayochochea ukuaji wa uchumi na maendeleo ya Watu ambapo mpaka sasa, Benki...
  7. F

    JamiiForums Tanzania DC wa Iramba, Joshua Nasari(dogo janja) ahamishiwa Monduli na DC Selemani Mwenda wa Monduli arudishwa tena Iramba

    Habari ndiyo hii wadau, Iramba hakuna maji salama, umeme hakuna vijiji vingi, barabara ni balaa, umaskini unatisha, Mbolea ya Ruzuku jimboni kwake ni hovyo haina viwango na mwaka huu Wakulima huko wanahofiwa kuvuna chini ya kiwango, mambo ni Mengi. Utafanyaje kazi na DC aliyekuwa Mpinzani...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Hesabu zinambeba Dkt. Mwigulu Nchemba

    Wanajamvi wasalaam. Napitia report ya AFDB, IMF na World Bank hakika ni report zilizoshiba sana. Report hizi kwa pamoja zimeangazia masuala mtambuka, waataalamu mahiri wa uchumi wamechambua kinagaubaga. 👉 Projection ya uchumi iko vizuri sana, uchumi unakuwa kwa kasi sana kuliko taifa lingine...
  9. JamiiForums Tanzania Kama Wachumi Wawili Wazuri Hawawezi Kukubaliana, Kwanini Mwigulu Mchemba Adhani Anachoamini Yeye ni Sahihi?

    Mtunzi mmoja maarufu, George Bernard Shaw, aliwahi kusema: "Ikiwa wachumi wote wangewekwa kona hadi kona, hawangefikia hitimisho (tamati)." (Tafsiri yangu) Kwa hiyo, inakuwaje wachumi wawili wabobezi wenye uzoefu, maarifa, wanasoma na kuchambua takwimu sawa na kila mmoja anakuja na utabiri au...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Katani: Bashe na Mwigulu ni mawaziri mizigo. Wanaumiza wananchi. Amwaga machozi kwa kutukanwa kujadili uganga.

    Video hii hapa.
  11. JamiiForums Tanzania Tulioandaa na waliotayari kuandaa sherehe baada ya Mwigulu kutumbuliwa tujuane mapema

    Wasalaam JF Tangu mwezi huu wa pili uanze nafsi yangu inaamini Mwigulu Madelu Mburundi Nchemba atatumbuliwa na tayari nimejipanga kukesha kwa bajeti ya laki6 na siku hio ntapiga threesome matata sana na bia kama zote, ajipange sana huyo Mburundi wa hiari. Mwigulu out out In shaa Allah hio...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kutumbuliwa kwa Mwigulu Nchemba, Rais hana lawama. Dharau kwa wawakilishi wa wananchi ni dharau kwa wananchi

    Mwigulu Nchemba anatambua kwamba amekosea, lakini anatambua kwamba Rais anamwamini Sana. Upande wa pili hana taarifa kwamba hata kama Rais angemwamini na kumpenda Sana, kama wawakilishi wa wananchi (wabunge) wanadharaulika basi mpendwa wa Rais amewadharau wananchi. Kuwadharau wananchi means ni...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge Katani: Mwigulu anadharau udaktari wa heshima

    Mbunge Katani amesema kitendo cha Waziri Mwigulu kudharau Phd za heshima amesahau Rais Samia Suluhu Hassana amepewa udaktari wa heshima kwa mageuzi makubwa aliyofanya nchini, Mstaafu Jakaya Kikwete alipewa udaktari wa heshima kwa kazi nzuri aliyofanya. Iweje Mwigulu yeye adharau Udaktari wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa BAZECHA alisema juu ya ufisadi wa Mwigulu. Leo hii anajikwapulia anavyotaka

  15. JamiiForums Tanzania Aliyependekeza Mwigulu awe Waziri wa Fedha alaaniwe

    Waziri yeyote wa Tanzania ni Mtumishi wa Umma, anatumikia wananchi, HAJITUMIKII BINAFSI , hivyo basi Waziri yeyote anayetukana wengine na kukataa kujibu maswali anayoulizwa bungeni HAPASWI KUENDELEA KUWA KWENYE CHEO HICHO, ANAPASWA KUTIMULIWA. Mwigulu tangu awali ni mtu mwenye majivuno na...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Mwigulu jibu hoja za wabunge, PhD yako isiwe kinga ya kukwepa hoja!

    Mheshimiwa Spika Tulia Akson tafadhali chukua nafasi yako kama kiongozi wa bunge kuhakikisha serikali inajibu hoja zote za wabunge kwa ufasaha vinginevyo bunge litapoteza heshima yake. Mwigulu ajibu hoja za wabunge na siyo kuwadhalilisha eti kwa kuwa ana PhD. Hapo bungeni wapo walioishia darasa...
  17. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Udokta wangu sio wa kupewa, niliusomea

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Nchemba akijibu hoja za Wabunge ndani ya Bunge amejitapa kuwa anajua anachokifanya maana PhD yake ni ya kusomea na siyo kupewa. Namnukuu 'Hapa tunatisha tisha watu kwa ajili ya nini? Niwahakikishie, na wala hata siyo mbaya kwasababu hii siyo Honorary...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri Mwigulu kuwa makini sana kwenye mawasiliano

    Bashe ndiye waziri anayeongoza kwa kuwa na mawasiliano mazuri lakini Mwigulu mwana Ilboru mwenzangu nampa nafasi ya mwisho. Mwigulu ndugu yangu hii serikali ni ya viongozi wapole na wataratibu sana hasa Raisi Samia na Makamu wake. Makamu wake ambaye alikuwa waziri kama wewe na nafasi hiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba aache hasira! kujibu maswali ya wabunge ni wajibu sio fadhila

    WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AACHE HASIRA! KUJIBU MASWALI YA WABUNGE NI WAJIBU SIO FADHILA! 1) Ohooo...!! Nadhani hiyo statement ya Dkt. Mwigulu Nchemba ("Daktari wa Uchumi" na Waziri wa Fedha) kuhusu "Honorary Degrees" mbona haijakaa vizuri, hasa ukizingatia hata Rais Samia Suluhu Hassan juzi tu...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge Katani: Mwigulu umetutukana wabunge

    Mbunge wa Tandahimba, Katani amezungumza bungeni jioni hii akimlalamikia Waziri wa Fedha kwa kuwatukana wabunge kwamba kazi wanayoiweza ni uganga wa kienyeji na wala sio mambo ya uchumi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…