mwezi mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee wa Mawe hana hata mwezi mmoja tangu achaguliwe kuwa bosi eti kashawamisi jirani zake, Michezo

    Huyu hata wiki tatu hana ofisini. Anajifanya kuwamiss majirani zake, michezo hii. Kuna muda anajaribu kujifanya kama Banza Stone lakini hafit kwenye maigizo yake. Mwambieni abadili script bhana, anachuja mapema
  2. L

    Ni aibu kwa CHADEMA kushindwa kukusanya Tsh Millioni 100 kwa zaidi ya Mwezi wakati CCM inakusanya Billion 86 kwa usiku mmoja

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika, CCM imeonyesha umwamba wake. Imeonyesha namna ilivyo na watu, namna inavyopendwa, namna inavyokubalika, kuungwa mkono na kukaa mioyoni mwa watu. Ikumbukwe ya kuwa chama cha siasa ni watu. Na ili upate watu, ni lazima watu wawe na imani na chama kutokana na...
  3. B

    INAUZWA Sofa (L-shape) imetumika mwezi mmoja tu inauzwa

    hii sofa ni balaa inanesa nesa tu ina spring yaan bado ina hata karatasi kwenye hizo gold ni full white lether afu ngumu ni L shaped na ina sehemu za kuchajia simu bei yake mpya kabisa ni 650000 au 700000 mimi hii nimeitumia karibia mwezi mmoja tu utaipata kwa 500,000 mahari Dar es...
  4. Aliyenyimwa Fomu sio super black tu hata yule katibu mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja tu na yeye alinyimwa

    Wakuu , ukimtoa super black pia hata yule jamaa katibu Mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja . hakupewa fomu pale Bukoba. Yote haya mtayapata kesho
  5. B

    Una computer /PC huitumii? Naomba niazime kwa mwezi mmoja tu

    God
  6. Makachero wa jf tukutane hapa. Je Rusia kua na taarifa za mashambulizi ya marekani uko Iran. Ni kudorola kwa ufanisi wa FBI na CIA?

    Bila kubeza ubora wa idara za ki usalama za Rusia toka kipindi cha Coldwar, ikasemekana KGB ndo shirika tishio kwa intelengnce kwa kipindi icho ikafatiwa na wana wa malkia MI6 , CIA walikua wanapata taarifa kutoka kwao, na japo kwa ishikiano wote ila bado walikua wana salimu amri kwa ubora wa...
  7. Mwezi mmoja ndani ya uchaguzi tutarajie kuzimwa internet mpaka watakapojitangaza?

    Kuna dalili za kwamba nguvu iliyopo kuwa danganya toto zao za uchaguzi ni za haki watafanya kuzima kabisa. Sababu za kuzima ili kuzimisha mijadala na yote zaidi mtapewa kisingizio mkongo wa taifa umekatika. Hakutakuwa na internet mpaka watakapomaliza watakalo.
  8. Diamond atoa talaka tatu kwa mkewe Zuchu, Khadija Kopa azikataa ni baada ya NDOA kudumu kwa mwezi mmoja kama ndoa za Magomeni

    Amani iwe kwenu watumishi Nianze kwanza na history ya magomen kitaa changu ninachoishi toka kitambo sana Kitaa hiki ni kitaa mabingwa wa ndoa za mkeka hasa mwezi wa Ramadhan unapokalibia Ndoa hufungwa nyingi sana na wazee wanaoitwa wazee watukufu katika uislam Wazee hawa watukufu katika...
  9. Ndoto ya JPM mwezi mmoja kabla hajafariki.

    Akitokea Kijijini Chato akapita Dodoma,akamwapisha Jaji mmoja aliyetoa hukumu kwa lugha ya kiswahili,ndani ya wiki mbili ndani ya Ikulu ya Dodoma akaota ndoto,kwa kiingereza wanasema "nightmare" kesho yake wakiwa jogging na mkewe,akamuhadhithia ile ndoto akamwambia,"Mwenzio Jana usiku nimeota...
  10. W

    Matokeo ya push up 200 kwa siku ndani ya mwezi mmoja

  11. TASHICO: MV. Victoria itaendelea kusimamisha huduma kwa muda wa mwezi mmoja kwajili ya kufanya 'service'

    Wananchi wanaoishi kwenye maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mwanza na Kagera ambao hutegemea kusafiri kwa kutumia meli ya MV. Victoria wameombwa kutumia usafiri mbadala wakati huu ambapo meli hiyo imeanza matengenezo yatakayochukua mwezi mmoja. Ikitoa taarifa hiyo, Shirika la Meli nchini TASHICO...
  12. Trump kusimamisha misaada duniani ni kosa kubwa la kiufundi. Ni muda wa China na Urusi kuja kutufariji Waafrika

    Kuna maamuzi ambayo bwana Trump anafanya anakuwa kama kachanganyikiwa na haelewi Geopolitics zilivyo. Kwanini nasema hivyo? Hivi karibuni katangaza Marekani kusitisha misaada kwenye nchi zote duniani isipokuwa Israel na Egypt. Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu atajua kwamba, the only reason...
  13. Tetesi: Hamisa kutimkia Honeymoon Maldives (mwezi mmoja)

    Mrembo wa dunia na mwenza wake kuelekea Maldives kwa ajili ya fungate Mwezi mmoja gharama ya fungate inakaribia TZS 300m. Pole Chibu
  14. Paul makonda apewe wizara ya maji mwezi mmoja tu

    Kuna watu hawapendi maneno mengi. Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo. Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake zake naye ndio alive ni msanii saniii sana anaweka usanii kwenye maisha ya watu. Akimuondoa mhalifu...
  15. Ndani ya mwezi mmoja Hezbollah imechakaza vifaru zaidi ya 40 vya Israel

    ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐ŸšจHesbollah wameonesha uwezo wao katika uwanja wa vita kwa kuviwinda vifaru vya adui na kuviangamiza pamoja na wanamgambo waliomo ndani ya kifaru.......tupate taarifa zaidi:- ..โš ๏ธ ๐๐ซ๐ž๐š๐ค๐ข๐ง๐  ๐๐ž๐ฐ๐ฌ โš ๏ธ ๐Ÿฐ๐Ÿฌ ๐— ๐—ฒ๐—ฟ๐—ธ๐—ฎ๐˜ƒ๐—ฎ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐—ธ๐˜€ ๐——๐—ฒ๐˜€๐˜๐—ฟ๐—ผ๐˜†๐—ฒ๐—ฑ ๐—ฏ๐˜† ๐—›๐—ฒ๐˜‡๐—ฏ๐—ผ๐—น๐—น๐—ฎ๐—ตโ€ฆ Hezbollah has announced the destruction of two...
  16. J

    Nauza mashine ya kukamua juisi ya miwa. Imetengenezwa sido. Inatumia umeme na imetumika kwa takribani mwezi mmoja. Ipo Kimara DSM

    Nauza mashine ya kukamua juisi ya miwa. Imetengenezwa sido. Inatumia umeme na imetumika kwa takribani mwezi mmoja. Ipo Kimara DSM Inauzwa Tsh 700,000/ Phone: 0675336219 Mashine bado ipo wadau
  17. I

    Mtoto mwezi mmoja kukosa choo

    Habari wapendwa Nina mtoto wa mwezi mmoja lakini leo ni siku ya tatu hajapata choo na anakua anajamba na maranyingine ushuzi unatoa harufu hii ni kawaida au kunatatizo, kwa mwenye ujuzi na na doctor kama wapo humu naombeni ushauri, ananyonya vizuri nimara chache toka juzi akinyonya Kuna mda...
  18. Kwanini Deni la Serikali limepaa kwa mwezi mmoja (Juni 2024) kwa zaidi ya Trilioni 17? Tatizo ni nini?

    Habari za Usubuhi Wananchi wenzangu. MARCH 28,2024 Deni Lilikuwa 82.25 TRN kufika JUNE 04,2024 tukalipa 8.48 TRN i.e 82.25 - 8.48 = 73.77 TRN Nilitegemea baada ya Kulipa Hiyo tarehe Nne ambayo Ni wiki Iliyopita Deni Leo Liwe Trilion 73 ila kwa Wiki Moja Deni Limefire Up kwa Zaidi ya Trilion...
  19. Nigeria: MultiChoice yapigwa faini na kutakiwa kurusha Matangazo kwa Wateja mwezi mmoja bila malipo

    Mahakama ya Ushindani na Haki za Watumiaji Huduma (CCPT) ya Nigeria, imeitoza kampuni ya Matangazo ya Televisheni ya MultiChoice takriban Tsh. Milioni 282.56 pamoja na kuwapa Wateja wake Kifurushi cha Matangazo ya mwezi mmoja bila malipo. Uamuzi huo unafuatia malalamiko ya Wateja wa MultiChoice...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ